professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,511
Duh Ngoja tuvute subra.......ofcoz hata Mimi sijajua atazikwa wapi na je yatakua ya kifamilia au ya kitaifa......lakini kibongobongo wanaweza wasizike hadi Joel afike maana ndo alikuwa karibu na marehemu.....
Wamem bite kwenye spine kiuno kikaumaliza mwendo. Nakumbuka mbwa wetu mmoja alikuwa mbabe wa kitaa anapiga mbwa wote mtaa mzima, kuna kipindi kilifika amezeeka alivamiwa na wenzie wakamdunda kwa style hio hio. Hakumaliza week akakata moto. It was so sad moment to live with.How the dude met his end[emoji24]View attachment 2554269
Ziggy male[emoji23][emoji23]Siyo hivo, hawawezi kuingilia ikorojia huwa wanaacha nature ifanye kazi mkuu.
Hata huyo Bob alikuwa na baba yake kama sikosei akiitwa zigy male sijui.
Mpunga wanaolipia watalii wanaenda kumuona huyo Simba kwa hio usione wanampa kipaombele HUYO SIMBA ndio PESA ZA WATALII na wanaomuulizia ni hao hao watalii waliowahi kumuona na waliompa majina itakua ni mmoja wa hao hao wataliiKwan uyo simba ni nani mbona anapewa airtime zisizokua na msingi
Nani Joel?Wakimuweka rumande, nitaenda kumuwekea dhamana....
Hawana ushahidi wa kutosha
Mnyama haingiliwi kinyume mkuu ni kosa kwa mujibu wa haki za wanyama, wao pia wana taratibu zao za kuishi ndio maana swala analiwa na Simba analiwa na Chui mamba anakula ngirimaji, Nyati analiwa na Simba, Tembo mtoto analiwa na Simba, Pundamilia analiwa na Simba, Nyumbu analiwa na mamba, na Simba wanauana wao kwa wao sio Simba tu hata Sokwe pia wana hio nature anavamia anaua mkuu wa kaya anaua madume yote au anayafukuza alafu anakomba majike yote anayatomba anayazalisha anatengeneza ukoo wake that's nature, huwezi kukuta hata siku moja hio nature ikaingiliwa na binadamu na hairuhusiwi ni haki yao wanyama kuishi wanavyotaka bila bughudhaMali asili mtalaumiwa kwann kama mlijua yotehaya hamkutaka kumlinda bob Jr na familia yake ? Mmemkosea
Kwan uyo simba ni nani mbona anapewa airtime zisizokua na msingi
R.I.P, mazishi ya kitaifa lini?......taarifa zinadai kuwa Bob junior na Joel ni ndugu wa karibu na kwa mujibu wa tanapa ni kwamba ugomvi ulianza Kwa Bob junior kuvamiwa......Joel alipoona mapambano makali aliamua kusepa ndo Bob kutokana na uzee alizidiwa na kufariki......inashauriwa watanzania kuwa watulivu ktk kipindi hiki kigumu.....Joel anaendelea kutafuta na bob junior atakumbukwa daima.......
Hapo TANAPA hawahusiki sasa, wapongeze TANAPA kwa kufanya kazi yao na walaumu hizo taasisi nyingine kwa kuzembeaMatukio ya watu kupotea yanapotokea vyombo husika inafanya kazi kama inavyostahili?
Watu wanapata hela kupitia hao Simba unazungumzia airtime daah Nchi ngumu hii...na hapo unaweza kuwa graduateKwan uyo simba ni nani mbona anapewa airtime zisizokua na msingi
Ni nature na pia hawatakiwi waamulie ugomvi wa Simba wanaotaka kumiliki eneo lao kifalme hata baba yake Bob aliuawa pia yupo Mwingine wa Masai Mara Kenyq aliitwa Scarface nae aliuawa mwaka 2021 na alipigana vita kadhaa mpaka kuumizwa jicho la kulia na kubatizwa hilo jina...Mali asili mtalaumiwa kwann kama mlijua yotehaya hamkutaka kumlinda bob Jr na familia yake ? Mmemkosea
Hilo swali kaviulize vyombo husika, wao TANAPA kama chombo husika cha kumtafuta huyo Simba wapo kufanya kazi yao.Kweli ni kazi yao tanapa lkn matukio ya watu kupotea yanapotokeaga vyombo husika inafanya kazi kama inavyostahili
Kaenda kushtua ukoo, soon watarudi kulipa kisasi 😅😅Labda ameenda kutoa taarifa kwa wana ukoo wengine
Mpeni muda, lazima atarudi kwa ajili ya mazishi