TAMKO: Rais JPM Kasema

Tamko? Tamko bila pesa?
Hela ziliishia kwenye kampeni
 
ama wewe kweli ni mbuzi na kuku! Jina linakufaa sana na wala usilibadilishe. Unafurahia mkopo wakati ulikuwa usilipe kitu mpaka unamaliza phd yako!
hiyo kitu haiwezekani hizo ni mbwembwe tuu na maneno ya wakosaji. Hadi south africa wanalipa hakuna anaesoma bure moja kwa moja utanambia tanzaniia hii. Hiyo kitu ni ngumu babu labda kwa mwaka mmoja tuu hapon ntakubali. We hujaona hadi mzee kaanza kuambia tra wafanye kazi kwa bidii. Eti bure nyooo
 
ok naamini bora kitu kuliko kukosa kitu
 
ngoja waombe vyuo viwasajili uku wakishughulikia tatizo usome semester moja ya tabu na mateso uichukie serikali vizur
huyu mzee naamini ana busara na hilo swala linaenda kutendeka hata kama tutachelewa hadi january mwakani ila litatendeka tuu amini nakuambia.
 


Mimi kama msomi wa Saikolijia nimebaini kuwa wewe si mwanafunzi unayetegemea kujiunga na masomo, Bali ni mpambe na shabiki wa Magufuli na CCM kwa ujumla ila unatafuta namna ya kuwashawishi watu kumkubari mapema Magufuli na kumuona anafaa. Hakuna Jambo la maana aliloliongea Magufuli kuhusu mikopo ambalo unaweza kuja kuwaaminisha wahusika hapa kuwa tayari tatizo lao limetatuliwa wakati hata hii elimu ya burr kwa wanafunzi wa sekondar anategemea zitakazopatikana kwa kupunguza misamaha ya kodi kwa wafanyabiashara wakubwa
 
wewe kweli ndo AZONTO unatoa mi meno nje ushapata uo mkopo au ndo uajipa faraja MPUUZI wewe na ngoja UKOSE mkopo wenyewe usitufie.
 


Ana IMANI ndio maana ameanza kushukuru kwanza kabla hajapata mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…