Tamthilia ya Bibi Titi Mohammed na Prof. Emmanuel Mbogo

Ahsante sana Mohamed Said
Nimekuelewa kwenye chanzo, lakini nimeshindwa kusikiliza hiyo attachment. Kwa kuwa niki ingia ina niletea vitu sivijui. Hivo nasumbuka kuipata.

Lakini ninavo jua mwisho wa siku Rais Nyerere ndio ali mfanya bibi titi atoke jela na baada ya hapo hapakuwa na maneno tena kati yao. Nadhani na Nyumba zake alimrudishia.
Pia naskia kuwa ugomvi wao hasa hasa ni ule wa azimio la arusha. Kuhusi suala la umiliki wa mali.
6fca63b9c579151e416a46da00ee1f38.jpg
point yangu kubwa ni Rais na Bi Titi walipishana baadhi ya misimamo tu ila bondi yao ilikuwa kubwa.
Hawa wazee hata uki waangalia walikuja kuelewana na waliridhia kuwa tofaut zao ndogo ndogo ziliwatenganisha kidogo. Walikuwa wana chemistry ya asili.

Nitafurahi kama uta nirekebisha nilipo kosea ahsante

Iceman,
Bibi Titi
alitolewa jela kwa msamaha wa rais hili halina shaka kwani ni rais
ndiye atoae msamaha huo.

Nyerere asingelimsamehe, Bi. Titi asingetoka kifungoni.

Nyumba zake Bi. Titi alirudishiwa na Rais Mwinyi na mimi nilikuwa mmoja
wa watu waliokwenda kwenye nyumba hiyo kuzungumzanae.

LVKHxkj2K77_IFBNwiRPqYgnNTjDcM04M-VhE9dUxhbowT5hjgUJCFnuWzBfCmSEObN3lKXVEaaIFN0=w1366-h768-no

Nyumba hii ipo mkabala na Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania.

Bi. Titi nakumbuka siku hiyo nilipokwenda kwake nilimkuta yeye na wajukuu
zake wanaangalia movie, ''Cinderella,'' katika TV na yeye akiwahadithia ile
movie akimwita Cinderella, ''Kisonoko.''

Kwa kauli yake Bi. Titi aliniambia kuwa Rais Mwinyi ndiye aliyemrejeshea ile
nyumba yake.

Hiyo ''bond,'' uisemayo haikupata kuwepo kama ilikuwapo basi ni wakati wa
kupigania uhuru lakini baada ya hapo palikuwa na upasi mkubwa baina yao.

Hili nimeligundua kwa Nyerere katika uhusiano wake na karibu na wengi sana
ambao alikuwanao wakati wa kudai uhuru.

Bi. Titi alipambana na Nyerere ile, ''nipe nikupe,'' ndani ya TANU NEC 1963
kisha kisha nyumbani kwa Nyerere 1968 na ugomvi wao mara zote hizo mbili
ni suala la EAMWS.

Safari hii ya pili Bi. Titi na Tewa Said Tewa walikwenda Msasani kumuona
Nyerere kumuuliza kwa nini anaachia vyombo vya dola vinapiga vita EAMWS.

Hii ilikuwa mwaka wa 1968 katikati ya kile kilichokuja kujulikana kama ''mgogoro
wa EAMWS.''

Labda turudi katika mazungumzo ambayo mimi nilikusudia kufanya na Bi. Titi.
Miadi ya kuonana na Bi. Titi alinifanyia Ally Sykes.

Wakati ule nilikuwa naandika kitabu cha Abdul Sykes na nilitaka kumhoji Bi.
Titi
kuhusu historia ya TANU.

Si kama nilikuwa sina taarifa za Bi. Titi.

Nilikuwa na kila kitu chake lakini nilitaka kunogesha utafiti wangu kwa kumsikia
yeye mwenyewe alizungumza.

Bi. Titi alikataa kuzungumza kuhusu historia ya TANU lakini alinieleza kuwa yeye
hakuhusika katika njama za kutaka kupindua serikali.

Hata hivyo kama nilivyokwishaeleza Bi. Titi alikuja kueleza kwa kirefu ugomvi
wake na Nyerere kwenye mahojiano aliyofanya na gazeti la Rai mwaka wa 1994.

Kuhusu ''audio,'' jaribu kuingia www.mohammedsaid.com kisha search: ''Mahojiano na Swahiba FM...

Mohamed Said: MAHOJIANO SWAHIBA FM - MIAKA 55 YA UHURU WA TANGANYIKA WASHIRIKI ENZI TALIB NA MOHAMED SAID WAKIHOJIWA NA SULEIMAN SHABAN
 
Sasa hivi nnamtumia ujumbe Ami Faraj anitumie kopi japo kwa email.

Shukran Alama.

Unajuwa Almarhum kaka'ke Faraj Tamim aliitwa "Alama" Tamim?
Maalim Faiza,
Hilo sikulijua hata kidogo.
Ahsante kwa taarifa.
 
Ahsante sana Mohamed Said
Nimekuelewa kwenye chanzo, lakini nimeshindwa kusikiliza hiyo attachment. Kwa kuwa niki ingia ina niletea vitu sivijui. Hivo nasumbuka kuipata.

Lakini ninavo jua mwisho wa siku Rais Nyerere ndio ali mfanya bibi titi atoke jela na baada ya hapo hapakuwa na maneno tena kati yao. Nadhani na Nyumba zake alimrudishia.
Pia naskia kuwa ugomvi wao hasa hasa ni ule wa azimio la arusha. Kuhusi suala la umiliki wa mali.
6fca63b9c579151e416a46da00ee1f38.jpg
point yangu kubwa ni Rais na Bi Titi walipishana baadhi ya misimamo tu ila bondi yao ilikuwa kubwa.
Hawa wazee hata uki waangalia walikuja kuelewana na waliridhia kuwa tofaut zao ndogo ndogo ziliwatenganisha kidogo. Walikuwa wana chemistry ya asili.

Nitafurahi kama uta nirekebisha nilipo kosea ahsante

Iceman,
Bibi Titi
alitolewa jela kwa msamaha wa rais hili halina shaka kwani ni rais
ndiye atoae msamaha huo.

Nyerere asingelimsamehe, Bi. Titi asingetoka kifungoni.

Nyumba zake Bi. Titi alirudishiwa na Rais Mwinyi na mimi nilikuwa mmoja
wa watu waliokwenda kwenye nyumba hiyo kuzungumzanae.

xVJeoM0M4IIsfYseFRVuMIVLD-F_XycYbR6Z4HZBNnoXo3xYNCoAWs50tilBKLZM4Qh-CegHj6iRy20zefUSWl4JmcRcytUAWUHUpqNLOc22tXK39cWHlT2bvxdNXebuutHMNEFLw-PrP2jY1fkluD7Py-LOxIszn6GPkTXY5v_WVsp4CWZ5cSyg384r3s0ns-1_m1ODNkdmmnhF7IOCTzHtA9fsFwZ4qj7gIipjR1zWAh9sJ1ysXQSeIY9mLZHVITHwut4JXwxRtcCr4TcouMnRzMv6wCCvvO1InR7qBtZX2IwK81KyiqRFG0CDNRmhbEkKK6ag1pI-zVyYD2_zwgWqw7h138exgdO6Ioptp0MaMqU75DwhTa1hdcbPmoL5r0jDiOaVi7Z_-x_MC2jB0LtsWBSPNjFR2Absqvv6wYO2ZH9Nunh6Q0eKH6MmuxKhmBfXEr0BhdorS8MNLRpxt4aYFkkLyF2h2T2uUczs5YGXo0HujFs1g2ZpC8tSdpwW4Va-KrHTccURVl5Y5qzcx8b29qQI3kylx-mWQgTAm8lZjqThaTj5pBKPOookPPrOmJEQ2QjdyilP5y2QT15EgwmSH7LdoCeCD_KCIeAml591N8HOzA=w1231-h692-no

Nyumba hii ipo mkabala na Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania.

Bi. Titi nakumbuka siku hiyo nilipokwenda kwake nilimkuta yeye na wajukuu
zake wanaangalia movie, ''Cinderella,'' katika TV na yeye akiwahadithia ile
movie akimwita Cinderella, ''Kisonoko.''

Kwa kauli yake Bi. Titi aliniambia kuwa Rais Mwinyi ndiye aliyemrejeshea ile
nyumba yake.

Hiyo ''bond,'' uisemayo haikupata kuwepo kama ilikuwapo basi ni wakati wa
kupigania uhuru lakini baada ya hapo palikuwa na upasi mkubwa baina yao.

Hili nimeligundua kwa Nyerere katika uhusiano wake na karibu na wengi sana
ambao alikuwanao wakati wa kudai uhuru.

Bi. Titi alipambana na Nyerere ile, ''nipe nikupe,'' ndani ya TANU NEC 1963
kisha kisha nyumbani kwa Nyerere 1968 na ugomvi wao mara zote hizo mbili
ni suala la EAMWS.

Safari hii ya pili Bi. Titi na Tewa Said Tewa walikwenda Msasani kumuona
Nyerere kumuuliza kwa nini anaachia vyombo vya dola vinapiga vita EAMWS.

Hii ilikuwa mwaka wa 1968 katikati ya kile kilichokuja kujulikana kama ''mgogoro
wa EAMWS.''

Labda turudi katika mazungumzo ambayo mimi nilikusudia kufanya na Bi. Titi.
Miadi ya kuonana na Bi. Titi alinifanyia Ally Sykes.

Wakati ule nilikuwa naandika kitabu cha Abdul Sykes na nilitaka kumhoji Bi.
Titi
kuhusu historia ya TANU.

Si kama nilikuwa sina taarifa za Bi. Titi.

Nilikuwa na kila kitu chake lakini nilitaka kunogesha utafiti wangu kwa kumsikia
yeye mwenyewe alizungumza.

Bi. Titi alikataa kuzungumza kuhusu historia ya TANU lakini alinieleza kuwa yeye
hakuhusika katika njama za kutaka kupindua serikali.

Hata hivyo kama nilivyokwishaeleza Bi. Titi alikuja kueleza kwa kirefu ugomvi
wake na Nyerere kwenye mahojiano aliyofanya na gazeti la Rai mwaka wa 199

Ingia hapo chini kuna maelezo ya Bi. Titi:
Mohamed Said: MAHOJIANO SWAHIBA FM - MIAKA 55 YA UHURU WA TANGANYIKA WASHIRIKI ENZI TALIB NA MOHAMED SAID WAKIHOJIWA NA SULEIMAN SHABAN
 
Kuna watu waliipigania nchi yetu kwa jasho lakini kuna wasiotaka wajulikane kwa vizazi vya sasa na vijavyo, na hapo suala la udini limehusika. Hongera yake Bibi Titi Mohamed. Mkuu Mohamed Said hicho kitabu kinapatikana wapi?
 
Huyo ndiyo mwanamke wa Dar.

Allah amghufirie maghf.iran kathiran na atughufirie na sote.

Utotoni niliitwa Titi, kwa unene wa utotoni niliokuwa nao walinipa "nickname" kutokana na jina la huyu bibi mwenye enzi, she was a symbol ya wanawake mahodari.

Hawa ndiyo wanawake wa kuandikwa historia zao kwa wino wa dhahabu.

Bibi mwemye Asili ya Rufiji
 
Iceman,
Bibi Titi
alitolewa jela kwa msamaha wa rais hili halina shaka kwani ni rais
ndiye atoae msamaha huo.

Nyerere asingelimsamehe, Bi. Titi asingetoka kifungoni.

Nyumba zake Bi. Titi alirudishiwa na Rais Mwinyi na mimi nilikuwa mmoja
wa watu waliokwenda kwenye nyumba hiyo kuzungumzanae.

xVJeoM0M4IIsfYseFRVuMIVLD-F_XycYbR6Z4HZBNnoXo3xYNCoAWs50tilBKLZM4Qh-CegHj6iRy20zefUSWl4JmcRcytUAWUHUpqNLOc22tXK39cWHlT2bvxdNXebuutHMNEFLw-PrP2jY1fkluD7Py-LOxIszn6GPkTXY5v_WVsp4CWZ5cSyg384r3s0ns-1_m1ODNkdmmnhF7IOCTzHtA9fsFwZ4qj7gIipjR1zWAh9sJ1ysXQSeIY9mLZHVITHwut4JXwxRtcCr4TcouMnRzMv6wCCvvO1InR7qBtZX2IwK81KyiqRFG0CDNRmhbEkKK6ag1pI-zVyYD2_zwgWqw7h138exgdO6Ioptp0MaMqU75DwhTa1hdcbPmoL5r0jDiOaVi7Z_-x_MC2jB0LtsWBSPNjFR2Absqvv6wYO2ZH9Nunh6Q0eKH6MmuxKhmBfXEr0BhdorS8MNLRpxt4aYFkkLyF2h2T2uUczs5YGXo0HujFs1g2ZpC8tSdpwW4Va-KrHTccURVl5Y5qzcx8b29qQI3kylx-mWQgTAm8lZjqThaTj5pBKPOookPPrOmJEQ2QjdyilP5y2QT15EgwmSH7LdoCeCD_KCIeAml591N8HOzA=w1231-h692-no

Nyumba hii ipo mkabala na Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania.

Bi. Titi nakumbuka siku hiyo nilipokwenda kwake nilimkuta yeye na wajukuu
zake wanaangalia movie, ''Cinderella,'' katika TV na yeye akiwahadithia ile
movie akimwita Cinderella, ''Kisonoko.''

Kwa kauli yake Bi. Titi aliniambia kuwa Rais Mwinyi ndiye aliyemrejeshea ile
nyumba yake.

Hiyo ''bond,'' uisemayo haikupata kuwepo kama ilikuwapo basi ni wakati wa
kupigania uhuru lakini baada ya hapo palikuwa na upasi mkubwa baina yao.

Hili nimeligundua kwa Nyerere katika uhusiano wake na karibu na wengi sana
ambao alikuwanao wakati wa kudai uhuru.

Bi. Titi alipambana na Nyerere ile, ''nipe nikupe,'' ndani ya TANU NEC 1963
kisha kisha nyumbani kwa Nyerere 1968 na ugomvi wao mara zote hizo mbili
ni suala la EAMWS.

Safari hii ya pili Bi. Titi na Tewa Said Tewa walikwenda Msasani kumuona
Nyerere kumuuliza kwa nini anaachia vyombo vya dola vinapiga vita EAMWS.

Hii ilikuwa mwaka wa 1968 katikati ya kile kilichokuja kujulikana kama ''mgogoro
wa EAMWS.''

Labda turudi katika mazungumzo ambayo mimi nilikusudia kufanya na Bi. Titi.
Miadi ya kuonana na Bi. Titi alinifanyia Ally Sykes.

Wakati ule nilikuwa naandika kitabu cha Abdul Sykes na nilitaka kumhoji Bi.
Titi
kuhusu historia ya TANU.

Si kama nilikuwa sina taarifa za Bi. Titi.

Nilikuwa na kila kitu chake lakini nilitaka kunogesha utafiti wangu kwa kumsikia
yeye mwenyewe alizungumza.

Bi. Titi alikataa kuzungumza kuhusu historia ya TANU lakini alinieleza kuwa yeye
hakuhusika katika njama za kutaka kupindua serikali.

Hata hivyo kama nilivyokwishaeleza Bi. Titi alikuja kueleza kwa kirefu ugomvi
wake na Nyerere kwenye mahojiano aliyofanya na gazeti la Rai mwaka wa 1994

Ingia hapo chini kuna maelezo ya Bi. Titi:
Mohamed Said: MAHOJIANO SWAHIBA FM - MIAKA 55 YA UHURU WA TANGANYIKA WASHIRIKI ENZI TALIB NA MOHAMED SAID WAKIHOJIWA NA SULEIMAN SHABAN
 
Huyo ndiyo mwanamke wa Dar.

Allah amghufirie maghf.iran kathiran na atughufirie na sote.

Utotoni niliitwa Titi, kwa unene wa utotoni niliokuwa nao walinipa "nickname" kutokana na jina la huyu bibi mwenye enzi, she was a symbol ya wanawake mahodari.

Hawa ndiyo wanawake wa kuandikwa historia zao kwa wino wa dhahabu.

Sasa sijui na Hawa kina mange kimambi tu waweke kundi gani mwanamke Kama bibi titi alipigana Hasa akiwa nchi hapa hapa uso kwa uso na raisi sio uko marekani una piga kelele
 
[9:26 PM, 12/21/2016] +255 687 500 699: Kushoto wa kwanza Bi. Tatu biti Mzee siku wakimsindikiza Nyerere Uwanja wa Ndege Dar es Salaam safari ya UNO 1955
[9:27 PM, 12/21/2016] +255 687 500 699: Hii picha nimeiongeza☝ katika post ya Tamthilia ya Titi katika www.mohammedsaid.com
[9:30 PM, 12/21/2016] +255 687 500 699: CCM kinawashinda nini kutundika picha za hawa mashujaa katika ofisi yao pale Lumumba ilhali hapo ndipo hawa akina mama walikuwa wakiendesha mapambano dhidi ya ukoloni?☝
qon28vmWZR_uEhoS-QDXrRDMbCwoQRBugR_RcPS_Hu5aSb2Pa6TbFin-Ia5HmI_jdjsJTp1MlBLDXJpDL4bNKMvYDoTQqy8lKLZwusN47aQjU0neahJCstlnpM6Iuy07gt19A3-NCriFQJlGFYYOhgtIFuzI0r16UAY7pCCKT1i8sCLh19B62OQ_YbkqA90Sit4qmC32XTMS5Alvq_AJxR53Pyo-7ogCTudRd1tFEr2dLGeCYALHt7y5tM9mQ9bFvIYjFT7obYETm6c40whYg8YEkotHqK0YlF6-bmKGy0TlTSFH9K6GwECjfgCQl8L4qU6EeDKJffd-KWg5Q-zAxisQmAxefr4-PS9GxJ6AtbDtVinH_LenlkajYb39iL1M6RX2vxjM4Ql5Z0XOz85dwYo6JSJteXEeGxp7Gq4Le06GRTaZ9jaJkrHp_liowISPKt87MO5siv4MGdvqF68-BbvrCu0daggxeC33BkbqkMU5seZchcVEQ1B-JriH6UI63umuEtxJnIxa5Clcgzf4QhncEzXCWqXaq8ht8ueJ4s_RdnhKhL6mMmZjx7vrILgHQHdaf2XBhPr4VHSCyqwtektt49Yw0clMZXkYC-hMxyupa1kivaDjdcVbevMXy256qYam09ZJtryEji9_7TjNqj-uI4ZDx0EinpqXLd8zdGk=w880-h545-no
 
inahamasisha sana uzalendo.....nimejiuliza mara kadhaa uyu bibi titi ni nan nkawa cpat majib
 
[9:26 PM, 12/21/2016] +255 687 500 699: Kushoto wa kwanza Bi. Tatu biti Mzee siku wakimsindikiza Nyerere Uwanja wa Ndege Dar es Salaam safari ya UNO 1955
[9:27 PM, 12/21/2016] +255 687 500 699: Hii picha nimeiongeza katika post ya Tamthilia ya Titi katika www.mohammedsaid.com
[9:30 PM, 12/21/2016] +255 687 500 699: CCM kinawashinda nini kutundika picha za hawa mashujaa katika ofisi yao pale Lumumba ilhali hapo ndipo hawa akina mama walikuwa wakiendesha mapambano dhidi ya ukoloni?
qon28vmWZR_uEhoS-QDXrRDMbCwoQRBugR_RcPS_Hu5aSb2Pa6TbFin-Ia5HmI_jdjsJTp1MlBLDXJpDL4bNKMvYDoTQqy8lKLZwusN47aQjU0neahJCstlnpM6Iuy07gt19A3-NCriFQJlGFYYOhgtIFuzI0r16UAY7pCCKT1i8sCLh19B62OQ_YbkqA90Sit4qmC32XTMS5Alvq_AJxR53Pyo-7ogCTudRd1tFEr2dLGeCYALHt7y5tM9mQ9bFvIYjFT7obYETm6c40whYg8YEkotHqK0YlF6-bmKGy0TlTSFH9K6GwECjfgCQl8L4qU6EeDKJffd-KWg5Q-zAxisQmAxefr4-PS9GxJ6AtbDtVinH_LenlkajYb39iL1M6RX2vxjM4Ql5Z0XOz85dwYo6JSJteXEeGxp7Gq4Le06GRTaZ9jaJkrHp_liowISPKt87MO5siv4MGdvqF68-BbvrCu0daggxeC33BkbqkMU5seZchcVEQ1B-JriH6UI63umuEtxJnIxa5Clcgzf4QhncEzXCWqXaq8ht8ueJ4s_RdnhKhL6mMmZjx7vrILgHQHdaf2XBhPr4VHSCyqwtektt49Yw0clMZXkYC-hMxyupa1kivaDjdcVbevMXy256qYam09ZJtryEji9_7TjNqj-uI4ZDx0EinpqXLd8zdGk=w880-h545-no
Shekh endelea kutupia tu kumbukumbu za historia ya tanganyika maana bila wewe leo sipati picha tungekuwa mbumbu wa kiasi gani maana historia tungetegemea vitabu vya kivukoni au vyenye baraka na kivukoni ambavyo huandika na watu waliojitoa ufaham au wenye maslahi na ufichwaji wa kumbukumbu hizo muhimu kwa historia ya nchi
 
Kusoma ni suala moja na kuelewa jengine tuvumiliane

Naam, na ndiyo maana tunapeana darsa.

Kwa hakika uongo ukisemwa sana mwishowe huwaingia watu na kuuona ni ukweli na hata anafundishwa ukweli bado haumuingii akilini.

Kuna watu chungu nzima humu wakiambiwa TANU haikuasisiwa na Nyerere na hata jina la TANU hajalitowa yeye, basi hiyo kabisa haiwaingii akilini kwa kuwa tu wameshajazwa ujinga.

Nyerere alikuwepo wakati TANU inaundwa 1954 lakini hakuwa muasisi wala hakuwa mtoa wazo, wazo lilikuwepo kabla hajajiunga na waasisi wa kupigania Uhuru wa Tanganyika waliokuwepo Dar.

Of course Nyerere alikuwa msomi wa kutokea Ulaya na alikuwa ni nguzo kubwa alipojiunga na wapigania Uhuru wa Dar lakini hakuwa muasisi.

Hilo ni ngumu sana watu kulikubali, kwanini?
 
Back
Top Bottom