TAMKO:YAH:Kuvunjwa rasmi kwa uhusiano baina ya madame b na chimbuvu.

By Mr Rocky
Ahhhhhh kumbe unanisema mimi kuwa natembea ofyo ofyo kumbe na wewe ni wale wale Dena Amsi nataka maelezo huyo Nicas Mtei katokea wapi au hii ndoa unataka ipelekwe kwenye kamati

Baba V embu njoo huku bana. Mr Rocky anam " Madame B " Dena Amsi!
Here I come Filipo, afu msimamo wangu juu ya kuwakemea Mr Rocky na sweetlady juu ya ujinga wanaomfanyiat Dena Amsi umewafanya sweetlady na Eliah G. Kamwela kuanzisha uzi wa kunitaka nijiuzulu, Filipo hebu twende kule tuka level mambo
 
Last edited by a moderator:
We name Kama umetumwa vile?

Dena Amsi twende kwenye thread ya Eliah inayodai nimeshindwa kazi ikichagizwa na sweetlady kisa nimewakdmea yeye na Mr Rocky, BTW leo hujaamkia kiroba!??
 
Baba V
Hii ngoma ilipofika yahitaji tukae kama kamati !
Hapa "vya upepo utapita" sivioni kuna kama Sunami hapa ! Tafakuri .

Nimekupata vizuri, ndo maana upo kwenye hiyo kamati, indeed you fit
 
Baba V ukiwa kwenye gari pale manzese na ukamuona kibaka anakwapua kisimu cha torch cha mtu na ana mkisu mkononi inabidi ukae kimya usiongee
Sasa wewe hapa unalikoroga maana unaongea sana Dena Amsi hayo maandishi si ya kwangu kuna mtu kaiba pasiwedi yangu
(ila kiuklweli mimi na sweetlady na snowhite huwa tuna mipango yetu ila naamini unaijua na ushabariki sasa nashangaa hapa unataka kumfurahisha Baba V apate la kusema)

mimi na wewe tumetoka mbali eti toka hungumalwa mpaka mwanza huoni kuna umbali aise na huwa mavuno yangu ya pamba yote unatumia wewe ili upendeze sasa Baba V analeta mdomo hapa na huyo sijui Filipo na Nicas Mtei na Arushaone unawasilikiliza
Achana nao bana twende tukale raha bana usiharibikiwe siku yako my darling wangu

I'm watching kijana, naona siku hizi mnajiuliza TUMEONGEZEKA WANGAPI na sio tuko wangapi tena
 
Last edited by a moderator:
mbona Madam B amekuwa na tabia njema muda mrefu? Kitu gani kinatokea hapa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom