Gashongoile
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 487
- 145
Ameeneza chuki gani ndugu? Ebu nitajie chuki moja tu anayoeneza Sheikh Ponda siyo unaropoka tu kwa kufuata mkuumbo.PONDA ni nani Tanzania hii,afie mbali huyu filauni.hastaili kuundiwa tume. kiongozi gani wa dini anaeneza chuki kwa waumini wake?poa jeshi la police.