Tamko rasmi la wanaume wa Dar Es Salaam

Tamko rasmi la wanaume wa Dar Es Salaam

Hata huku Mbeya mitaa ya Mama John,Sae,Ilomba, Uyole, Daxy/Mwanjelwa ,Maskan Isanga , Ilemi kote Uyole tumewashangaa sana yani hawa Panya roed ilikua kimyakimya mnamaliza mambo pia muongeze misosi huwezi kula muhindi wa kuchomwa na pilipili bhana afu lunch unagonga Chipsi mtoto wa kiume kweli?????
 
View attachment 216765

hawa ndo wanaume bhana chezea panya road wanaume wote dar walienda kulala mapema bila kupenda mbona siku ya tukio mlijifungia ndani.

Mkuu Kill 3 jambo mmoja ambalo wengi humu JF hawakuli note ni kuwa siku ile ya Panya road usiku angalia post nyingi za kuripoti tukio lile kulikuwa na makosa mengi sana hasa katika spelling. Unajua ilikuwa kwa nini? Wengi walikuwa wanapost JF huku wakiwa wanatetemeka pamoja nakuwa wamejifungia vyumbani na wengine wako uvunguni mwa vitanda.
Kuna haja ya kukodi vijana wa Tarime kadhaa na kuja kuwagawa mitaani ili kuwatia hamasa wengine litokeapo tukio kama lile. Ona Panya road tuu wametetemesha jee siku ikiwa Nyau road?
 
Last edited by a moderator:
Lakini kiukweli tukiweka unafki pembeni na mimi nikiwa kama mkazi wa DAR...vijana wengi wa DAR hasa wazawa wa mji huu huwa wanajilegeza sana nikijilinganisha na mimi niliyetokea mashambani....yaani inakuwa ngumu kuwatofautisha mtoto wa kike na wa kiume linapokuja suala ukakamavu....nilishuhudia kwa macho yangu watu wakikimbia hovyo kama ndege...vijana ambao tulitegemewa tuonyeshe ujasiri mbele ya wazee wetu ili wajivunie uwepo wa morani hatimaye wamekimbia....na wapo baadhi mpaka leo hawajarudi makwao kwa hofu ya hao panya.....nina kila sababu ya serikali kuwakamata kinguvu hawa vijana kuwapeleka kwenye makambi ya JKT angalau wawe na ukakamavu kwa kuwa DAR ndio kitovu cha TANZANIA..Kuna kijana mmoja wa kiume mtoto wa mwenye nyumba baada tu ya kupata kibarua na kupokea mshahara wake wa kwanza kitu cha kwanza kununua ilikuwa ni dressing table...ni tukio ambalo mpaka leo linaniacha mdomo hasa kwa mtoto wa kiume........
 
wanaume wa mara mkome, kabisa kwa hili siwezi nyamazia, wanaume wa dsm hatuichagui ccm. kanga kofia na toshet mnapewa nyie na kuwachagua ccm magamba

Dar ina wabunge wangapi,madiwani wangapi?

Je kati ya hao ccm inao wangapi?
 
Khaa wanaume lege lege wa Dar tena... Mwanaume akiniambia katokea Dar navumilia cheko haswa.. Wanaume kulalamika tu muda wote; wanaume kulishwa na wanawake; wanaume wala chips mayai; wanaume waoga sijapata kuona... Ukisikia Panya road hao meeen wanaume surueli zinawekwa begani na kwenda kujifungia vyumbani.....
 
Hawa ndo hula mahindi ya kuchoma kwa blue band?
 
siku hizi kila mtu anatoa tamko kuna siku nimekaa nasikiliza taarifa ya habari naona mtu anajiita mrais wa wapiga kura Tanzania sijui kachaguliwa na nani fanyeni kazi acheni kupoteza muda kwa mambo ya kijinga
 
yani hao panyarodi wanabahati wakati wanaleta fujo zao nilikua nimesafiri... wangepita hapa k/koo hata kimyakimya tu waonje joto ya jiwe
Haa haa wanaume wa Dar buanaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wanaume wa mikoani Mungu anawaona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom