Tamko la NEC mwisho watu 7 kurudisha fomu

haa haa hiyo ni ccm tu. hao wote NEC na hata polis wanaitumikia ccm tu. hayo yote kisa ni kumwogopa lowasa..
 
Ujue muda wanatupotezea,kumbuka hata achaguliwe nan hawezi badilisha maisha yako.Pambana mwananchi makini na uitumie kura yako kumpata kiongozi bora. Achen mob physcology

nawashangaa watu kama wewe mnaotutaka tuamini kuwa ccm ndo wanaoweza kutupa maisha bora miaka 5 ijayo ikiwa miaka zaidi ya 50 wameshindwa. kupambana na kazi ili tutoke lazima lakini mabadiliko ya kutupa mazingira wezeshi
 
Maskini nec mnaogopa wakati hajaapishwa???????? Sipati picha rais lowassa siku ya kuapishwa
 
Nauliza, Hivi Mshauri Wa Masuala Ya Siasa Wa CCM Ni Dr Bana Na HP? Kama Ni Hao Wanawapoteza Sana.
 
Ni wakati wa ukawa kujiuliza namna ipi wataendesha siasa za kistaarabu kwa mujibu wa sheria. Ccm imewaletea makada wengi pande hizo ni furaha pande zote wakati wengine wanasherehekea kuongeza idadi ya ...wengine wanasherehekea kuona siasa zinazofanana. Tutegemee upungufu wa vurugu kwani kiranja wao amelelewa hajui vurugu..wajiandae kisaikolojia kila kitu sasa watatii...mwanzo umeanzia safari ya msibani, pili NEC hiyoo , tatu tamko la .....no maandamano. Mmmh mjiandae kuzoea siasa msizozizoea.
 
Lowasa ni mgombea wa UKAWA ambayo inaundwa na vyama zaidi ya Vitatu kwa hio ni saba mara 4 unapata 28
 
Lowasa ni mgombea wa UKAWA ambayo inaundwa na vyama zaidi ya Vitatu kwa hio ni saba mara 4 unapata 28

hebu nyinyi watanzania nendeni makanisani na misikitini muombewe mpata upeo wa kufikiri lowasa kesha inunua chadema chake hamsikiiii
 
swali tu
hayo wanayoyataka ni ibala ya ngapi katika katiba?
jaman muanze kunitafutia kibaru maana nimechoka kikaa kimya najua ntafukuzwa kibarua si siki nyingi
 
Back
Top Bottom