Tamko la kataa ndoa dhidi ya chama cha CHAPUTA!.

Dalili ya wenye upungufu wa nguvu za kiume inazidi kuongezeka.

Mwanaume mwenye akili timamu,
Mwenye nguvu ya mwili na mwenye hofu ya Mungu lazima aoe , halafu ampende mke wake,ikiwa ni pamoja na kumpa huduma zote.

Chakula kizuri,
Mavazi mazuri,
Malazi mazuri,

Pamoja na kumridhisha kwenye kila angle.

Tatizo wanaume wa sasa mnataka mpendwe na wake (mademu)zenu hili ni kosa.

Mwanamke kazi yake ni kukuheshimu na kukuweka kwenye kifua chake yaani ukimfanyia mazuri atajitoa mzima mzima na kujaa kwako anakuwa hajiwezi.

Hana atachokufanyia zaidi ya kukuzalia tena asilimia nyingi watoto lazima wafanane na wewe.

Wakuu key ya hapa ni kufanya kazi Kwa bidii mno, mwanamke anapenda kuwa na mwanaume atakaye tatua matatizo yake.

Kwenye biblia katika kitabu cha mwanzo,Yakobo alifanya kazi miaka saba ili ampate Raheli,licha ya kutimiza miaka hiyo hakupewa aliyemtarajia badala yake akaongeza miaka saba mingine ili tu kumpata aliyemkusudia hebu fikiria miaka 14 mtu anakubali kuwa mtumwa ili tu kumpata mwanamke.

Wazee, Ndoa siyo ya mwanaume aliyelegea, ndoa siyo Kwa mwanaume mchoyo na mbinafsi , ndoa siyo Kwa mtu mwenye kupenda mteremko,ndoa ni kwaajili ya wenye AKILI TIMAMU.
 
❤️
 
Kumbe unazungumzia enzi za akina Raheli wanaojitambua na hiyo heshima wanayo kweli, hapo sawa.

Akina Raheli wa siku hizi:

Kwanza hawataki kuitwa Raheli, wanataka waitwe akina Rachel (kama wenzao tu: Angelina - Angel, Fatuma - Fetty, Grace - G, Prisca - P nk). Hayo majina yao halisi yanabaki kwenye documents tu huko.

Hizo mambo za kuheshimu hawana, wanataka wapende, wachague na kuamua wao na si kuchaguliwa na kuamuliwa na wazazi;

Wanapenda mtu anayefanya kazi kwa bidii na kutatua matatizo yao, at the same time wanapenda mtu anayewapa muda wa kutosha, ndo maana ukiwa busy huko (ukiamini unaheshimika) wao wanapitiwa kimasihara na bodaboda na wahuni wengine ambao ukisikia utabaki mdomo wazi (mfano jana tu nimemwona mwanamke mmoja karudi hapa mtaani, kaachika kwa bwanake mchakarikaji mwenye noti za kutosha ambaye ni provider mzuri sana. Maelezo yake ni kuwa yeye hakuolewa na pesa, anataka mume anayempa muda wa kutosha na si muda wote yupo busy tu. Na huyo si pekee, wapo wengi wa namna hii);

Wanaweza kufanyiwa hayo mazuri na wasijitoe wazima wazima wala kujaa, na wasikuzalie kwa uaminifu pia kama ulivyosema (mfano, kuna dada mmoja ni mwajiriwa Halmashauri fulani ni mke wa mwamba mmoja mwanasheria. Sasa yule dada kawaleta ndugu zake watano ikiwa ni pamoja na baba yake mzazi ambayo ni mlemavu anaishi nao kwa mwamba na mwamba anawatunza vizuri sana na pesa ipo. Lakini mara kibao anagombania mabwana na ke wenzie huko mitaani bila hata kujificha, na tayari Kuna mgogoro mtoto mmoja si wa mwamba);

My take:
Haya mambo ya wanawake wa sasa hayapo static na hayana fundi wala formula maalum, hivyo ukiona kuna watu yamewachanganya na wameamua kuachana nayo wala usijaji sana na kutoa lecture moja kwa kufanya generalization, yaani hayahitaji lecture ya kitini kimoja maana watu wenyewe wanatofautiana, kila mmoja inatakiwa umsikilize na kum lecture accordingly. Kuna watu walifanya hivyo unavyofanya na wakaishia kuning'inia mwembeni baada ya ya kuwa proven wrong na wanawake wao ambao jamii nzima ni wife material na ndoa zitadumu milele.
 
Afadhari umemaliza mkuu.
 
Wanatoka kwenye misingi ya ilani za chama,mifumo ya taarifa ya vyama vyote viwili inapaswa isomane
 
Back
Top Bottom