Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
Shura hii ya maimamu imeiomba serikali ya Tanzania kuunda tume kuchunguza tukio la Seikh Ponda bila hivyo watapoteza imani na serikali.
tarehe 7 mwezi huu uwanja wa Ndega wa Jomo Kenyatta International Airport uliwaka moto.
Moto ulikuwa mkubwa sana, lakini ndani ya masaa manne Moto huo ulikuwa ushazimwa.
Na masaa machache baadae ikagundulika kuwa ni hitilafu ya Umeme ndio ilisababisha ishu ile.
ninauhakika ingekuwa ni hapa kwetu basi ingeundwa Tume na ule moto ungedumu masaa zaidi ya 12.
Ipo siku tutakuja kuomba iundwe Tume ya kuchunguza kwa nini Mbingu haianguki?
Je imeshikiliwa na nini?