Kea huba wanazingua. Kila mtu ana kampuniTayari ni bongo movie hivyo hakuna cha kushangaza hapo.
Tamthiliya nzima matajiri
Aah aah aah!Tayari ni bongo movie hivyo hakuna cha kushangaza hapo.
Tamthiliya nzima matajiri
Unataka number ili iweje?Jmn mwenye namba ya kibenten cha tesa namsalimia
Kea huba wanazingua. Kila mtu ana kampuni
Itakuwa umeanza kuangalia HUBA hivi karibuni wewe huyo dada haigizi kama jini ila Mama yake anataka kumpa mikoba ya kichawi na binti anakataa na ndiyo mama ameamua kumharibia kwa hiyo hana uwezo wa kuzuia kunyanyaswa na mwanaume wala kuforesee nini kitampata. Fuatilia vizuri na ubaya episode zao hazipo Youtube inabidi ulipie tu uone mbele itakuwaje.Hii ni tamthiliya ya kitanzania ikiwa na masuparstars kibao wa bongo movie inayooneshwa na DStv katika channel ya Maisha bongo ki ukweli ni nzur Sana kwenye hili na wasifia bongo movie na inawatazamaji wengi pamoja na kuwa nzuri ila inachangamoto zake mfano Kuna mchawi jina simkumbuki vizuri lakini ni mtoto wa Bibi sikitu ni meshangaa pamoja na kuwa mchawi eti naye anateswa na mapenzi na binadamu wakawaida analia lakini pia Mali zake zinachuliwa na yeye hajui anachuliwa bwana wake na mwanamke aliyetumwa na mtu ili haaribu mahusiano yake bila yeye kujua na nazaidi eti huyo jini anafukuzwa kazi na binadamu wa kawaida anabaki akiwa Hana fedha.
Sasa najiuliza kazi ya director ni ipi hapo kuruhusu mambo Kama hayo kwenye tamthiliya inamaana hawafanyi preview?before yakua achia tamthiliya hewani.
Kingine ambacho nimeshangaa Kuna mdada yupo na inadaiwa ni muuaji anaamua kupiga simu polisi kutoa report kwamba yupo na muuaji na ametaja yupo nyumba number Fulani pekee bila kutoa taarifa za ndani Kama yupo sehemu fulani,mtaa gani? Hii nimeona kwenye tamthiliya ya Rebeca ya bongomovie nayo ipo hapo hapo DStv.
kweli huyo ndio kajiunga na dstv hivi karibuniItakuwa umeanza kuangalia HUBA hivi karibuni wewe huyo dada haigizi kama jini ila Mama yake anataka kumpa mikoba ya kichawi na binti anakataa na ndiyo mama ameamua kumharibia kwa hiyo hana uwezo wa kuzuia kunyanyaswa na mwanaume wala kuforesee nini kitampata. Fuatilia vizuri na ubaya episode zao hazipo Youtube inabidi ulipie tu uone mbele itakuwaje.
Labda wenzake hawajui kiswahili ndio akawadanganya.Hizi tamthilia zinachekesha sana, eti yule msomali(Devi) na timu yake wamekwenda kwenye shindano na timu yake wakashinda million 200 lkn akawadanganya wenzie wameshinda million 30 hivyo wakagawana ile million 30 zilizobaki akaficha. Sasa nikajiuliza imewezekana vipi, ina maana waandaji wa shindano walifanya zawadi kuwa siri kiasi kwamba washiriki wengine hawakujua? Lakini nikasema poa tu kwenye bongo movie kila kitu kinawezekana
Naomba ratiba ya selina mkuuTazama Pete ama Selina kwenye Maisha Magic East wako vizuri sana Chaneli 158
Tesa na hicho Kibenten chake mbona naona kama wote ni wadada tu!!Jmn mwenye namba ya kibenten cha tesa namsalimia
We hujaona watu wewe, ngoja nikuibie kidogo, Mimi nilikuwa namuona mkwe wangu kabla ya kulala anajipodoa huyo halafu anaenda kulala.Sijui huba au kapuni eti kuna mwanamke kalala, mumewe anajiandaa anatoka, (hiyo ni asubuhi) anamuaga anatoka [emoji15] eee mwanamke kumka na makeup yake na wanja wa lulu juu vimesimama vilevile kama vimetokwa kupakwa[emoji44]
Hizo shuka hazichafuki?We hujaona watu wewe, ngoja nikuibie kidogo, Mimi nilikuwa namuona mkwe wangu kabla ya kulala anajipodoa huyo halafu anaenda kulala.