Naona wahanga wa mikopo chuo kikuu mmepata afueni rais JPM kawakumbuka kasema lipatiwe ufumbuzi maramoja so soon mambo yatakuwa mazuri nahisi wiki ijayo mtaanza kula bata.
Mkuu nadhani hujanielewa...hao jamaa wa bodi za mikopo huwa wanachukua pesa za wanafunzi, wanapeleka fix deposit kwa miezi sita alafu wakishatafuna interest ndo pesa zinapelekwa kwa wanafunzi..mjini kugumu

we pumba kweli kwani tz kuna bodi ngapi za mikopo alafu usinifundishe ishu za CREDIT CREATION na nikuulize kitu hivi bodi ina akaunti benki gani hapa tz na pesa za bodi huwa zinatoka hazina sasa sijui hiyo logic umeitoa wapi au ulikariri AMBILIKILE akakujaa kichwani sasa unatema urojo

dah kweeli wewe ni popoma domo lipi tena huku jf sauti yangu unaijua eti naongea na nani hahahahah kweli shule na uelewa vitu viwili tofauti kama ni kujitambulisha kuna jukwaa lake mwambie moderator akuonyeshe ukajaze wasifu wako huko #hapa kazi tu
dah kweeli wewe ni popoma domo lipi tena huku jf sauti yangu unaijua eti naongea na nani hahahahah kweli shule na uelewa vitu viwili tofauti kama ni kujitambulisha kuna jukwaa lake mwambie moderator akuonyeshe ukajaze wasifu wako huko [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=hapa]#hapa [/URL] kazi tu