Na mimi ambae ni mwanachama wa vyama vyote viwili mnaniambiaje?
Achaneni na CHAPUTA!.Mkuu kuna wale akina sisi ambao ni wanachama wa vyama vyote hivyo, unatushaurije?
Wanaokataa ndoa ima ni waseeenge, wahuniii, wazinziii na wanafiki wa kutupwa. Bila ndoa, sijui wao wangekuwa wapi.Awali ya yote natumai mu buheri wa afya..
Mimi kama katibu wa chama cha kataa ndoa, napenda kutoa rai ama ushauri juu ya chama cha CHAPUTA yani chama cha wapiga punyeto Tanzania!.
Kwanza ieleweke hivi kwa watu wote chama chetu cha kataa ndoa si kwamba kukataa ndoa ndo kukosa mpenzi!, la hasha!. Na vilevile kukataa ndoa sio kwamba sisi ni wapiga punyeto!, Bali swala la huduma ya huba ama mapenzi tunalipata vilivyo tena huku tukizingatia afya zetu kama idara za afya zinavyotutaka!.
Lengo la bandiko hili ni kuwashauri wana CHAPUTA kuacha tabia hiyo ya punyeto ama kujibinya mara moja!, kwamaana haizingatii afya maana huaribu misuri ya kiungo kinachobinywa!, na pia huathiri saikolojia ya mjibinyaji yani mpiga punye!.
Itakuwa vyema kama chama hicho kitazingatia ushauri huu, sisi kama chama kikongwe tumeona si vyema kuwaacha ndugu zetu mkiangamia!.
Pia chama chetu cha kataa ndoa kipo tayari kupokea wanachama wapya mwendo ni NO REFORM NO MARRIAGE!.
Niwatakie usingizi mnono!.
Kinanihusu sana mwanangu kwa vile nina ndoaUkiona kitu hakikuhusu heri upite kimya alasivyo utakuja kuaibika kwenye sherehe ambayo hata haujaalikwa!.
Na kuning'inia mbona tunaning'inia fresh tu chief, CHAPUTA huko hatukazi sanaAchaneni na CHAPUTA!.
maana kuwa kataa ndoa sio kwamba utakosa huduma ya kuning'inia!, ila tu kuzingatia afya ni muhimu.
Chapa ilalehivi kataa ndoa ni kiwanda cha kutengeneza single mama!!??
Wangapi wanandoa na hawana watoto?Wanaokataa ndoa ima ni waseeenge, wahuniii, wazinziii na wanafiki wa kutupwa. Bila ndoa, sijui wao wangekuwa wapi.
Sasa hiyo mada nyingine. Tafadhali stick on mada ya ndoa. Kama utataka tutongoe kuhusu watoto, basi leta mada mpyaWangapi wanandoa na hawana watoto?
mbona CHAPUTA ni chama kikongwe sana kulicho Chenu cha ganda la ndizi A.K.A mselelekoAwali ya yote natumai mu buheri wa afya..