Tamko rasmi la wanaume wa Dar Es Salaam

Tamko rasmi la wanaume wa Dar Es Salaam

Namshangaa mtu Le Mutuz angeweza funika hawa panya kwa shart lake tu mpaka polisi
 
Hao wanaume wa kanda ya ziwa nafikiri wana upeo mdogo sana.
 
Acheni kelele hapa kanda ya ziwa mnajulikana kwa ujasiri wa kuwafanyia ukatili wanawake , watoto na vikongwe!
 
Inaonekana wanaume/wavulana wa dar hii imewagusa maana kila siku thread za kujisafisha.Poleni na karibuni kanda ya ziwa tuwafunze ujasiri.😀😀😀

kanda ya ziwa kazi kupiga wanawake na kuua vizee
 
Hawa Jamaa Hata Wajitetee Vp Hakuna Kitu,barabara Zote Zilikuwa Nyeupeeee... Midume Mizima Inakimbia Hovyo,aisee Aibu Kweli,hata Wake Zao Sasa Hivi Wanawadharau Sana,mwanaume Unashinda Saluni,unapaka Losheni,unavaa Heleni,unachagua CCM,akili Utazitoa Wapi? Unashindia Chips,unaangalia Movie Za Watoto Za Kina Kanumba,lazima Ukimbie Tu.

Wewe ni muongo, yaani unasema wanaume wa Dar wanachagua ccm, yaani kabisa jitu zima lina mke na watoto linaenda kupanga foleni asubuhi mpaka jioni kuchagua ccm, halafu likitoka hapo linaenda kujipongeza baa, yaani ----- jingine linamshukuru na Mungu kwa kuchagua ccm! Hapo umewadhalilisha wanaume wa Dar. Sio vizuri
 
watu wengine mpo sikonge lakini mnajifanya wanaume wa dar
 
wanaume wa mara mkome, kabisa kwa hili siwezi nyamazia, wanaume wa dsm hatuichagui ccm. kanga kofia na toshet mnapewa nyie na kuwachagua ccm magamba
 
Nm nashangaa hao wanaozalilisha wanaume tangu hao panya cji road waanze kusemwa awajawai kufika uku kitunda ili tuone kuna wanaume wamewakimbia au polic wangekuja kuchukua mizoga yao.

Hiyo kitunda iko mkoa gani?
 
wanaume wa mara mkome, kabisa kwa hili siwezi nyamazia, wanaume wa dsm hatuichagui ccm. kanga kofia na toshet mnapewa nyie na kuwachagua ccm magamba

CCM ilishinda mitaa asilimia 90 Dar mwa mujibu wa Meki Sadiki siku ya hotuba ya JK kwa wazee wetu wa Dar. Ushindi mkubwa kuliko miji yote Tanzania. Sisi wanaume wa Dar kwa CCM ni sawa na shoga kwa basha
 
Hao wanaume wa kanda ya ziwa nafikiri wana upeo mdogo sana.

hahahahaha wanaume wa Dar bana... Haya bana sisi wa kanda ya ziwa tuna upeo mdogo.. Vipi nyinyi upeo wenu mkubwa umewasaidia nini??? Kuishi kwa dili za wizi na utapeli au kukimbia vitoto vya under 18 kisa vimeshika visu vya mkate???? Ukweli wanaume wa Dar mnatudhalilisha sana sisi wa pande zingine za Tanzania.. Mpaka jirani zetu walitushangaa, hapo sijagusia wake zetu... Sasa baba unatoka nduki unamuacha mama na mtoto unategemea nani atawalinda??? Dah!! Aya bana karibuni huku Shinyanga na Mwanza!
 
Mwanaume kamili ni yule aliye katwa govi. .. usijiite mwanaume kama unamkono wa sweta wewe bado mvulana
 
Awe panya poli, panya kufugwa au hata hao panya road, kama kweli wanajeuri wafike Kitunda waone joto lake. Kuna Paka road pale watawasaka hadi street. Je, wakikimbilia street watabadili jina ili kusevu? Sidhani kwani tayari watakuwa wameshatolewa maini! tehe.... the!
 
Baada ya kimya kidogo Ndugu zangu wote wanaume tunaoishi katika jiji hili la Dar es salaam, tumeshuhudia vibweka vya aina yake toka kwa baadhi ya vijana wanaojiita eti wanaume toka huko kanda ya ziwa kutulaani kwa kukimbia eti kuogopa panya road, niseme ukweli kwa niaba ya wanaume wote tuishio hapa hakuna aliyekimbia zaidi ilikua ni kuwatuliza kina mama watoto na wazee kutokana na woga walioingia na kuhofia kujeruhiwa na hao vijana panya road,

Sisi tulikua mstari wa mbele kuwangoja kwenye maeneo yetu ili pindi wakipita tuwashughulikie kisawasawa na si kukimbia kama baadhi ya vijana wa kanda ya ziwa walivyodai, na siku ile hatukulala hadi tulipohakikisha usalama umetulia na hali imekua shwari kabisa. Nawakaribisha wanaume wenzangu wa dar kutoa ya moyoni kwenu hapa dhidi ya udhalilishwaji huu. Matusi na lugha chafu si msingi wa hoja hii karibuni

Tuwe wakweli,Wanaume wa DSM ni akinanani? Mi naelewa DSM ni mchanganyiko wa watu kutoka mikoa yote ikijumuisha na mikoa ya kanda ya ziwa,"anyway "ni mambo ya utani tu....tudumishe upendo
 
Tuwe wakweli,Wanaume wa DSM ni akinanani? Mi naelewa DSM ni mchanganyiko wa watu kutoka mikoa yote ikijumuisha na mikoa ya kanda ya ziwa,"anyway "ni mambo ya utani tu....tudumishe upendo


Hata panya road ni sehemu ya hao vidume wa dar.
 
Back
Top Bottom