PreGE2025 Tamko zito la vijana CCM wa vyuo vikuu waunga mkono Rais Samia na Dkt.Mwinyi kugombea urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
24 January 2025
Dar es Salaam, Tanzania

View: https://m.youtube.com/watch?v=woYIDnx1xcw

Wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mkoani Dar es Salaam wametoa tamko rasmi kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Dkt. Hussein Ally Mwinyi kuwa mgombea wa urais wa Zanzibar kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Soma Pia:
OTUBA YA Pascrates Albinus Mwemezi kwa vyombo vya habali leo wakiwa Ofisi ya CCM mkoa wa DSM :FIRE:

"Vihongozi wa vijana vyuo vikuu watoa tamko kupongeza mkutano mkuu mahaalum kuunga mkono lahisi wa jamhuri la muhungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan kuwa mgombea pekee na lahisi wa Zanzibar mh. Dr. Ussein Hali Mwinyi kuwa mgombea pekee wa ulahisi Zanzibar , wawili ao kupepelusha bendela ya CCM katika uchaguzi wa Oktoba 2025 " - Vihongozi wa Vijana wa CCM Vyuo Vikuhu wasema

Pascrates Albinus Mwemezi Kada huyo wa UVCC kiongozi wa wasomi wanaCCM akiongea na wahandishi wa habali alikumbushia makubwa yaliyofanywa na mheshimiwa lahisi ikiwemo kuongeza boom kwa wanafunzi wakati alipowahalika vihongozi wa wanafunzi ikulu mwezi Febluali 2022 ...

Ni fulaha kubwa kuona Mkutano Mkuu wa Mahalumu wa CCM kwa kutumia madalaka yake talehe 19 Januali 2025 kwa mujibu wa ibala na kanuni za katiba za chama kuwapitisha wakuu hao wawili kwa nafasi ya ulahisi ..

Sisi vijana wasomi wa vyuo vikuu tuna fulaha sana ... kwa lehema hii nyingi kutoka kwa mwenyezi Mungu kutupatia mheshimiwa lahisi anayetekeleza miladi ya kimkakati inayotuletea nehema na falaja kuu ... miladi kama ya humeme, SGR, Samia Scholarship....

Haya majinga ndiyo maana yakimaliza lazima yakaanze upya VETA. Zero brain kabisa
 
Wajiandae na VETA waache porojo.
 
20 March 2025

WASOMI WA VYUO WAIPONDA "NO REFORM, NO ELECTION ", CHADEMA WANAJIITA WAZALENDO KWA MACHAFUKO YA NCHI"

View: https://m.youtube.com/watch?v=o_PaGq4NIy0
Hayo yalisemwa na Katibu Mkuu wa Taasisi ya Samia for Us ndugu Dwight John Danda mapema leo amefungua kampeni za kumnadi Mama katika Wiki ya Samia yenye kuadhimisha miaka minne ya uongozi wake wa awamu ya sita ....

1742684211617.jpeg
 
Haya majinga ndiyo maana yakimaliza lazima yakaanze upya VETA. Zero brain kabisa

VETA watengewe bajeti kubwa zaidi waweze kuchukua vijana wasomi.... maana pale Kivukoni kambi Maalum mafunzo ya uongozi pia imeshindwa kazi..

1742701929406.jpeg
 
Msomi wa chuo kikuu SUA mwanachama wa CCM, alalamikia Chama dola na vyombo vya dola ktk kuelekea 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=wvTPwBpoRnM
Godfrey Sitta Sukari kada wa UVCCM msomi ngazi ya Veterinary bioscience and lab.technician expert ... mwanachama kindakindaki wa CCM..

Nafasi za Uongozi alizotumika ni pamoja na shina maarufu la Checkpoint Chalinze mkoa wa Pwani, CCM mkoa wa Meatu Simiyu, SUA Vijana wa CCM kwa kutaja kwa uchache

Kada Godfrey Sitta Sukari katika press conference anaweka wazi madudu ya CCM kuelekea 2025 ..

Kada aelezea jinsi mfumo ulivyokuwa na nguvu kiasi katibu mkuu Bashiru Ally Kakurwa, katibu mwenezi Humphrey Polepole walishindwa kupambana na mfumo wa rushwa ndani ya CCM ..

Kada Godfrey Sitta Sukari atoa ushahidi wa, Muunganiko wa jeshi la Polisi, usalama wa Taifa TISS na chama dola kongwe tawala CCM unavyotumiwa na wenye nguvu katika makundi ndani ya CCM kuwatia ndani korokoroni watiania wenzao wanyonge ndani ya makundi ya CCM ..

Kada Godfrey Sitta Sukari asimulia alivyochukuliwa na landcruiser kuwekwa rumande asitetee kiti ndani ya chama aliyogombea ..

Kada asimulia akitoka uwanja wa Taifa DSM kumuaga rais mstaafu .... na kupigiwa simu isiyojulikana alivyokamatwa na kundi la kina 'mugiki' askari polisi na kutiwa ndani siku sita ..

Kada asema sasa hivi ni vurugu mechi ya makundi kwa watia nia kugombania nafasi ndani ya CCM, huku watiania wakihonga shilingi za kitanzania 200,000,000 kutaka uongozi ....
 
24 January 2025
Dar es Salaam, Tanzania

View: https://m.youtube.com/watch?v=woYIDnx1xcw

Wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mkoani Dar es Salaam wametoa tamko rasmi kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Dkt. Hussein Ally Mwinyi kuwa mgombea wa urais wa Zanzibar kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Soma Pia:
OTUBA YA Pascrates Albinus Mwemezi kwa vyombo vya habali leo wakiwa Ofisi ya CCM mkoa wa DSM :FIRE:

"Vihongozi wa vijana vyuo vikuu watoa tamko kupongeza mkutano mkuu mahaalum kuunga mkono lahisi wa jamhuri la muhungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan kuwa mgombea pekee na lahisi wa Zanzibar mh. Dr. Ussein Hali Mwinyi kuwa mgombea pekee wa ulahisi Zanzibar , wawili ao kupepelusha bendela ya CCM katika uchaguzi wa Oktoba 2025 " - Vihongozi wa Vijana wa CCM Vyuo Vikuhu wasema

Pascrates Albinus Mwemezi Kada huyo wa UVCC kiongozi wa wasomi wanaCCM hakiongea na wahandishi wa habali alikumbushia makubwa yaliyofanywa na mheshimiwa lahisi ikiwemo kuongeza boom kwa wanafunzi wakati alipowahalika vihongozi wa wanafunzi hikulu mwezi Febluali 2022 ...

Ni fulaha kubwa kuona Mkutano Mkuu wa Mahalumu wa CCM kwa kutumia madalaka yake talehe 19 Januali 2025 kwa mujibu wa ibala na kanuni za katiba za chama kuwapitisha wakuhu ao wawili kwa nafasi ya ulahisi ..

Sisi vijana wasomi wa vyuo vikuhu tuna fulaha sana ... kwa lehema ii nyingi kutoka kwa mwenyezi Mungu kutupatiha mheshimiwa lahisi anayetekeleza miladi ya kimkakati inayotuletea nehema na falaja kuu ... miladi kama ya humeme, SGR, Samia Scholarship....

The Definition of stupid nowadays: Knowing the truth, seeing evidence of the truth, but still believing the lies.
 
"Vihongozi wa vijana vyuo vikuu watoa tamko kupongeza mkutano mkuu mahaalum kuunga mkono lahisi wa jamhuri la muhungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan kuwa mgombea pekee na lahisi wa Zanzibar mh. Dr. Ussein Hali Mwinyi kuwa mgombea pekee wa ulahisi Zanzibar , wawili ao kupepelusha bendela ya CCM katika uchaguzi wa Oktoba 2025 " - Vihongozi wa Vijana wa CCM Vyuo Vikuhu wasema

14 Aprili 2025

UMOJA WA,WANAFUNZI VYUO VIKUU TAHLISO / WATAA WAPINZANI. TAHLISO WAAHIDI KUMCHAGUA SAMIA HASSAN

View: https://m.youtube.com/watch?v=t3pqenoRr8M

Katibu Mkuu Mtendaji wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) Godfrey Gilagu akiwa ameongozana na viongozi wa juu wa TAHLISO akizungumza leo ..

TAHLISO waazimia kufanya ziara ya kutembelea vyuo mikoa kumi nchini ili kuwaeleza wanafunzi wa vyuo ....

Wasomi wa vyuo vikuu na vyuo vya kati nchini TAHLISO wameeleza dhamira yao ya kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025..
 
24 January 2025
Dar es Salaam, Tanzania

View: https://m.youtube.com/watch?v=woYIDnx1xcw

Wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mkoani Dar es Salaam wametoa tamko rasmi kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Dkt. Hussein Ally Mwinyi kuwa mgombea wa urais wa Zanzibar kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Soma Pia:
OTUBA YA Pascrates Albinus Mwemezi kwa vyombo vya habali leo wakiwa Ofisi ya CCM mkoa wa DSM :FIRE:

"Vihongozi wa vijana vyuo vikuu watoa tamko kupongeza mkutano mkuu mahaalum kuunga mkono lahisi wa jamhuri la muhungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan kuwa mgombea pekee na lahisi wa Zanzibar mh. Dr. Ussein Hali Mwinyi kuwa mgombea pekee wa ulahisi Zanzibar , wawili ao kupepelusha bendela ya CCM katika uchaguzi wa Oktoba 2025 " - Vihongozi wa Vijana wa CCM Vyuo Vikuhu wasema

Pascrates Albinus Mwemezi Kada huyo wa UVCC kiongozi wa wasomi wanaCCM hakiongea na wahandishi wa habali alikumbushia makubwa yaliyofanywa na mheshimiwa lahisi ikiwemo kuongeza boom kwa wanafunzi wakati alipowahalika vihongozi wa wanafunzi hikulu mwezi Febluali 2022 ...

Ni fulaha kubwa kuona Mkutano Mkuu wa Mahalumu wa CCM kwa kutumia madalaka yake talehe 19 Januali 2025 kwa mujibu wa ibala na kanuni za katiba za chama kuwapitisha wakuhu ao wawili kwa nafasi ya ulahisi ..

Sisi vijana wasomi wa vyuo vikuhu tuna fulaha sana ... kwa lehema ii nyingi kutoka kwa mwenyezi Mungu kutupatiha mheshimiwa lahisi anayetekeleza miladi ya kimkakati inayotuletea nehema na falaja kuu ... miladi kama ya humeme, SGR, Samia Scholarship....

Tunaodhani ni wasomi wanapogeuka au kugeuzwa chawa, ni maafa na kusoma ni hasara.
 
03 May 2025

Mwenyekiti wa UVCCM DSM - CHADEMA hawana nia njema na nchi yetu

View: https://m.youtube.com/watch?v=88iyIpuLYlk
Mamlaka yanakuja na matakwa ya Mungu hawaheshimu mamlaka ya nchi kumdhalilisha Dr. Samia Hassan na wasipoacha kubeza mamlaka hatutasita kuwavaa kwa namna yoyote .....

Komredi Nasra Mohamed Ramadhan mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Dar es Salaam amesema hayo akiwa katika kuzindua shina lilopo Luguruni Dar es Salaam..

Komredi Nasra Mohamed Ramadhan asisitiza wanachama wa CCM na hususan UVCCM kuishi katika utamaduni wa Chama cha Mapinduzi ...
 
24 January 2025
Dar es Salaam, Tanzania

View: https://m.youtube.com/watch?v=woYIDnx1xcw

Wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mkoani Dar es Salaam wametoa tamko rasmi kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Dkt. Hussein Ally Mwinyi kuwa mgombea wa urais wa Zanzibar kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Soma Pia:
OTUBA YA Pascrates Albinus Mwemezi kwa vyombo vya habali leo wakiwa Ofisi ya CCM mkoa wa DSM :FIRE:

"Vihongozi wa vijana vyuo vikuu watoa tamko kupongeza mkutano mkuu mahaalum kuunga mkono lahisi wa jamhuri la muhungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan kuwa mgombea pekee na lahisi wa Zanzibar mh. Dr. Ussein Hali Mwinyi kuwa mgombea pekee wa ulahisi Zanzibar , wawili ao kupepelusha bendela ya CCM katika uchaguzi wa Oktoba 2025 " - Vihongozi wa Vijana wa CCM Vyuo Vikuhu wasema

Pascrates Albinus Mwemezi Kada huyo wa UVCC kiongozi wa wasomi wanaCCM hakiongea na wahandishi wa habali alikumbushia makubwa yaliyofanywa na mheshimiwa lahisi ikiwemo kuongeza boom kwa wanafunzi wakati alipowahalika vihongozi wa wanafunzi hikulu mwezi Febluali 2022 ...

Ni fulaha kubwa kuona Mkutano Mkuu wa Mahalumu wa CCM kwa kutumia madalaka yake talehe 19 Januali 2025 kwa mujibu wa ibala na kanuni za katiba za chama kuwapitisha wakuhu ao wawili kwa nafasi ya ulahisi ..

Sisi vijana wasomi wa vyuo vikuhu tuna fulaha sana ... kwa lehema ii nyingi kutoka kwa mwenyezi Mungu kutupatiha mheshimiwa lahisi anayetekeleza miladi ya kimkakati inayotuletea nehema na falaja kuu ... miladi kama ya humeme, SGR, Samia Scholarship....

The system has created dick suckers and dick riders most of those leaders in university they turn out and become Gays its A Fact, They think they are Leaders but infact they are slaves who can't decide and think for the benefit of the majority they work for the minority who makes their bellies fat with our taxes
Wananchi Tupo wengi sana Kiasi kwamba Tutikisike na maneno ya Wajinga wachache waliopewa uongozi ili wachache wengine wanufaike Tunauwezo wakukata Hayoo
WANANCHI NDIO WAKUSEMA NO REFORM NO ELECTION
wala sio Viongozi na Machawa wao..
 
wala sio Viongozi na Machawa wao.✌🏿💪🏿📌🔨.
 
Uchawa imekuwa ndiyo siasa za Tanzania, wananchi na hata vyama vingi hawana viongozi. Ni CHADEMA tu ndiyo kuna viongozi imara kiasi UVCCM na wakubwa wao CCM UWT wanasema wanasiasa wa CHADEMA wanaongea kwa kufoka foka.

Kumbe hawaelewi kufokafoka kwa BAVICHA, BAWACHA, BAZECHA na CHADEMA ni hisia za kulitakia taifa jambo jema na kupigania maendeleo na haki za raia sauti za CHADEMA husikika zikiongea kwa hisia kubwa tofauti na sauti za kichawa za vyama rafiki vya chama dola kongwe na CCM
 
Kutoka maktaba 2017

CHADEMA CHUO CHA UONGOZI, TAZAMA KABLA HAJAKENGEUKA BAADA YA KWENDA CCM

01 September 2017​

Breaking News: Bavicha Wahoji Kwanini Chadema Pekee Wanakamatwa?

View: https://m.youtube.com/watch?v=9tbJSeQ85fk
Breaking News: Bavicha Wahoji... Kwanini CHADEMA Pekee Wanakamatwa?

Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA), wamehoji sababu ya polisi kuwakamata wafuasi na viongozi wa CHADEMA pekee!

Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Patrobas Katambi, amesema kuwa, ameamua kuwaeleza watanzania kuhusu mambo yanayotokea na hatua walizochukua ikiwemo kumuandikia barua IGP dhidi ya ukamataji unaoendelea.

Akitetea hoja yake, alieleza sheria inaruhusu kufichua maovu pale yanapoonekana.Katambi amelituhumu jeshi la polisi kwa kuwaandama wapinzani ilhali kuwa mpinzani si kosa kisheria.

Amelalamikia suala la maaskari na viongozi wakubwa wa Serikali kuwanyanyasa watu na kusingizia kwamba kila wanachofanya ni agizo kutoka juu.“kwa nini wasio na hatia wanakamatwa na wenye hatia wanaachiwa huru?” alihoji Katambi.

Mwisho, Amelitaka jeshi la polisi lisiwachukulie wapinzani kama maadui bali liwaone kama watu wanaoelekeza utendaji mzuri wa serikali.
 
RAHA YA KUWA KIJANA HURU, MTU HURU NDANI YA CHADEMA

TOKA MAKTABA :

21 June 2017

Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa akiongea mambo mazito ya taifa letu

View: https://m.youtube.com/watch?v=dDzAZdhUIaE
Iikiwa ni siku mbili zimepita tangu TAKUKURU kuwafikisha Mahakamani watuhumiwa wa ESCROW na IPTL ambapo watu mbalimbali wamekuwa wakiipongeza hatua hiyo ya Serikali…leo June 21, 2017 Baraza la Vijana la CHADEMA ‘BAVICHA’ Taifa kupitia kwa Mwenyekiti wake Pastrobas Katambi wameuelezea mchakato huo na kutoa ahadi kwa Rais Magufuli akiwafikisha Mahakamani wote walioshiriki...
 
Zimesikika sauti za No Reforms No Election 2025 kutoka kwa wanafunzj wa Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania
 
Back
Top Bottom