TANAPA hatimaye wameniita kwenye usaili

willy ze great

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
1,025
1,177
Hatimaye nimepata barua pepe ya usaili tarehe 20 mwezi huu toka mwaka jana mwezi wa kumi na mbili ila nasikitika sitokwenda kufanya nataka nijiajiri tu.

Usaili wa TANAPA siwezi haribu nauri wakati najua hata kupata field mpaka ujuane na mtu wa TANAPA.

Asanteni TANAPA ila sitokuja.
 
Hatimae nimepata email ya usaili tarehe 20 mwezi huu toka mwaka jana mwezi wa kumi na mbili ila nasikitika sitokwenda kufanya nataka nijiajiri tu. Interview za tanapa siwezi haribu nauri wakati najua hata kupata field mpaka ujuane na mtu wa tanapa. Asanteni tanapa ila sitokuja.
Email umepata mda gani??
 
Ndugu uliza wanaotafuta field tanapa mi nishaenda kutafuta field majibu ni unamfaham nani tanapa kama huna na field hakuna. Hivo hata hizo nafasi zishajaa zote
Me mbona nlienda ya ngorongoro japo niliishia prac ila kwa stage nlofikia nliona wapo fair sababu ni utumishi walisimamia.Ila labda kama walichekecha kwenye kuita kazini
 
Hatimae nimepata email ya usaili tarehe 20 mwezi huu toka mwaka jana mwezi wa kumi na mbili ila nasikitika sitokwenda kufanya nataka nijiajiri tu. Interview za tanapa siwezi haribu nauri wakati najua hata kupata field mpaka ujuane na mtu wa tanapa. Asanteni tanapa ila sitokuja.
Yan nilivyosoma hii ndio na mm nimechungulia kweny e mail yang nmekuta msg na mm nimeitwa kweny usahil
 
Hatimae nimepata email ya usaili tarehe 20 mwezi huu toka mwaka jana mwezi wa kumi na mbili ila nasikitika sitokwenda kufanya nataka nijiajiri tu. Interview za tanapa siwezi haribu nauri wakati najua hata kupata field mpaka ujuane na mtu wa tanapa. Asanteni tanapa ila sitokuja.
Nenda kajaribu bahati yako
 
yani umenikata maini maana nilikua na wazo moja tu la kwenda lakini baada ya kusoma hii post yako now nimepata mawazo mawili hapo ndio napiga hesabu aidha niende au nisiende:rolleyes::rolleyes:
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom