Pole sana kwa hilo tatizo la CLM (Cuteneous larva migrants) i think thiabendazole unaweza ipata kwa pharmacy moja ipo pale Namanga karibia na best bite au kuna pharmacy ingine inaitwa platinumz ipo opposite na shoppers plaza mikocheni.
Altenatively you can use Albendazole 400mg od for 3 days