Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,668
[emoji23][emoji23][emoji119]Joeli aliwaza akaona kama lema alikimbilia canada na lissu akakimbilia ubelgiji yeye abaki tu anashangaa ikabida atafute mahala akimbilie na atakua ameiga kwa viongozi wa chadema kukimbiakimbia kwenda kujificha
How the dude met his end[emoji24]View attachment 2554269
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hii nchi kwa matukio hatujambo..ni mwendo wa kuhamisha tu magoli!
......hapo usikute fisi wote wamehojiwa wamedai hawajui nani muhusika, wakati walikuwa wanasubiri mabaki......Na simba wengine wahojiwe ili waseme kama kweli mwenzao kafa kwa natural death
Leta ujanjaWewe acha ujinga
Hii mbungi hii, akaona hatoboi!! Cha kufia nini!! Kala kona!! Ha ha ha ha haMwanetu Joel Snitch kaona vagi kachimba
JoeliKwan uyo simba ni nani mbona anapewa airtime zisizokua na msingi
jibu swali acha kujibu vitu usivyoulizwa...Watu wanapata hela kupitia hao Simba unazungumzia airtime daah Nchi ngumu hii...na hapo unaweza kuwa graduate
Na kweli wawekwe ndani tu, maana Bob alikuwa mtu wa watuKwa hyo hao Simba waliomuua mwenzao wameshakamatwa na kesi itafikishwa mahakama ipii mkuu..
Jibu swali nilililouliza wewe acha makasiriko..Wewe acha ujinga
Ni Mara chache sana Simba waliozaliwa mapacha kushindwa pambano. Ukiona Simba waliozaliwa mapacha wamekacha pambano na Simba mwengine/wengine, jua bhasi huyo Simba waliyepambana nae ni kijana zaidi yao.Mwanetu Joel Snitch kaona vagi kachimba
Mpo kwenye Nchi yenu ila hamjui kitu chochote unawezaje kushangaa Simba kutangazwa ina maana hujui mchango wa mbuga zetu kwenye Pato la Taifa...jibu swali acha kujibu vitu usivyoulizwa...
Hii sasa ndo tunaita mipasho.. haya usinijibu tena kama umeshindwa kueleza nilichokitakaMpo kwenye Nchi yenu ila hamjui kitu chochote unawezaje kushangaa Simba kutangazwa ina maana hujui mchango wa mbuga zetu kwenye Pato la Taifa...
Haikubaliki hao Simba wengine wailoomuua mwenzio Joel na wenyewe watafutwe watiwe mbaroni ikiwezekana wafungwe kifungo Cha maisha au wahukumiwe kunyongwa .Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), William Mwakilema amesema simba Bob Junior aliyeuawa na simba wenzie alikuwa na mwenzie waliyezaliwa naye pamoja anayejulikana kwa jina la Joel ambaye walikuwa wakishirikiana, ila yeye alishindwa mapambano, hivyo akakimbilia kusikojulikana, na anaendela kutafutwa.
Pia soma > Simba Bob Junior wa Serengeti apinduliwa na kuuawa