njeeseka
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 1,371
- 976
Naangalia tangazo la NEC mwisho najiulize kama vyama vyote vitainamisha kichwa kukubali agizo/ amri ya NEC ambayo inawataka wagombea waorodheshe majina ya watu 7 tu wanaotaka kuwasindikiza siku ya kurudisha fomu. Kwa wale wa vyama visivyo na wafuasi wengi nadhani wataridhika ktk hii uniformity ya NEC. Ngoja tuone wazee wa misafara.....