Said Bagaile
JF-Expert Member
- Jun 23, 2011
- 686
- 256
Maandamano! Labda aandamane yeye na wakeze, siye wenye upeo huwezi kutuingiza chaka kirahisi, mtakaoingia ni nyie mnaoidandia dini kwa mbele.
Naona watu mlingojea shekh issa kundecha akurupuke na kutangaza maandamano..
Imekula kwenu..