Tamko la NEC mwisho watu 7 kurudisha fomu

Ujue muda wanatupotezea,kumbuka hata achaguliwe nan hawezi badilisha maisha yako.Pambana mwananchi makini na uitumie kura yako kumpata kiongozi bora. Achen mob physcology
 
Yule mzee wa NEC naye yuko kwenye systems msisahau wacha apokee maagizo toka juu mwisho 25 Oct.

Utaanza kupotea maagizo toka usipopenda. Na mwambieni aanze kuangalia kwenye katiba pendekezwa nafasi yake ikoje.
 
Hawa nec nao wanajidhalilisha mbona kabla ya lowasa kwenda kuchukua fomu hawakujitokeza kusema haya wanayosema sasa.
wameonyesha udhaifu.
 
Tutamsubili ofisini akirudi toka nec tutakusanyika tu? Labda nec watuletee fom ofisini kwetu
 
Huenda NEC wana maana ndani ya ofisi yao idadi ya wasindikizaji isizidi watu 7, hiyo sidhani kama ni tatizo kwa wagombea, lakini kama wana maana nyingine ya kuepusha aibu ya mgombea wa magamba, then kweli wanatumika vibaya sana na CCM.

Mheshimiwa Judge Lubuva, nakuonea huruma sana mwaka huu, uchaguzi wa mwaka huu ni mtihani mkubwa sana wewe na team yako yote ya NEC. Usije ukaingia katika HISTORIA kama yule mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya. Tenda haki tu na utakuwa huru.
 
Wanashangaza sana, vikwazo visivyokuwa na kichwa wala miguu. Hawajui wanazidi kumwongezea chura mwendo.
 
Haaaaahaaaaaaaaaa...

Haaaaaaaaaa.....NEC CCM maji ya shingo lazima wafe...!!!

Yaani wanachanganyikiwa..hata hawajui wafanye nini...yaani they Lost election before election...!!! Washashindwa uchaguzi kabla ya UCHAGUZIIII....!!!

Lowassaaaaaaaaa..Ukawaaaaaaaa...
chochea kuniiiiiiiiiiiiiiiiii wanaunguaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......✌✌✌✌✌✌✌✌👏👏👏👏👏👏👏👏🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

Lowassaaaaa......kama Yesu...!!!!😂😂😂



Usimfananishe Lowassa na Yesu watake radhi wakristo
 
Wako sahihi tume,maana tunachokishuhudia now Ni fujo,wenye Ni na mapenzi na lowassa au magufuli waonyeshe hisia zao oktoba 25
 
Naangalia tangazo la NEC mwisho najiulize kama vyama vyote vitainamisha kichwa kukubali agizo/ amri ya NEC ambayo inawataka wagombea waorodheshe majina ya watu 7 tu wanaotaka kuwasindikiza siku ya kurudisha fomu. Kwa wale wa vyama visivyo na wafuasi wengi nadhani wataridhika ktk hii uniformity ya NEC. Ngoja tuone wazee wa misafara.....

Nchi za dunia ya tatu!! Ndio majaaliwa yetu...
 
Wenye uhakika na ushindi kwa mgombea wap huu ni muda wa kujipanga kusubiria kumpa kura hapo 25 Oct.
 
Back
Top Bottom