willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,026
- 1,179
Email umepata mda gani??Hatimae nimepata email ya usaili tarehe 20 mwezi huu toka mwaka jana mwezi wa kumi na mbili ila nasikitika sitokwenda kufanya nataka nijiajiri tu. Interview za tanapa siwezi haribu nauri wakati najua hata kupata field mpaka ujuane na mtu wa tanapa. Asanteni tanapa ila sitokuja.
Email umepata mda gani??
Leo saa nne usiku
IctUliomba kada gani??
Kwaninu usingeenda ukitegemea nafasi za ICT zilikuwa 10
Me mbona nlienda ya ngorongoro japo niliishia prac ila kwa stage nlofikia nliona wapo fair sababu ni utumishi walisimamia.Ila labda kama walichekecha kwenye kuita kaziniNdugu uliza wanaotafuta field tanapa mi nishaenda kutafuta field majibu ni unamfaham nani tanapa kama huna na field hakuna. Hivo hata hizo nafasi zishajaa zote
Hawajaita watu kazini mpaka leoMe mbona nlienda ya ngorongoro japo niliishia prac ila kwa stage nlofikia nliona wapo fair sababu ni utumishi walisimamia.Ila labda kama walichekecha kwenye kuita kazini
Hawajaita watu kazini mpaka leo
Yan nilivyosoma hii ndio na mm nimechungulia kweny e mail yang nmekuta msg na mm nimeitwa kweny usahilHatimae nimepata email ya usaili tarehe 20 mwezi huu toka mwaka jana mwezi wa kumi na mbili ila nasikitika sitokwenda kufanya nataka nijiajiri tu. Interview za tanapa siwezi haribu nauri wakati najua hata kupata field mpaka ujuane na mtu wa tanapa. Asanteni tanapa ila sitokuja.
Nenda kajaribu bahati yakoHatimae nimepata email ya usaili tarehe 20 mwezi huu toka mwaka jana mwezi wa kumi na mbili ila nasikitika sitokwenda kufanya nataka nijiajiri tu. Interview za tanapa siwezi haribu nauri wakati najua hata kupata field mpaka ujuane na mtu wa tanapa. Asanteni tanapa ila sitokuja.
Wameita kada ngapi mkuu?Yan nilivyosoma hii ndio na mm nimechungulia kweny e mail yang nmekuta msg na mm nimeitwa kweny usahil
Mm cjui ila nimeitwa upande ICTWameita kada ngapi mkuu?
yani umenikata maini maana nilikua na wazo moja tu la kwenda lakini baada ya kusoma hii post yako now nimepata mawazo mawili hapo ndio napiga hesabu aidha niende au nisiendeHatimae nimepata email ya usaili tarehe 20 mwezi huu toka mwaka jana mwezi wa kumi na mbili ila nasikitika sitokwenda kufanya nataka nijiajiri tu. Interview za tanapa siwezi haribu nauri wakati najua hata kupata field mpaka ujuane na mtu wa tanapa. Asanteni tanapa ila sitokuja.
Nenda kajaribu bahati yakoyani umenikata maini maana nilikua na wazo moja tu la kwenda lakini baada ya kusoma hii post yako now nimepata mawazo mawili hapo ndio napiga hesabu aidha niende au nisiende
poa ngoja niende nikapate na uzoefu maana hii ndio itakua interview yangu ya kwanza.Nenda kajaribu bahati yako
Ila mzee jipange,taasisi hizi kila mtu anazitolea macho na paper zake zinakuwaga zimesimama sanapoa ngoja niende nikapate na uzoefu maana hii ndio itakua interview yangu ya kwanza.