TANAPA: Simba Joel alikimbia, tunamtafuta

Af kweli majamaa yatatambaa na beat, kama vipi wazungushie ukuta mbuga zote na camera ziwekwe kila kona
Kwenye mbuga kuweka ukuta hairuhusiwi. Wakitoa taarifa ya kifo, watuoneshe huyo Simba aliyekufa, kama wanavyosambaza picha za Bob. Na tuone akizikwa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kwenye mbuga kuweka ukuta hairuhusiwi. Wakitoa taarifa ya kifo, watuoneshe huyo Simba aliyekufa, kama wanavyosambaza picha za Bob. Na tuone akizikwa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Na simba wengine wahojiwe ili waseme kama kweli mwenzao kafa kwa natural death
 
Hakika. Maana wanasiasa hawaaminiki, hata kama wanaongea ukweli πŸ˜…πŸ˜…
Af nimeona baba yake Bob Jr ni rastaman, nashauri apewe ulinzi hao wanasiasa wasije kumuua ili wapate rasta zake wakaziuze kwa watalii.

Hawaaminiki hao
 
Alikimbia kuokoa roho yake....huko ni kujitambua.
 
Alibaki Faru Fausta, labda huyo ndio awe mwenyekiti atleast ana uzoefu kwenye hayo mambo.
Kama bado hawajamuua
......ok sawa na mjumbe mojawapo atakua Panya Magawa kutoka SUA, mzee wa kutegua mabonu.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…