Tamthilia ya Bibi Titi Mohammed na Prof. Emmanuel Mbogo

Kunaweza kukawa na ukweli
Lakini ndio historia haiwez kuwasema wote walioshiriki
Kwa kumsoma muhusika mkuu ndio tutawajua na wengine
 
Ukisema hivyo utakuwa unakosea mwanajukwaa
Tofauti ni kawaida ktk dunia hii
Katika kila harakati kunakuwa na mtu wa kuzipamba hizo harakati
Ni kweli mtupu kuwa uhuru uliletwa na watu wengi na kuwataja wote haiwezekani
Ni katika kumfuatilia huyo aliyeleta uhuru ndio tunajua ni akinanani alishirikiana nao
Kwa mfano Mwl alisema kuwa bila wazee wa dar es salaam ambao wengi walikuwa waislam asingefanikiwa ktk harakati zake
Bibi Titi ni shujaa na vizazi vitaendelea kumkumbuka milele
Unataka kusema Nyerere ndo mwasisi wa hizo unazoziita harakati zake?
 
Hakuwa muasisi, alikuta harakati zimeshaanza zamani sana tangu enzi za kina Abushiri, Kinjekitile na wengineo wengi... Lakini ndo hivyo tena uhuru ulimuangukia mikononi mwake hivyo historia haina budi kumtambua kwa niaba ya wote walioshiriki!!

Hata kwenye mchezo wa mpira wa miguu, mfungaji wa magoli hupata sifa sana hata wakati mwingine kuitwa shujaa kwa kuifungia goli timu yake, lakini hiyo haimaanishi uwanjani alikuwa peke yake!!! Makocha wanatambua hilo, wachezaji wenzie wanatambua na hata mashabiki wanatambua!!

Kwanini Ronaldo /Messi wamepewa mipira ya dhahabu kwa kufunga hat - trick kwenye michezo kadhaa na sio wachezaji wote!? Kwani hiyo inamaanisha uwanjani walicheza peke yao!?
 
KWa sasa Onesho la Bibi Titi linaandaliwa kwa lengo la kulicheza jukwaani jijini Dar es Salaam mwezi Novemba. Taarifa zaidi nitaweka hapa na pia kwa kupitia instagram account @swahilisayings
 
Hakuwa muasisi, alikuta harakati zimeshaanza zamani sana tangu enzi za kina Abushiri, Kinjekitile na wengineo wengi... Lakini ndo hivyo tena uhuru ulimuangukia mikononi mwake hivyo historia haina budi kumtambua kwa niaba ya wote walioshiriki!!

Hata kwenye mchezo wa mpira wa miguu, mfungaji wa magoli hupata sifa sana hata wakati mwingine kuitwa shujaa kwa kuifungia goli timu yake, lakini hiyo haimaanishi uwanjani alikuwa peke yake!!! Makocha wanatambua hilo, wachezaji wenzie wanatambua na hata mashabiki wanatambua!!

Kwanini Ronaldo /Messi wamepewa mipira ya dhahabu kwa kufunga hat - trick kwenye michezo kadhaa na sio wachezaji wote!? Kwani hiyo inamaanisha uwanjani walicheza peke yao!?

Hao wachezaji wengine ndiyo haswa leo hii tunawasoma. Leo tunaelewa kuwa kumbe Nyerere hata jina la TANU hakulibuni na lilikuwepo hata kabla yeye kuja Dar. Dogo hilo?

Leo tunafahamu kuwa ugomvi wa Nyerere na Bi Titi ulitokana na Bi Titi kutetea taasisi ya Waislam. Dogo hilo?
 
Sidhani kama kuna jambo jema lolote lile ambalo umewahi kulisema kuhusu Nyerere na members wengine wa TANU hasa waislam!! Mtu yeyeto akiamua kufanya utafiti kwa basis ya kutafuta negativity ya binadamu tambua kuwa haiwezi kukosekana kamwe!!

Sidhani kama unatambua madhara ya mbegu na nguvu kubwa unayowekeza katika maandishi yako kuhusiana na uhuru wa Tanganyika!

Unajidanganya na kujinasibu eti unajaribu kurekebisha makosa, lakini huo ni unafiki wa mchana kweupe!!

Ukweli ni kwamba unapandikiza chuki hadharani dhidi ya pande mbili kwa sababu unazozijua mwenyewe!!

Mtu mwenye busara hujikita kueleza mambo mazuri yanayofaa kuigwa vizazi na vizazi kuliko unavyofanya wewe!!

Nadhani una mengi unayoyafahamu kuhusu wapigania uhuru wetu, je, haitoshi kutupa historia yao pasipo kuhusianisha na ugomvi au misuguano na Nyerere!?

Ni busara kutumia maarifa yenu kujenga nyumba imara (pande zote) kuliko kujaribu kupandikiza chuki dhidi ya pande fulani!
Kipi kibaya alichokiandika? Hadi ukafikia kutoa povu namna hiyo?

Huo ufataani uko wapi, uoneshe.

Nadhani majina yanakuumiza. Unatamani badala ya Titi Mohamed ingekuwa Titi Emanuel. Haiji.
 
Mimi ni miongoni mwa wapenda historia kwasababu nafahamu umuhimu wa historia katika jamii yoyote ile

Hata hivyo, Tanzania ni nchi iliyoamua kutoegemea upande wa didini yoyote hivyo ni vizuri kulidumisha hili

Mzee wangu huyu anaijua historia vizuri kutokana na alivyojihangaisha kuijua

Hata hivyo hayo yote anayoyajua hayataweza kufanikiwa kwasababu ya namna ya uwasilishaji wake! Huo ndo ukweli mtake msitake!

Maandishi yake mengi kuna namna kwa asilimia kubwa anayaelekeza kuhusianisha dini fulani na dini fulani, kwamba watu wa dini hii walipigania uhuru zaidi ya watu wa dini hii, hili haliwezi kupokelewe kwenye nchi isiyoamini dini!

Kuna historia nyingi sana za kuandika; historia ya familia, ukoo, kabila, dini, hata historia za wanyama, mimea na hata wadudu! Aandike hizo!

Unapoandika historia ya nchi kuna vitu vingi sana vya kuzingatia! Hilo unalijua vizuri mzee wangu analijua vizuri sana yeye kama msomi!

Nimalizie kwa kusema, ni kweli historia yetu ya ukombozi haijakaa vizuri, lakini huu sio utaratibu mzuri wa kui review! Aache kuhusianisha dini na wapigania Uhuru kwasababu waliopigania Uhuru walitumwa na nafsi zao na ujasiri wao wala sio dini zao zilizowatuma!

Halafu kitu kingine, tutambue hizi dini zote sio zetu....zina wenyewe! Sisi tumezipokea tu hivyo zisitutoe akili! Wenye nazo wanatucheka kwa kupokea tamaduni zisizozetu na kuzikumbatia na kutaka kutugawa kwazo!
 
Hayo yako wewe.

Anaeipenda historia huwa hauogopi ukweli wa historia bali huuogopa uongo wa historia.

Mfano mzuri ni kisa cha mzozo (ugomvi) wa Nyerere na Bi Titi. Kuna mtu humu kaandika ulikuwa ugomvi baada ya Azimio la Arusha (1967) kwa kuwa bi Titi kataifishwa mali zake. Allama Mohamed Said kajibu kuwa haikuwa hivyo na mzozo haukuwa mwaka huo wa Azimio la Arusha bali sababu ni EAMWS na ni mwaka 1963 na kaelezea kwanini.

Hapo kuna fitna ipi? Au ulitaka Allama Mohamed Said "amezee" tu na ilhali ukweli anaujuwa kutoka kinywani kwa Bi Titi?

Au inakuuma kwa kuwa ukweli ni mchungu?
 
Hakuna asiyefahamu kuwa Mwalimu Nyerere alishaona mbali hatari itakayotokea endapo tu angeruhusu makundi kama hayo yaote mizizi katika nchi hii.

Kuona mbali ni sifa kuu ya kiongozi bora! Hebu fikiria mwenyewe, unadhani makundi kama hayo aliyokuwa anayatetea Bibi Titi na wenzake, ambayo Mzee wetu huyu na wewe mpambe wake mnaotaka vizazi vyenu viyadai na nchi yetu ifaute misingi hiyo muitakayo nyie! Leo ningepata wapi mimi huu ujasiri wa kubishana na wewe hapa jukwaani!?!? Mnajijua wenyewe msivyokuwa na subra katika jambo lolote!

Heko kwa Mwalimu kwa kuona mbali na kutujengea nchi yenye amani na usawa katika dini zote

Leo tunakula sahani moja, tuanaoana, tunaalikana, tunashirikiana kwenye matukio ya kijamii na hata kesho tutashirikiana kwenye sherehe ya Iddy!

Huoni kama Mwalimu alikuwa jembe kutoruhusu hayo makundi yajimilikishe Tanzania yetu!?

Hakuna binadamu mkamilifu hiyo sote tunakubali, hivyo tumshukuru Mungu kwa hivi tunavyoishi maana hakuwa kazi rahisi kutujenga tuishi kwa umoja hivi! Tusiruhusu 'virus" wa kutugawa aingie kati yetu

Kuhusu kubishana kwa historia yetu, hiyo wala sishangai maana ni kweli mtu yeyeto anayejiahangaisha kujua ukweli ni wazi anafahamu historia yetu ina mapungufu mengi kwa hiyo tuliowengi hatuyajui mengi

Hata hivyo hiyo isiwe kigezo cha mzee wetu huyu kutaka historia isomeke anavyotaka yeye au mnavyotaka nyinyi

Kumbuka tunaongela historia ya wapigania uhuru wa Tanganyika wala hatutaki kuandika historia ya wapigania uhuru wa vikundi vya dini au wafia dini!

Tunaandika historia ya nchi na mashujaa wa nchi sio historia ya dini na wafia dini au mitume!
 
Mimi ni miongoni mwa wapenda historia kwasababu nafahamu umuhimu wa historia katika jamii yoyote ile

Hata hivyo, Tanzania ni nchi iliyoamua kutoegemea upande wa didini yoyote hivyo ni vizuri kulidumisha hili

Mzee wangu huyu anaijua historia vizuri kutokana na alivyojihangaisha kuijua

Hata hivyo hayo yote anayoyajua hayataweza kufanikiwa kwasababu ya namna ya uwasilishaji wake! Huo ndo ukweli mtake msitake!

Maandishi yake mengi kuna namna kwa asilimia kubwa anayaelekeza kuhusianisha dini fulani na dini fulani, kwamba watu wa dini hii walipigania uhuru zaidi ya watu wa dini hii, hili haliwezi kupokelewe kwenye nchi isiyoamini dini!

Kuna historia nyingi sana za kuandika; historia ya familia, ukoo, kabila, dini, hata historia za wanyama, mimea na hata wadudu! Aandike hizo!

Unapoandika historia ya nchi kuna vitu vingi sana vya kuzingatia! Hilo unalijua vizuri mzee wangu analijua vizuri sana yeye kama msomi!

Nimalizie kwa kusema, ni kweli historia yetu ya ukombozi haijakaa vizuri, lakini huu sio utaratibu mzuri wa kui review! Aache kuhusianisha dini na wapigania Uhuru kwasababu waliopigania Uhuru walitumwa na nafsi zao na ujasiri wao wala sio dini zao zilizowatuma!

Halafu kitu kingine, tutambue hizi dini zote sio zetu....zina wenyewe! Sisi tumezipokea tu hivyo zisitutoe akili! Wenye nazo wanatucheka kwa kupokea tamaduni zisizozetu na kuzikumbatia na kutaka kutugawa kwazo!
Uncle...
Unajenga hoja bila ya kuwa na taarifa zakutosha hapo unaposema Tanzania
haiegemei upande wowote wa dini.

Unaweza kutoa ushahidi wa kuthibitisha hilo?

Ukweli unasema vinginevyo na ushahidi upo na tatizo hili lilianza mara tu baada
ya uhuru kupatikana mwaka wa wa 1961.

Soma vitabu hivi:
P. van Bergen, ''Religion and Development in Tanzania,'' (1981).
John Sivalon, ''Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara ...''
(1992).
Vitabu hivi viwili havisambazwi tena nchini.

Hamza Njozi, ''Mwembechai Killings...''v(2002).
Kitabu kimepigwa marufuku na serikali.

Ikiwa utapenda msome na Mwandishi kitabu cha Sykes (1998).

Kuhusu Uislam katika harakati za kudai uhuru fanya ''deduction,''
jibu utalipata.

La itakuwa hukupata jibu rejea hapa na nitatoa darsa zima katika
nukta hii.

Lakini kukusaidia uelewe nafasi ya Uislam katika TANU ingia hapo
chini:

Hayo mengine ya ''dini kuwa si zetu,'' nk. sijona uhusiano wake na
uandishi wangu wa kusahihisha historia ya TANU na uhuru wa
Tanganyika kwa hiyo sikuona haja ya kuyasemea.

1565548796411.png
 
Sidhani kama kuna jambo jema lolote lile ambalo umewahi kulisema kuhusu Nyerere na members wengine wa TANU hasa waislam!! Mtu yeyeto akiamua kufanya utafiti kwa basis ya kutafuta negativity ya binadamu tambua kuwa haiwezi kukosekana kamwe!!

Sidhani kama unatambua madhara ya mbegu na nguvu kubwa unayowekeza katika maandishi yako kuhusiana na uhuru wa Tanganyika!

Unajidanganya na kujinasibu eti unajaribu kurekebisha makosa, lakini huo ni unafiki wa mchana kweupe!!

Ukweli ni kwamba unapandikiza chuki hadharani dhidi ya pande mbili kwa sababu unazozijua mwenyewe!!

Mtu mwenye busara hujikita kueleza mambo mazuri yanayofaa kuigwa vizazi na vizazi kuliko unavyofanya wewe!!

Nadhani una mengi unayoyafahamu kuhusu wapigania uhuru wetu, je, haitoshi kutupa historia yao pasipo kuhusianisha na ugomvi au misuguano na Nyerere!?

Ni busara kutumia maarifa yenu kujenga nyumba imara (pande zote) kuliko kujaribu kupandikiza chuki dhidi ya pande fulani!
Ni kweli kwa mtazamo wako hii kitu inaweza kuleta mpasuko, ila pia hatupaswi kukaa kimya katika kutaka historia nchi yetu iandikwe upya na kuakisi mambo yote ya harakati za Uhuru.

Ukiangalia vitu elimu inayotolewa kuhusu harakati za uhuru wa nchi yetu umeanzia na Nyerere kana kwamba yeye ndio mwanzo wa harakati zote.

Tuchukulie mfano Afrika ya Kusini ingawa Mandela alikua shujaa wa harakati za kumaliza ubaguzi lakini historia haikuwaacha nyuma wakina Oliver Tambo na Sisulu. Ila Tanzania sijui ni kwa makusudi au ni ndio tunavyotaka historia ya nchi yetu kubaki na walakini kwa kuto kuakisi harakati zote muhimu za Uhuru.
 
Mimi ni miongoni mwa wapenda historia kwasababu nafahamu umuhimu wa historia katika jamii yoyote ile

Hata hivyo, Tanzania ni nchi iliyoamua kutoegemea upande wa didini yoyote hivyo ni vizuri kulidumisha hili

Mzee wangu huyu anaijua historia vizuri kutokana na alivyojihangaisha kuijua

Hata hivyo hayo yote anayoyajua hayataweza kufanikiwa kwasababu ya namna ya uwasilishaji wake! Huo ndo ukweli mtake msitake!

Maandishi yake mengi kuna namna kwa asilimia kubwa anayaelekeza kuhusianisha dini fulani na dini fulani, kwamba watu wa dini hii walipigania uhuru zaidi ya watu wa dini hii, hili haliwezi kupokelewe kwenye nchi isiyoamini dini!

Kuna historia nyingi sana za kuandika; historia ya familia, ukoo, kabila, dini, hata historia za wanyama, mimea na hata wadudu! Aandike hizo!

Unapoandika historia ya nchi kuna vitu vingi sana vya kuzingatia! Hilo unalijua vizuri mzee wangu analijua vizuri sana yeye kama msomi!

Nimalizie kwa kusema, ni kweli historia yetu ya ukombozi haijakaa vizuri, lakini huu sio utaratibu mzuri wa kui review! Aache kuhusianisha dini na wapigania Uhuru kwasababu waliopigania Uhuru walitumwa na nafsi zao na ujasiri wao wala sio dini zao zilizowatuma!

Halafu kitu kingine, tutambue hizi dini zote sio zetu....zina wenyewe! Sisi tumezipokea tu hivyo zisitutoe akili! Wenye nazo wanatucheka kwa kupokea tamaduni zisizozetu na kuzikumbatia na kutaka kutugawa kwazo!
Hapana the truth must be told we can not be in denial wa hili. People must get their credits for their contributions and it is true walikua waislamu mstari wa mbele katika Uhuru na kwa makusudi kabisa historia ikawa twisted.

Mbona wakijilipua hatuanzi kuangalia kua kuna Waislamu wema tunaoishi nao kwa amani na ushirikiano, badala yake tunalaumu jamii nzima ya waislamu kua ndivyo walivyo pasi ya kua na ukakasi. Ila katika mambo kama haya ndio tunakua na ukakasi kukubali mchango wao.
 
Hakuna asiyefahamu kuwa Mwalimu Nyerere alishaona mbali hatari itakayotokea endapo tu angeruhusu makundi kama hayo yaote mizizi katika nchi hii.

Kuona mbali ni sifa kuu ya kiongozi bora! Hebu fikiria mwenyewe, unadhani makundi kama hayo aliyokuwa anayatetea Bibi Titi na wenzake, ambayo Mzee wetu huyu na wewe mpambe wake mnaotaka vizazi vyenu viyadai na nchi yetu ifaute misingi hiyo muitakayo nyie! Leo ningepata wapi mimi huu ujasiri wa kubishana na wewe hapa jukwaani!?!? Mnajijua wenyewe msivyokuwa na subra katika jambo lolote!

Heko kwa Mwalimu kwa kuona mbali na kutujengea nchi yenye amani na usawa katika dini zote

Leo tunakula sahani moja, tuanaoana, tunaalikana, tunashirikiana kwenye matukio ya kijamii na hata kesho tutashirikiana kwenye sherehe ya Iddy!

Huoni kama Mwalimu alikuwa jembe kutoruhusu hayo makundi yajimilikishe Tanzania yetu!?

Hakuna binadamu mkamilifu hiyo sote tunakubali, hivyo tumshukuru Mungu kwa hivi tunavyoishi maana hakuwa kazi rahisi kutujenga tuishi kwa umoja hivi! Tusiruhusu 'virus" wa kutugawa aingie kati yetu

Kuhusu kubishana kwa historia yetu, hiyo wala sishangai maana ni kweli mtu yeyeto anayejiahangaisha kujua ukweli ni wazi anafahamu historia yetu ina mapungufu mengi kwa hiyo tuliowengi hatuyajui mengi

Hata hivyo hiyo isiwe kigezo cha mzee wetu huyu kutaka historia isomeke anavyotaka yeye au mnavyotaka nyinyi

Kumbuka tunaongela historia ya wapigania uhuru wa Tanganyika wala hatutaki kuandika historia ya wapigania uhuru wa vikundi vya dini au wafia dini!

Tunaandika historia ya nchi na mashujaa wa nchi sio historia ya dini na wafia dini au mitume!
Kama kwa "Makundi" unamaanisha kuwa Nyerere aliiogopa East African Muslim Walfare Society basi upo sahihi kwani ndicho kilio chetu, EAMWS iliunganisha Waislam na ilikuwa ijenge chuo kikuu cha kwanza cha Waislam Tanganyika. Kama hofu yake ilikuwa Waislam wataelimika basi naam alifanikiwa na ndicho kilichomponza BibiTiti na Kighoma Malima kwa kutetea tu maslahi ya Waislam.

Ni vyema sana umeanza kuonesha ngozi yako halisi.

Napenda pia uelewe "makundi" hayo ya Waislam ndiyo yaliyoisaidia Tanganyika katika harakati za Uhuru kabla na baada ya TANU kuliko kundi lingine lolote la dini.

Hautaki tujuwe "makundi" ya wanaharakati hao walikuwa akina nani na walifanya nini?

Au kuna sababu nyengine ya kuhofia "makundi" ya Waislam uijuayo ambayo hatuijuwi?
 
Uncle...
Unajenga hoja bila ya kuwa na taarifa zakutosha hapo unaposema Tanzania
haiegemei upande wowote wa dini.

Unaweza kutoa ushahidi wa kuthibitisha hilo?

Ukweli unasema vinginevyo na ushahidi upo na tatizo hili lilianza mara tu baada
ya uhuru kupatikana mwaka wa wa 1961.

Soma vitabu hivi:
P. van Bergen, ''Religion and Development in Tanzania,'' (1981).
John Sivalon, ''Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara ...''
(1992).
Vitabu hivi viwili havisambazwi tena nchini.

Hamza Njozi, ''Mwembechai Killings...''v(2002).
Kitabu kimepigwa marufuku na serikali.

Ikiwa utapenda msome na Mwandishi kitabu cha Sykes (1998).

Kuhusu Uislam katika harakati za kudai uhuru fanya ''deduction,''
jibu utalipata.

La itakuwa hukupata jibu rejea hapa na nitatoa darsa zima katika
nukta hii.

Lakini kukusaidia uelewe nafasi ya Uislam katika TANU ingia hapo
chini:

Hayo mengine ya ''dini kuwa si zetu,'' nk. sijona uhusiano wake na
uandishi wangu wa kusahihisha historia ya TANU na uhuru wa
Tanganyika kwa hiyo sikuona haja ya kuyasemea.

View attachment 1178641
Haviwezi kusambazwa na havitasambazwa vitabu kama hivyo kwa sababu wanaviandika (ukiwemo wewe) wanamalengo "mahususi" ya kuligawa Taifa kwa "udini"

Kwamba sina taarifa kamili huenda uko sahihi ama hauko sahihi kwasababu sio rahisi kila mtu awe na taarifa sahihi za kila kitu na sio kila taarifa sahihi inapaswa kuwa hadharani! Hapa ndo hamtaki kupaelewa na mtalalama sana na hamtokaa mfanikiwe!

Wakati mwingine lazima muelezwe ukweli tu!

Hawa Babu zetu waliomkaribisha Mwalimu Nyerere kujiunga nao kupigania Uhuru na hatimaye kulikomboa Taifa letu hawakuwa na fikra mgando mnazotaka vizazi vyenu virithi!

Hawa Babu zetu walipigania uhuru wa nchi yetu kwa kusukumwa na uzalendo wao wala sio dini zao hilo mnapaswa kulielewa.

Laiti kama wangesukumwa na dini zao hawa mnaowaita makafiri wasingepata nafasi ya kushiriki harakati hizi za ukombozi wa nchi yao zaidi zaidi watawala wangetumia mwanya huo kuendelea kuwagawa kwa kutumia udini maana lazima tu wangejengeana uhasama.

Ukweli utabaki kuwa ukweli, Mwalimu Nyerere aliona mbali hasa baada ya hayo makundi kuanza kutaka kujimilikisha nchi! Hakuna kiongozi mpenda haki, mpenda amani angeruhusu kitu hicho!

Mzee wangu unayajua mengi kutokana na ulivyojishughulisha kuyajua.

Hata hivyo, hunabudi kubadili mtazamo na kuacha kuhusisha dini na harakati za ukombozi kwani ni wazi wazee wetu walisukumwa na uzalendo wao wala si dini zao ndiomaana walikuwa tayari kushirikiana na watu wasio wa dini zao.

Haipingiki kwamba kwa harakati zozote zilizoanzia ukanda wa pwani ni lazima zingesheheni watu waliokwisha rithishwa dini ya kiislam kwasababu ukanda wa pwani wote ulishaenea dini hiyo hata kabla ya ukoloni!

Tanzania yetu ni ya thamani sana kuliko hizo dini zilizokuja na meli! Tanzania yetu hii ipo kwa mpango wa Mungu wala sio kwa mpango wa dini fulani!

Kwasababu hiyo ilibidi Mungu atuletee kiongozi atakayefifisha ndoto za waliotaka kujimilikisha nchi hii kama wameiumba wao!

Hayo makundi anayoyatetea Dada yetu Faiza, ni wazi yangeachiwa yajitanue, yajitape leo hii tusingekuwa hivi!

Historia nyingine iko wazi wala haijafichwa, makundi hayo yaliminywa ili tuwe na Tanzania isiyo na dini! Tumesoma darasani na watoto wanasoma hadi leo makundi kama "AMNUT" ilibidi tu yapigwe stop kwasababu yalishaanza kuonyesha dalili isiyo njema ya kutaka kueneza dini badala ya utaifa!

Sipingani na unayoyafahamu wala sina haja ya kufanya rejea ulizozitaja, napingana na mtazamo wenu wa kutaka nchi hii iwe ya kiislam eti kisa walioasisi harakati za ukombozi walikuwa waislamu! HIKI KITU HAKITAWEZEKANA!

Hao wazee wetu kina Bibi Titi, Sykes's family, na wengine wengi tunawaheshimu na tutaendelea kuenzi michango yao katika kuliletea Taifa hili uhuru, ila kwa wao kuhusika msitake nchi hii tuigawe kwa waarabu maana kuipa umiliki wa dini ya kiislam ni sawa na kuigawa kwa waarabu maana ndio waasisi wa dini hiyo!

Mimi binafsi nitampa credit mzee atakayeanzisha harakati za kutaka tuachane na hizi dini za kikoloni zilizofanikisha watu wetu kufanywa watumwa na hatimaye kutuletea ukoloni kuliko watu kama nyie ambao mnazipigia upatu kana kwamba Babu zenu walikosea kuwa na dini zao walizokuwa nazo kabla ya hizi kuja huku!

Tuachane na udini, tujenge nchi yetu! Tunapoyaendekeza haya hakika tunazidisha chuki na vinyongo ndani ya nafsi zetu kitu ambacho sidhani kama Mwenyezi Mungu anakiruhusu!

Historia nzuri ni ile inayotokana/andikwa na mtu asiyekuwa na upande! Kwa kuwa na upande ni hakika huwezi kutuletea historia yenye usahihi kama unavyodhani
 
Hapana sio dhambi kutaka historia iandikwe upya, ni kweli Nyerere aliona mbali na kufutilia mambo yote ya kidini. Ila Faiza kutaka kuona historia ya uhuru wetu inawekwa sawa pia haina tatizo.

Ukitaka kujua historia ina umuhimu angalia wazungu walichotufanyia Africa haina historia kama Ulaya wakati early civilization started in Africa they exported it. Ni miaka ya hivi karibuni wa Afrika tumeanza kutaka historia ya Afrika iwe appreciated na notion ya kua ustaarabu walileta wazungu ifutike. Similar case can be applied now kama historia yetu itabaki kama ilivyo na isipofanyiwa marekebisho vizazi vijavyo vijavyo vitalifahamu hili.

Our history must be rewritten, and Muslims have all the right to complain, sababu it's only the part which include them which has been excluded in narration.
 
Hiyo paragraph yako ya mwisho ndo inaleta ukakasi na ndo mnapofeli!
Kwamba "Muslims has all right to complain"!!? Kwani tunaandika historia ya dini!?

Tunachotaka ni historia ya wapigania Uhuru wala si wapigania dini!

Sioni kama ni sahihi kuwatambua wapigania uhuru wetu kwa dini zao wala makabila yao. Hapa ndo hoja yangu ilipo! Kuna umuhimu gani kuwatambua kwa migongo ya dini!? Kwani walikuwa wanapigania uhuru wa dini au uhuru wa nchi!?

Kwanini tusiwatambue kwa uzalendo wao uliotukuka udini wao tukauweka kando!?

Yeyeto anayechochea tuwatambue wazalendo wapigania uhuru kwa misingi ya dini zao, hakika halitakii mema Taifa hili
 
Haviwezi kusambazwa na havitasambazwa vitabu kama hivyo kwa sababu wanaviandika (ukiwemo wewe) wanamalengo "mahususi" ya kuligawa Taifa kwa "udini"

Kwamba sina taarifa kamili huenda uko sahihi ama hauko sahihi kwasababu sio rahisi kila mtu awe na taarifa sahihi za kila kitu na sio kila taarifa sahihi inapaswa kuwa hadharani! Hapa ndo hamtaki kupaelewa na mtalalama sana na hamtokaa mfanikiwe!

Wakati mwingine lazima muelezwe ukweli tu!

Hawa Babu zetu waliomkaribisha Mwalimu Nyerere kujiunga nao kupigania Uhuru na hatimaye kulikomboa Taifa letu hawakuwa na fikra mgando mnazotaka vizazi vyenu virithi!

Hawa Babu zetu walipigania uhuru wa nchi yetu kwa kusukumwa na uzalendo wao wala sio dini zao hilo mnapaswa kulielewa.

Laiti kama wangesukumwa na dini zao hawa mnaowaita makafiri wasingepata nafasi ya kushiriki harakati hizi za ukombozi wa nchi yao zaidi zaidi watawala wangetumia mwanya huo kuendelea kuwagawa kwa kutumia udini maana lazima tu wangejengeana uhasama.

Ukweli utabaki kuwa ukweli, Mwalimu Nyerere aliona mbali hasa baada ya hayo makundi kuanza kutaka kujimilikisha nchi! Hakuna kiongozi mpenda haki, mpenda amani angeruhusu kitu hicho!

Mzee wangu unayajua mengi kutokana na ulivyojishughulisha kuyajua.

Hata hivyo, hunabudi kubadili mtazamo na kuacha kuhusisha dini na harakati za ukombozi kwani ni wazi wazee wetu walisukumwa na uzalendo wao wala si dini zao ndiomaana walikuwa tayari kushirikiana na watu wasio wa dini zao.

Haipingiki kwamba kwa harakati zozote zilizoanzia ukanda wa pwani ni lazima zingesheheni watu waliokwisha rithishwa dini ya kiislam kwasababu ukanda wa pwani wote ulishaenea dini hiyo hata kabla ya ukoloni!

Tanzania yetu ni ya thamani sana kuliko hizo dini zilizokuja na meli! Tanzania yetu hii ipo kwa mpango wa Mungu wala sio kwa mpango wa dini fulani!

Kwasababu hiyo ilibidi Mungu atuletee kiongozi atakayefifisha ndoto za waliotaka kujimilikisha nchi hii kama wameiumba wao!

Hayo makundi anayoyatetea Dada yetu Faiza, ni wazi yangeachiwa yajitanue, yajitape leo hii tusingekuwa hivi!

Historia nyingine iko wazi wala haijafichwa, makundi hayo yaliminywa ili tuwe na Tanzania isiyo na dini! Tumesoma darasani na watoto wanasoma hadi leo makundi kama "AMNUT" ilibidi tu yapigwe stop kwasababu yalishaanza kuonyesha dalili isiyo njema ya kutaka kueneza dini badala ya utaifa!

Sipingani na unayoyafahamu wala sina haja ya kufanya rejea ulizozitaja, napingana na mtazamo wenu wa kutaka nchi hii iwe ya kiislam eti kisa walioasisi harakati za ukombozi walikuwa waislamu! HIKI KITU HAKITAWEZEKANA!

Hao wazee wetu kina Bibi Titi, Sykes's family, na wengine wengi tunawaheshimu na tutaendelea kuenzi michango yao katika kuliletea Taifa hili uhuru, ila kwa wao kuhusika msitake nchi hii tuigawe kwa waarabu maana kuipa umiliki wa dini ya kiislam ni sawa na kuigawa kwa waarabu maana ndio waasisi wa dini hiyo!

Mimi binafsi nitampa credit mzee atakayeanzisha harakati za kutaka tuachane na hizi dini za kikoloni zilizofanikisha watu wetu kufanywa watumwa na hatimaye kutuletea ukoloni kuliko watu kama nyie ambao mnazipigia upatu kana kwamba Babu zenu walikosea kuwa na dini zao walizokuwa nazo kabla ya hizi kuja huku!

Tuachane na udini, tujenge nchi yetu! Tunapoyaendekeza haya hakika tunazidisha chuki na vinyongo ndani ya nafsi zetu kitu ambacho sidhani kama Mwenyezi Mungu anakiruhusu!

Historia nzuri ni ile inayotokana/andikwa na mtu asiyekuwa na upande! Kwa kuwa na upande ni hakika huwezi kutuletea historia yenye usahihi kama unavyodhani
Uncle...
Ungesoma hivyo vitabu ungejua ukweli.

Kwa kuwa hujui yaliyoandikwa humo ndiyo sababu unakuja na hoja zisizokuwa na ukweli.

Mimi navijua vitabu hivyo na nimesoma yote yaliyoandikwa humo na nimeeleza hayo ndani ya kitabu cha Sykes ili watu waujue ukweli.

Hamza Njozi katika kitabu chake kavitumia vitabu hivyo pia kama rejea katika kueleza tatizo hili.

Nakusihi vitafute vitabu hivyo upate kuelimika.

Ukifanya hivyo utakuwa katika hali ya kuweza kufanya mjadala vinginevyo utakuwa unajadili jambo usilolijua.
 
Hiyo paragraph yako ya mwisho ndo inaleta ukakasi na ndo mnapofeli!
Kwamba "Muslims has all right to complain"!!? Kwani tunaandika historia ya dini!?

Tunachotaka ni historia ya wapigania Uhuru wala si wapigania dini!

Sioni kama ni sahihi kuwatambua wapigania uhuru wetu kwa dini zao wala makabila yao. Hapa ndo hoja yangu ilipo! Kuna umuhimu gani kuwatambua kwa migongo ya dini!? Kwani walikuwa wanapigania uhuru wa dini au uhuru wa nchi!?

Kwanini tusiwatambue kwa uzalendo wao uliotukuka udini wao tukauweka kando!?

Yeyeto anayechochea tuwatambue wazalendo wapigania uhuru kwa misingi ya dini zao, hakika halitakii mema Taifa hili
Look nadhani hatukuelewana sentensi "Muslim have all the right to complain" ni kwa sababu it is only their part which was excluded na sio lazima waandikwe kama ni Muslims sababu msingi sio kutambulishwa dini zao ila wazalendo wote wanahitaji recognition kwa mchango. Mfano mzuri ni history ya mapinduzi ya ZanzibarJohn Okello hapati heshima anayostahili wakati alikua mstari wa mbele.

Issue sio dini issue ni kukaa kimya na kupotezea sehemu muhimu ya history yetu. Hata kama Bibi Titi/John Okello alizingua mbeleni ila their previous deeds shouldn't be excluded kwenye rekodi.
I highly appreciate kua unakubali history iandikwe upya na si dini, endapo itafanyika hivyo huu mjadala utakua ni chachu hilo.
 
Back
Top Bottom