celinawetu
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 1,331
- 1,059
Wewe unataka tuwatume Polisi wakuteke,wakutese na kukumaliza kabisa,hatuwezi kulea watu kama wewe.
We ni mwehu maneno yote aliyaongea siku hyo nahoji alijisahau kwa yote maneno mawli, ya benk na yake na mkewe?Unazungumzia kuhusu bank ya walimu kuyumba , then ishu ya mke wake imeingiaje hapo!
Ujinga bado unatusumbua watanzania wengi kama hata kueleza hoja yako umeshindwa.
UNGEFUNGUA UZI MBILI TOFAUTI MKUU MOJA YA MKEWE NA YA BANK,kama ulimsikiliza kwa makini alisema kutokana na taarifa alizozipata toka BOT hyo bank iko shakani inaweza kufutwa na akalaumu mikopo wanakua hawapewi mikopo wanakopa wasio walimu na wameshindwa rejeshabank iko taabani sasa ni kosa la nani, unataka nchi ndo iweke pesa pale ama kufutwa?We ni mwehu maneno yote aliyaongea siku hyo nahoji alijisahau kwa yote maneno mawli, ya benk na yake na mkewe?
Ni majuzi akiongea na walimu huko dodoma alisema benki ya walimu inayumba..
Najiuliza hivi alidhamiria kutoa hilo tamko au bahati mbaya. Anajua athari zake kwa benk kwa yale matamshi au mdomo ulimteleza kama alivyoteleza pale aliposema yeye na mkewe wanajua namna ya kumalizana hadi mkewe akaangalia chini kwa aibu.
Kimsingi ile kauli ni moja ya mwanzo wa kuyumba kwa ile benk kwani wateja watakosa imani na kukimbilia kuchukua hela zao.
Hivi ni lini atajifunza aseme nini wapi na wakati gani,
A shameful statements ...
KWANI MAMBO YA YEYE NA MKE WAKE YANAKUJAE HADHARANI?Unazungumzia kuhusu bank ya walimu kuyumba , then ishu ya mke wake imeingiaje hapo!
Ujinga bado unatusumbua watanzania wengi kama hata kueleza hoja yako umeshindwa.
UNGEFUNGUA UZI MBILI TOFAUTI MKUU MOJA YA MKEWE NA YA BANK,kama ulimsikiliza kwa makini alisema kutokana na taarifa alizozipata toka BOT hyo bank iko shakani inaweza kufutwa na akalaumu mikopo wanakua hawapewi mikopo wanakopa wasio walimu na wameshindwa rejeshabank iko taabani sasa ni kosa la nani, unataka nchi ndo iweke pesa pale ama kufutwa?
MKUU TUSIWALAUMU WASHAURI WAKE ALISHA SEMA "SIPANGIWI"Hii alifanya pia dhidhi ya twiga bancorp. Washauri wake wanastahili lawama zote.
Ni dhahiri kuwa mheshimiwa hapati ushauri mzuri katika maswala ya uchumi na commerce. Mambo mengi anayoganya yanapelekea uchumi kuporomoka zaidi hata kama nia yake siyo hiyo.
Benki inayoyumba kuna utaratibu mahsusi wa namna ya kuisalimisha ili wenye amana wasiumie. BOT inafahamu huu utaratibu, ambao unatekelezwa kwa BOT kuja siku isiyotangazwa na kuichukua benki na kuiweka under administration. BOT haiendi majukwaani na kuanzw kuiponda benki husika kabla ya yukio kwa sababu kufanya hivyo kutapelekea wenye amana zao ku rush hiyo benki na kuiangamiza kabisa, hata kama ingewezekana kuinusuru.