Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,103
- 72,545
AhhhhahahhhahaMuda wote ni kama anataka kucheka muda wote🤣
Wangekapa character kama ya wifi yake asingeweza kabisa.
Leo amenifurahisha Mama Nelson
Alice amerudi na simu anamwambia hongera mjukuu wangu ayayaya😂😂😂😂