Tamthilia: Maneno ya kuambiwa

Tamthilia: Maneno ya kuambiwa

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
542
Reaction score
753
Nampongeza sana mtunzi na wahusika wote katika tamthilia inayoitwa MANENO YA KUAMBIWA ni moja kati ya tamthiria bora sana kuwahi kutokea Tanzania, ina mtiririko mzuri wa matukio huku ikiwa na mwonekano mzuri na haichoshi kuifuatilia.

Wahusika akina kitare, adamu, mganga mwinyi mkuu na manjonjo yake ya mizimu ya kolelo, akina mtawala, dorice, beka, afande kila, kishoka(iqkram), n.k. Inavutia sana.

Kama umebahatika kuiona, onyesha uzalendo kwa kutaja scene iliyokuvutia zaidi, tuvikubali vya nyumbani

 
Back
Top Bottom