Tamko la NEC mwisho watu 7 kurudisha fomu

njeeseka

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
1,371
976
Naangalia tangazo la NEC mwisho najiulize kama vyama vyote vitainamisha kichwa kukubali agizo/ amri ya NEC ambayo inawataka wagombea waorodheshe majina ya watu 7 tu wanaotaka kuwasindikiza siku ya kurudisha fomu. Kwa wale wa vyama visivyo na wafuasi wengi nadhani wataridhika ktk hii uniformity ya NEC. Ngoja tuone wazee wa misafara.....
 
nahamini movement yoyote ile duniani mfano Back to Africa movement enzi za black people in the new world zlikumbwa na misukosuko mingi kama hii ya hapa bongo .kwa ninavyoona mm hawa chama tawala wameona kama ndugu ENL atarudisha tena fomu kwa watu wengi kama wa juzi bas yatakuwa nimatanga kwa CCM na hakuna kingine .
 
Haaaaahaaaaaaaaaa...

Haaaaaaaaaa.....NEC CCM maji ya shingo lazima wafe...!!!

Yaani wanachanganyikiwa..hata hawajui wafanye nini...yaani they Lost election before election...!!! Washashindwa uchaguzi kabla ya UCHAGUZIIII....!!!

Lowassaaaaaaaaa..Ukawaaaaaaaa...
chochea kuniiiiiiiiiiiiiiiiii wanaunguaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......✌✌✌✌✌✌✌✌👏👏👏👏👏👏👏👏🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

Lowassaaaaa......kama Yesu...!!!!😂😂😂
 
Naangalia tangazo la NEC mwisho najiulize kama vyama vyote vitainamisha kichwa kukubali agizo/ amri ya NEC ambayo inawataka wagombea waorodheshe majina ya watu 7 tu wanaotaka kuwasindikiza siku ya kurudisha fomu. Kwa wale wa vyama visivyo na wafuasi wengi nadhani wataridhika ktk hii uniformity ya NEC. Ngoja tuone wazee wa misafara.....


watoe tamko arudishe mgombea mwenyewe
 
Nikiifioilianl nchi yangu tanzania huwa nacheka sn,,,,tunahaki ya kidharauliwa na wenzetu
 
Wanachekesha. .

NEC wangesema wagombea wascan form waitume kwa email au watume kwa DHL etc ndio tungewaona wajanja. ...

wanakiri udhaifu kabla hata game halijaanza. ..
 
yani lubuva anachezeshwa makirikiri na watu wa lumumba hahahahahah maji huwa yanafata njia yake hata mjenge magorofa ya zege kuyazuia bt cku mafuriko yakitokea yatapita pale pale lubuva mzee wangu unajua wanyama serengeti wanajiona wapo huru kumbe tunawafuga na kutengeneza mkwanja kupitia wao kama cku wakijua wanaweza na wenyewe kudai maji ya bomba,nyumba za kuishi.medical care na mbunge wao bungen bt mpaka dunia inakwisha siri hii hawato ijua sasa kumbuka sisi c wanyama ni binadamu 2naona NEC ,POLICE jinsi mnavyopokea maelekezo kutoka lumumba sasa kumbukeni mahakama ya kimataifa aijafungwa ila alieondoka ni ocampo tu
 
Huu ni mwaka 2015 na sio 1995. Magamba lazima yasalim amri, maana hakuna namna nyingine. Watashindwa tu
 
Nikwamba Yale manyunyu ya juzi yamewagusa sana... Hahaha! Tutawachinja tuu hakuna namna nyingine.!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom