Chadema inaelekea kusambaratika. It's time tu
Mkuu Artorius, kama una uwezo to read in between the lines, authenticity ya video hapa haijazungumziwa tena!. Wameisha jiridhisha it is "bonafide genuine!" kitachotafutwa sasa ni kumnasua tuu Rwakatare kwa kujenga hoja mchezo mzima ulikuwa ni mtego wa TISS, wakimaanisha Ludo, Msaki, Mchemba na vijana wao lao ni moja, Rwaka ndio oddman out!.
Pasco.
Kaunga wasio mjua pasco wanaweza kuangaika sana! Yani leo kanichekesha sana kwa sarakasi zake! Kule kwenye uzi wa kushikwa kwa maggid alinichekesha sana eti anasema alikwenda kuhojiwa tuu na ataachiwa tuu lakini ajui kwa nini alipewa sharti la kuwekewa dhamana!
Mbona unajikutana una comment peke yako?
Upuuzi tu! CHADEMA acheni kuweweseka, ukweli wote utajulikana mahakamani.
Kama mna uhakika hamna hatia kwanini mnaweweseka hivyo? Tulieni.
Tumechoshwa na matamko yenu ya kipuuzi.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums[/QUOTE
Halafu marando namshangaa sana. Anasema wanaenda kuomba amri ya mahakama ili wachunguze mawasiliano ya namba za simu wakati wao tayari wamefanya hivyo bila hata ya amri ya mahakama. Je huko si kuingilia privacy ya mtu ingawa nina hakika kuwa walichokifanya ni kutafuta namba za simu za watu hao na kutengeneza story
lukolo na chadema kama watashinda hii kesi huenda huu utakuwa mwisho wa movie za ccm kupoteza malengo ya wtz kujadili mambo ya msingi.inaonekana wewe ndiyo hujasoma between lines. Lakini kwa tuliyesoma between lines tumeona kabisa imeelezwa kwamba vifaa vya kazi vya michuzi ndiyo vilivyotumika kwenye editing ya ile video. So ni dhahiri kwamba utaalamu wa hali ya juu ulitumiwa na akina michuzi kubadilisha maneno ya lwakatare na kuweka ya kwao. Katika hali ya kawaida lwakatare asingekuwa mwehu apange hujuma kubwa kama zile mahali pa wazi vile.
Na zaidi ya yote, mwigulu anasema anaushahidi wa maandishi na mwandiko. Huu ndiyo ushahidi hovyo kabisa. Mimi nilipokuwa sekondary nilikuwa naweza kuiga mwandiko wa kila mtu, nilikuwa naigiza miandiko ya mabinti na kuwaandikia barua wanaume wakware nikijifanya ni binti fulani ameandika. Na sikuwahi kukosea katika hilo. Ni suala la practice ya dk tano tu. Watu wanaiga sahihi na inatoka kama ilivyo, utakuwa mwandiko?
Ngoja tusubiri ushahidi utakaopelekwa mahakamani, naona serikali ya kikwete imekamatwa pabaya.
chadema kila wiki wana tamko last week ilikuwa iringa wik hii marando may be wiki ijayo mushumbuzi kimekuwa chama cha matamko,maandamano.ugaidi,sumu,ukabila,ukanda bila kusahau propaganda badala ya hoja mbadala kwa ccm
Nasikia bado wana nyingine ambayo wameiandaa ya jaribio la CHADEMA kumpindua Kikwete. Na wanasema na yenyewe wataicheza mwezi wa kumi na mbili mwaka huu. Ni katika harakati ya kutafuta sababu ya kukifuta CHADEMA. Maana Tendwa ni mtu wao, ataibuka tu na kutangaza kwamba amekifuta chadema kwa kuwa ni chama cha kigaidi or kinafanya mipango ya kuipindua serikali.lukolo na chadema kama watashinda hii kesi huenda huu utakuwa mwisho wa movie za ccm kupoteza malengo ya wtz kujadili mambo ya msingi.
ni kweli kabisa ndugu kama ccm haitaondolewa mapema madarakani,taifa linaangamia mchana kweupe halafu wenzetu wanachukua uraia wa nchi nyingine wanakopeleka mali za umma,matendo ya ccm hata shetani atawakana ndg,tuombe Mungu na tuungane kuiondoa ccm kwa njia yoyote iwayo.Mkuu ingekua vizuri ikaihurumia taifa lako Tz maana njama zote hizi za kuangamiza chadema zina lengo la kuendelea juihujumu taifa kupitia wizi wa rasimali za taifa na kuendelea kuwafanya watanzania maskini wa kutupwa huku watu wachache wakiendelea kutajirijika12 jambo ambalo mwisho wake huenda ikazua vita kali kati ya walionacho na waliochoka na tukufika huko siyo chadema itakua imekufa bali taifa la Tanzania ndiyo itakua imeangamia. watanzania tuhurumie taifa letu kwa kuikataa hiki chama kinachozidi kututia umaskini badala ya kuihurumia chadema, chadema na ccm kama vyama vinaweza kufa akini tz kama taifa is there to stay.
hata huyo LWaka ni haohao TISS, kinachofanyika hapa ni counter-punching tuPasco ukianbalia yema ile video inaonyesha kuwa hata aliyekuwa anarekofiwa alijua dhairi kuwa anarekofiwa. Kwahiyo suala la authenticity si la muhimu bali tu yawezekana kwamba final product ikawa tofauti na iliyorekodiwa. Je yawezekana ni makundi ndani ya hivi vyama katika mcvhezo wa kujitanabaisha kuelekea 2015? Au umeshafikiria pia kwamba CHADEMA wameiingiza CCM katika mtego huu bila kujijua?
Kumekucha...Mwili mzima umetetemeka...!
chadema kila wiki wana tamko last week ilikuwa iringa wik hii marando may be wiki ijayo mushumbuzi kimekuwa chama cha matamko,maandamano.ugaidi,sumu,ukabila,ukanda bila kusahau propaganda badala ya hoja mbadala kwa ccm
salamu kwa pasco wa jf,alituambia ile video ni ya ukweli,pasco tunakutaka hapa jamvini mara moja