GE2025 Tamko la BAVICHA kuunga mkono maandamano ya Amani Oktoba 29

GE2025 Tamko la BAVICHA kuunga mkono maandamano ya Amani Oktoba 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Safi sana. Haya maandamano yanawahusu kwa 💯%.

Nimefurahi pia kuona hilu tamko lao halina mhuri wala sahihi ya kiongozi yeyote yule wa bavicha. Kiufupi ni tamko la jumla jumla tu. Hivyo policcm watakosa mtu wa kumkamata na kumsumbua, ili tu kuwafurahishwa mabwana zao.
Watafuatwa viongozi wa CDM ili wathibitishe kuhusika/kutohusika na tangazo hili. Tena watatakiwa watoe hadharani
 
DAY BREAK | Tanzania at the crossroads [ Part 2]​

View: https://m.youtube.com/watch?v=2XATW3VLL2E
Jakaya Kikwete atwishwa lawama, alikuwa mwanadiplomasia mpatanishi mzuri lakini sasa kama mstaafu ni kama amelogwa literally speaking jopo linasema kwa masikitiko juu ya rais mstaafu pekee wa Tanzania aliyeyebaki walikuwa wamempa uzito angerekebisha mambo lakini ameamua kuwemo katika genge la uongoza uchafuzi wa demokrasia na mchakato mzima wa uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 nchini Tanzania
 
Watafuatwa viongozi wa CDM ili wathibitishe kuhusika/kutohusika na tangazo hili. Tena watatakiwa watoe hadharani
Watawapata wapi! Bahati nzuri hao viongozi wana akili kubwa ukiwalinganisha na hao wazee wa kutegemea nguvu na vitisho.
 
TOKA MAKTABA :

Pretoria, Republic of
South Africa

Rais wa Tanzania aachana rasmi na maigizo ya kuleta mageuzi kupitia 4R huku kukiwa na wimbi kubwa la kudumaza demokrasia Afrika Mashariki​

Tanzanian president drops pretence of reform amid retreat from democracy in east Africa​

Tanzanian president drops pretence of reform amid retreat from democracy in east Africa

President of Tanzania Samia Suluhu Hassan attends a meeting at the State House in Dar es Salaam on 8 February 2025. (Photo: EPA-EFE / Anthony Siame)

Criminal Case No. 19605/2025: Republic vs Tundu Lissu.

By Peter Fabricius Follow
11 May 2025 0

In the lead-up to the October elections, Tanzania’s president is retreating from democracy – along with the rest of the east African region.​

Democracy is in bad shape in east Africa and seems to be getting worse. Tanzanian President Samia Suluhu Hassan’s political reforms after she succeeded the authoritarian John Magufuli in 2021 raised a glimmer of hope – but she now seems to have regressed.
Reacting to the general retreat from democracy, Kenyan politician Martha Karua, a former member of Parliament and cabinet minister, and Raila Odinga’s running mate in the 2022 presidential elections, is leading a campaign against opposition party suppression in the region.

Her Pan-African Progressive Leaders Solidarity Network is demanding the “immediate withdrawal of charges against Mr Lissu and all political prisoners”. This refers to Tundu Lissu, the leader of Tanzania’s Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) party, who was arrested and detained in April on treason charges. Chadema is pushing for electoral reforms ahead of the October general elections under the slogan “No Reforms, No Election”.
Karua’s group describes Lissu’s case as “emblematic of growing threats to democracy across Africa”. She has also joined the legal team defending Ugandan opposition leader Kizza Besigye and his ally Hajji Obeid Lutale, who were jailed without bail on charges of treason and illegal possession of weapons. Meanwhile, veteran Burundi opposition leader Agathon Rwasa has been sidelined from participating in next month’s elections.
Ugandan opposition leader Bobi Wine, who ran against President Yoweri Museveni in the last presidential elections, posted this week about visiting his bodyguard, Eddie Mutwe, and other jailed party members in prison. Mutwe was abducted last month by armed men. Wine said they had been tortured and that military chief Muhoozi Kainerugaba – Museveni’s son – had personally participated in the assault.

Kainerugaba, who seems beyond the control of his father or anyone else, openly boasted on social media that he was holding Mutwe in his basement. Kainerugaba regularly posts threats to Wine and his officials. This blatant aggression is particularly disturbing since it is widely believed Museveni is grooming him as a successor.
And Kenya is somewhat complicit, having allowed Ugandan agents to abduct Besigye in Nairobi last December. Opposition activists report a spate of such abductions across the region.
None of the eight East African Community member states is a full democracy, according to Freedom House. Its 2025 report ranked Kenya as Partly Free and the rest as Not Free. Tanzania was demoted from Partly Free last year. The average score for EAC members was 22.875 out of 100 – way below the Partly Free threshold of 36. And the overall score of all eight declined from 187 in 2024 to 183 in 2025.
While Kainerugaba seems more straightforward, Samia is rather enigmatic. As Nicodemus Minde, Institute for Security Studies researcher in Nairobi, recently wrote, after succeeding Magufuli following his death in 2021, Samia seemed set to reverse his legacy. She “proudly championed the ‘Four Rs’ of reconciliation, resilience, reform and rebuilding.”

She ended Magufuli’s ban on political rallies, repealed his repressive media laws and released then Chadema leader Freeman Mbowe from prison. Mbowe had spent eight months in jail on terrorism charges.
But last year the wheels started coming off her reform initiative. Chadema official Ally Kibao was abducted and murdered in September, and another, Aisha Machano, was brutally attacked in October. In August, hundreds of Chadema officials and supporters, including Mbowe and Lissu, were detained ahead of a planned rally.

It appeared the crackdown was linked to the November 2024 local elections. Chadema raised concerns that they would not be free and fair, mainly because the management of the polls remained firmly in the hands of government officials and not an independent electoral commission.
Proposals to have election results challenged in court have been ignored by the ruling party, Chama Cha Mapinduzi (CCM). So the election system remained “completely captured by the ruling party”, as Minde told ISS Today. CCM won the local polls by a landslide after most opposition candidates had been banned.
And now her government has cracked down again in the lead-up to the October national elections by charging Lissu with the exaggerated offence of treason because Chadema threatened to boycott these elections too, failing electoral reforms.

This week, the courts ordered the state to bring Lissu to court for his next appearance on Monday, 19 May. He has been on a hunger strike in protest against being forced to appear in court only virtually. He is insisting on habeas corpus to protect himself against possible harm in jail.
It seems likely that the CCM is subjecting Lissu to legal harassment so that he and his party will be effectively ruled out of the October elections, leaving the field open to the CCM.
What is unclear about Samia, though, is why she has reversed her reform course. Until quite recently, the prevailing narrative was that she was failing to face down opposition to her reforms from Magufuli hardliners, who remained strong in the CCM and feared a Chadema win in the October elections.

But Minde told ISS Today that having removed several Magufuli loyalists early on, “she’s now turned to most Magufuli loyalists to beef up her government ahead of the elections”. She has also “consolidated her power by eliminating any potential competition from within CCM and now with the treason case Lissu is facing”.
If this is true, it would suggest that Samia has at last become her own woman. Though not in the way many had hoped she would. DM
advertisement
 
You mean Katibu Mkuu wa chama hapatikani!
Tangazo limetolewa na Bavicha. Katibu mkuu hahusiki. Bavicha ni idara inayo jitegemea ndani ya chama. Hivyo hilo tamko linawahusu wao.

Katibu mkuu anaweza kujibu kwa wepesi tu kama hana taarifa juu ya hilo tamko.

Na pia ukija kwa viongozi wa Bavicha wanaweza pia kulikana hilo tamko kwa sababu halina uthibitisho wa wazi kama ni la kwao.
 
JESHI KUTUMIWA NA SERIKALI ?

Mtego mbaya wa serikali kujaribu kutumia jeshi la ulinzi wa taifa kisha likawageuka watawala wa chama dola kongwe kilichotaka kubaki madarakani kwa ubabe

TOKA MAKTABA :

Katika mahojiano exclusive Luteni Mwamba Luchembe anafunguka miaka mingi baadaye nini kilimsukuma kuvamia studio za Shirika la Habari la Zambia ZBC mwaka 1990 kutangaza mapinduzi ya kungoa serikali ya chama dola UNIP iliyokuwa inaongozwa na Rais Kenneth Kaunda baba wa taifa hilo.

27 May 2022
Luteni Mwamba Luchembe, Tuliitwa kusaidia polisi walioshindwa kuzima maandamano

View: https://m.youtube.com/watch?v=yY6JDPWaHuY
Former Zambian army officer Mwamba Luchembe reflects on the day he tried to overthrow Kenneth Kaunda in a military coup. (This interview was recorded while PF were in power and Kenneth Kaunda was still alive.)
Tulikuwa katika kambi yetu kilometa 500 kutoka mji mkuu wa taifa la Zambia, jiji la Lusaka.

1990 hali ya kisiasa na kiuchumi ilikuwa mbaya, wananchi walikuwa na manunguniko mengi ikiwemo ugumu wa maisha, ughali wa bidhaa muhimu kama unga wa sembe, ukandamizaji wa kisiasa uliokuwa unafanywa na chama dola kongwe kimoja UNIP

Maandamano yakatokea jeshi la Polisi likatumwa kudhibiti mandamano hayo lakini wakazidiwa na nguvu ya umma uliojitokeza .

Rais Kaunda akatoa amri jeshi la ulinzi la Zambia watoke kambini kuongeza nguvu kudhibiti maandamano.

Hivyo mimi nilikuwa katika Battalion 5 Kaoma, nasi tukapewa amri tuende Lusaka kuongeza nguvu kudhibiti maandamano.

Wakati tukiwa mesi tunakula chakula cha jeshi ambacho hatulipii, mawazo yetu yakaguswa na madhila ya wananchi wasiokuwa na uwezo wa kula ambao walijitokeza kwa wingi kuandamana huku sisi tukila chakula kwa uhakika kupitia kodi zao.

Hivyo tukaona nchi inaenda kubaya kutokana na kuwa na chama kimoja kongwe tawala kilichoishiwa mawazo ya kutanzua changamoto za raia.

Wazo letu likawa kuchukua nchi na kuiongoza kwa miezi sita huku tukijenga mazingira vyama angalau vitatu makini viundwe ili demokrasia iwepo nchini. Hatukutaka kuona vyama zaidi ya vitatu maana tunajua vyama vingine ni vya mfukoni ( briefcase) siyo vyama vya ukweli vya mawazo mbadala

Tukiamini demokrasia ya uwazi, uchaguzi huru, bunge makini vingeweza kuiondoa nchi ktk changamoto iliyokuwa nchi inapitia ...

Ndiyo maana niliongoza platoon iliyokuwa na wanajeshi 32 huku mimi ni kiwa ofisa wao hivyo jumla ya wanajeshi 33 tulivamia kituo cha taifa cha ZBC nami nikatoa tangazo la serikali kupinduliwa...

Tulikuwa tumekubaliana na kambi zingine za Kitwe, Mufulira n.k nao waingie ktk sehemu nyeti za utawala wa kiserikali ktk majimbo ili kukamilisha mapinduzi hayo...

Wananchi walijitokeza kwa wingi mtaani kufurahia tangazo la mapinduzi ya kijeshi. Hata hivyo wenzetu tuliokubaliana kuikamilisha kazi hivyo kote nchini walitugeuka.

Akatumwa askari mmoja mwandamizi atushawishi kuwa mapinduzi yetu hayakufanikiwa.

Nilikamatwa na kupelekwa kituo kikuu cha Central police nikafungiwa katika mahabusu upande wa wanawake, na wale mahabusu wote wanawake kwanza walihamishwa.

Wakaja wanajeshi wa idara ya utambuzi, maofisa wa usalama wa taifa na wa vyombo vingine kunihoji kwa muda wa wiki moja ktk selo hiyo ya wanawake.

Baada ya hapo walinipakiza ktk helicopter tukaelekea katika kambi nilitotokea iliyopo kilometa 500 kutoka Lusaka. Wakafanya upekuzi katika ofisi nikiyokuwa natumia kambini na katika nyumba niliyokuwa naishi kambini.

Wakanirejesha Lusaka hata hivyo usiku ulikuwa umeanza kuingia hivyo rubani wa helicopter akazima mawasiliano yote na kutua eneo mojawapo kwani rubani alitoa taarifa ya kuwa helicopter haina uwezo wa kusafiri usiku wa giza kufika Lusaka. Walizima mawasiliano ili kama kuna njama za wenzangu kuja kuniokoa zisifanikiwe.

Alfajiri na mapema tukamalizia safari yetu kwa usafiri wa barabara hii yote ikiwa ni njia ya medani, kwa waliopanga nami kufanya mapinduzi wasijue nilipo wala nini kimetokea kwangu mimi.

Mahojiano yakaendelea mjini Lusaka ktk nyumba maalum (safe house) kujaribu kupata habari zote za Mapinduzi na wahusika wote katika njama hii ya kupindua nchi.

Walitumia koleo / pliers kutoa meno yangu kavukavu bila ganzi, lakini situwasaliti wala kutaja wenzangu waliotayarisha jaribio la kuangusha serikali.

Baada ya kunisulubu hivyo, wakanirudisha kwa kificho kituo kikuu cha Polisi huku nikiwa na maumivu makali. Wakanipandisha ghorofani, watu wa Idara ya Usalama na wale wa Idara ya Utambuzi jeshini wakapanga mipango watawaambia nini raia hata polisi na wanajeshi watakaoniona.

Hivyo basi wakanivua nguo zote tukiwa ghorofani na kuzitupa kupitia dirishani. Kutoka juu ghorofani wakanitelemsha mzobemzobe mbiombio uchi wa mnyama nikiwa mtupu, kisha wale wote walikuwapo kituo kikuu cha Polisi wakanishangaa si polisi, raia na waandishi wa habari hata wapita njia wakabaki wanajiuliza kulikoni..

Watu wa Idara na Vyombo wakasema huyu ni kichaa aliyewehuka siku nyingi kabla ya mapinduzi, faili lipo jeshini na kwa vile alikunya sana Pombe na bangi ndiyo maana akatimka kwenda, kutangaza mapinduzi yale.

Baada ya miezi miwili nikastaafishwa jeshi kwa sababu za 'kiafya' yaani ugonjwa wa akili. Hata hivyo vyombo vya usalama vikamwambia rais pamoja na hii hadaa tuliyoitengeneza ukweli watu wanataka na wanaamini mabadiliko ya kuleta vyama vingi vya kisiasa. Hivyo ni bora rais aanzishe mchakato wa mabadiliko ya katiiba kuruhusu na kuafiki kwa moyo mkunjufu vyama vingi, demokrasia na uchaguzi huru kupitia tume huru ya uchaguzi.

Hivyo mwaka 1991 mchakato wa vyama vingi na katiba mpya vikapitishwa na bunge la Zambia kwa usimamizi wa karibu wa rais Kenneth Kaunda.

Mapinduzi yale yaliyoshindwa hata hivyo yalileta jambo chanya kuwa watu wanataka mfumo wa vyama vingi, yalionesha kuwa ukiritimba wa chama dola kongwe cha UNIP na rais nguvu yao ya ushawishi wa chama kimoja umepungua na wajitayarishe kuwa chama cha upinzani.

Kwa ujasiri wa Luteni Mwamba Luchembe kuongoza jaribio la mapinduzi , sasa anahesabika kama baba wa mabadiliko / reforms za kupatikana katiba mpya na demokrasia ya vyama vingi nchini Zambia.

Katika mitaala vya masomo ya uraia / civic Luteni Mwamba Luchembe anatokea ktk vitabu mashuleni kuwa alikuwa chachu ya mabadiliko yaliyoleta vyama vingi kuruhusiwa nchini Zambia.

Mbali ya watoto wa shule kusomeshwa mchango wake Luteni Mwamba Luchembe kuleta mabadiliko, sasa katika Makumbusho ya Taifa mjini Lusaka na makumbusho ya majimbo mbalimbali nchini Zambia picha yake ipo miongoni mwa watu waliotoa mchango kwa taifa la Zambia hadi kufikia lililopo sasa.

Rais Frederick Chiluba aliposhinda uchaguzi wa vyama vingi kupitia chama cha upinzani alimrejesha Luteni Mwamba Luchembe kazini na kumpa cheo mserereko hadi kuwa Captain kisha kumstaafisha kwa kumpatia pensheni stahiki ya cheo alichofikia.

Source :
 
Makundi mbalimbali ikiwemo ya wasomi

23 October 2025
BBC Swahili

Wasomi Chuo Kikuu Tanzania wataka utekaji kuchunguzwa​

1761653827555.jpeg

Chanzo cha picha,UDASA

Jumuiya ya wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) nchini Tanzania imetoa tamko la kusikitishwa kwakwe na matukio ya watu kupotea au kudaiwa kutekwa, kikisema hali hiyo inatishia uhuru wa kujieleza na misingi ya haki za binadamu nchini.

Katika taarifa yake, UDASA imesema matukio hayo yamezua hofu miongoni mwa wananchi na kuathiri taswira ya taifa katika jamii ya kimataifa.

Jumuiya hiyo imeitaka serikali na vyombo vya usalama kuchunguza kwa uwazi na kwa haraka visa vyote vya aina hiyo ili kutoa majibu ya kweli kwa umma.

Tamko hilo limerejea ripoti ya shirika la haki za binadamu (LHRC) kuhusu tishio la kile kinachoidwa "Watu wasiojulijkana" wakilitupia lawama Jehsi la Polisi kwa ama kushindwa kudhibiti au kutolea ufafanuzi.

Hata hiyo mara kadhaa Jeshi la Polisi limeeleza kuendelea kufuatilia wanaodaiwa kutekwa, na lilishawahi kukanusha kutohusika na wapo wengine waliodaiwa kutekwa kubainika kujiteka

Kuhusu idadi ya waliotekwa ama kupoktea, tamko la UDASA limerejea tena ripoti ya LHRC waliobainisha kati yam waka 2021 mpaka 2024 watu 87 wametekwa na kupotezwa.

Mbunge wa zamani wa CCM na Askofu Josephat Gwajima aliwahi pia kudai kwamba watu zaidi ya 83 waliripotiwa kutekwa au kupotea katika kipindi hicho.

UDASA pia imewataka viongozi wa serikali, vyama vya siasa na wadau wengine kulinda haki ya kujieleza bila woga wa vitisho au madhara, ikisisitiza kuwa uhuru huo ni nguzo muhimu katika maendeleo ya demokrasia.

Katika tamko hilo, Jumuiya hiyo imeeleza umuhimu wa kujenga mazingira salama kwa wahadhiri, wanafunzi na wanaharakati kushiriki mijadala ya kitaaluma na kijamii bila kuonewa au kudhibitiwa.
UDASA imesema bila uhuru huo, misingi ya utawala bora inaweza kudhoofika.

Aidha, chama hicho kimehimiza serikali kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha vyombo vya dola vinawajibika ipasavyo na kwamba kila raia anatendewa haki bila upendeleo.

Hata hivyo, Serikali ya Tanzania mara kadhaa imekanusha kuhusika kwa namna yoyote na vitendo vya utekaji au kupotea kwa watu.

Vilevile, Jeshi la Polisi limesema kumekuwa na matukio ambapo baadhi ya watu waliodai kutekwa baadaye walithibitishwa kujiteka wenyewe na kuongeza kuwa linaendelea kufuatilia kila taarifa inayotolewa
Source : BBC Swahili
 
JESHI KUTUMIWA NA SERIKALI ?

Mtego mbaya wa serikali kujaribu kutumia jeshi la ulinzi wa taifa kisha likawageuka watawala wa chama dola kongwe kilichotaka kubaki madarakani kwa ubabe

TOKA MAKTABA :

Katika mahojiano exclusive Luteni Mwamba Luchembe

DAWATI LA HISTORIA:
Safari hii kutoshindwa ?

Msicheze na wanajeshi wasomi wenye uelewa wa hali ya kiuchumi na kisiasa nchini, mkawabeza hawawezi kuwa upande wa wananchi

TOKA MAKTABA 1986
Rais Ali Hassan Mwinyi awaachia huru waliokuwa kizuizini kwa tuhuma za uhaini :

President Ali Hassan Mwinyi frees 14 from detention ,

From NATION Correspondent
in Dar es Salaam, Tanzania. Sunday

Fourteen people , detained on suspicion of being implicatedin the attempted plot to
overthrow the government of the now-retired Tanzanian President Julius Nyerere three years ago, were freed yesterday.

Their freedom, announced today by the government-owned .Sunday News, followed President Ali Hassan Mwinyi's decision to resciud their detention order. According to the list, seven were armymen and five civilians. The names of the remaining two people were not given.

The freed armymen were identified as Lieutenant-Colonel M a r t i n P e t e r Msami.
Lieutenant - Colonel Martin Ngalomba, Lieutenant-Colonel Protas Bachibila Muchwampika
.

Captain Harry Hanspoppe, Captain Manyama Athumani oazukainwe, Lieutenant John Mhelwa Mzimba and Sergeant Michael Mwigulu.

The five civilians were Messrs Robert Bayona, Thadeo Boniface, Mtakyama Bugingo, Ramadhani Shabani Otto and Sulemani Nassor Seif. The remaining two names were not released.

The 14 were among scores of people detained without trial in early 1983 on suspicion that they were connected with the coup plot which the government claimed was planned to take place between June, 1982, and Jan 1983

Of the convicted for planning the coup attempt, One of them was the alleged ring leader, Mr Pius Mtakubwa Lugangira who, together with Hatty McGhee, escaped from the maximum security remand prison in June, 1984, and fled to Kenya.

Hatibu Gandhi alias Captain Hatty Macghee; others were Captain Christopher Kadego alias Chriss; Lieutenant Eugene Maganga; Captain Metusela Suleiman Kamando; Captain Vitalis Gabriel Mpunda; Captain Rodrick Roushan Roberts; Captain Dietrich Oswald Mbogoro; Captain Zacharia Hanspoppe and P3794 Lieutenant Badru Rwechungura Kajaja. Mr McGhee was subsequently returned to Tanzania in exchange for two Kenya Air Force men whowere in Tanzania as political refugees.

Last year, a well known local industrialist, Jayantlal Rajani, was released after being detained in connection with the 1983 plot. Against Mr Nyerere, AFP writes. During a treason trial last December for some of those implicated in the plot, nine People were jailed for life and six others were acquitted by the Tanzanian High Court.

During a treason trial last December for some of those implicated in the plot, nine
People were jailed for life and six others were acquitted by the Tanzanian High Court.

At the time when the country was facing this economic crisis in 1982, the second, third,
fourth, fifth, sixth, seventh, eighth and ninth appellants held military commissions in the
Tanzania Peoples' Defence Forces, that is TPDF.

At the time material to this case in 1982, the second appellant was stationed in a tank unit in Dar es Salaam, whereas the third appellant was pursuing higher studies at Dar es Salaam University. He was in his final year reading for a BA degree in Political Science.

The fourth appellant was a pilot in the TPDF Airwing at Ukonga in Dar es Salaam, and so were the fifth and sixth appellants. As far as the seventh appellant is concerned, he was in the Air Defence Regiment and was in charge of Battery No 2 in Dar esSalaam; similarly, the eighth appellant was in the same regiment as Chief Engineer.

As for the ninth appellant, he happened to be stationed in a military unit at Nachingwea, but was in Dar es Salaam in December 1982. All appellants are Tanzanians by nationality.
Thereafter, during the same month of December 1982, the first appellant and the fourth
appellant visited Zanzibar on several occasions. At about this time the first appellant received a number of guests at house No 80B Drive-In.

He, and a number of friends, also used to visit a house at Kinondoni Mkwajuni, that is, house No 65--32P along Livingstone Street in Dar es Salaam, where he and his friends used to have lunch and indulge in heavy drinking. That house belonged to PW38, that is, Zahara Abdulla Sengumba, who rented it from the National Housing Corporation. She was in some way related to the first appellant.

She had agreed to allow the first appellant and his friends to have their lunch there as and when they wished. For most of the time, material to this case, the first appellant travelled in the city by taxi which he hired from PW1, that is, Abdallah Mhando. Towards the end of December 1982, the first appellant hired another taxi driven by PW45, that is, Nassor Sultan Seif, apparently because PW1 had travelled outside the country to Harare in Zimbabwe.

During this time, Pius Lugangira alias Father Tom was not sitting idly by at Motel Agip, but made a number of contacts in the city, including a visit to house No 1127 Chole Road at
Source: IFRA Press Archive
 
Msicheze na wanajeshi wasomi wenye uelewa wa hali ya kiuchumi na kisiasa nchini, mkawabeza hawawezi kuwa upande wa wananchi

TOKA MAKTABA :

Afisa wa JWTZ - Coup / mapinduzi it was planned by high senior officials in military (ulipangwa na baadhi ya maofisa za ngazi za juu),

HISTORIA YA Kamandi ya anga katika JWTZ

Mazingira na visababishi vya fukuto ndani ya jeshi kutaka kuleta mabadiliko ni kama ilivyokuwa mwaka 1983.

Hii 2025 kuna mazingira na visababishi kutaka mabadiliko turejee historia :

TOKA MAKTABA: KESI YA UHAINI

Kapteni Mstaafu Rodrick Roberts : Sitasahau nilipohukumiwa maisha jela

1761654571744.jpeg

Photo : Kapteni mstaafu Rodrick Roberts

Rubani wa ndege aliyeonja kifo kwa ajali ya ndege na kifungo cha maisha, Rubani huyu ni Kapteni Mstaafu Rodrick Roberts (69). Picha na Maktaba

Na Lauden Mwambona, Mwananchi

Posted Alhamisi, Novemba 28 2013 saa 13:0 PM

KWA UFUPI

Rubani huyu ni Kapteni Mstaafu Rodrick Roberts (69) mrefu, mweupe ambaye si mnene na wala si mwembamba akiwa na nywele laini zinazoashiria wazi kwamba mmoja wa wazazi wake alikuwa mtu wa nje ya Bara la Afrika.

Nje kidogo ya Mji wa Songea, kipo kijiji kinachoitwa Mateka. Bila shaka jina la kijiji hicho lina historia yake, lakini kubwa ni kwamba ndiko anakoishi rubani wa ndege aliyeonja kifo kwa ajali ya ndege na kifungo cha maisha.

Ni mara ya kwanza kumwona alipokuwa akifungua mlango, lakini anatoka na tabasamu baada ya kuona wageni nje wakiwa na mkewe aitwaye May Daud Roberts aliyeniongoza kufika hapo mara ya pili baada ya kumwomba aachie kidogo kazi yake mjini Songea na kunipeleka nyumbani kwake nikaonane na mumewe.

Kwa kweli ilikuwa mara ya pili kwangu kufika pale saa 11.00 jioni baada ya mara ya kwanza ya saa 4.00 asubuhi ya siku hiyo kuwakosa nilipopelekwa na msamaria kwa pikipiki mbili.

Roberts anatukaribisha ndani huku akisema alipata taarifa za kuwapo kwa wageni wanaomtafuta tangu asubuhi. Tunaingia ndani na kufika kwenye sebule ikiwa na makochi ya kawaida na hatimaye Robert, mkewe na mimi tunaketi.

Akiwa anamwangalia mkewe aliyeketi upande wa kushoto kwake, Rubani Robert ananikaribisha.

Anasimulia kidogo historia yake.

Rubani: Nilizaliwa Mtaa wa Mtini mjini Songea mwaka 1944 na baba yangu alikuwa mhandisi wa kujenga barabara na nyumba za Serikali na alishiriki kujenga Uwanja wa Ndege za Jeshi Dar es Salaam.

Nilisoma chekechea mjini Songea, Shule ya Msingi Songea na Peramiho baadaye Sekondari ya Wavulana Songea kabla ya kujiunga St Michael ya Iringa ambayo baadaye ikawa Mkwawa Sekondari na sasa ni chuo.

Baada ya kumaliza Mkwawa nilingia Chuo Kikuu cha Dar e Salaam kuchukua Sayansi ya Jamii, lakini nilisoma mwaka mmoja nikaacha.

Mwandishi:Ni sababu zipi zilikuachisha chuo?

Rubani: Sikumbuki.

Mwandishi:Baada ya kuacha chuo kikuu ulikuwa unafanya nini?

Rubani:Nilikuwa nyumbani nikijishughulisha na uandishi na pia kuchora jambo ambalo lilinifanya niitwe kwenye mafunzo ya siku sita kuhusu uandishi Chuo Kikuu cha Makerere ambako nikawa mmoja wa watu wa kwanza tulioandika jarida la kwanza la chuo hicho. Niliporudi nchini nilipata kazi kwenye Shirika la British America Tobacco Company (BAT) ambako nilifanya kazi karibu mwaka mmoja na baadaye niliacha.

Mwandishi: Ni kwa nini uliacha?

Rubani: Sikumbuki.

Mwandishi: Baada ya hapo ulikwenda wapi?

Rubani: Nakumbuka mwaka 1970 nikiwa nyumbani Songea, alikuja Jenerali Luis ambaye alikuwa mwenyeji wa Mkoa wa Rukwa na kuniambia kwamba walikuwa wakihitaji vijana waliosoma ili wawe marubani wa jeshi. Hoja hiyo niliipenda na nikakubali, hivyo aliniandikisha na kunitaka niende kwenye mafunzo ya kijeshi (TMA) Dar es Salaam kwa ajili ya uofisa.

Nilimaza mafunzo kwenye kikosi cha anga Dar es Salaam na baada ya hapo pamoja na wenzangu karibu 14 tuliendelea na mafunzo ya kuendesha ndege kwa chini (Ground School) kwa mwaka mmoja na baada ya hapo tulianza mafunzo ya awali ya kurusha ndege.

Mwandishi: Tangu mafunzo hadi kuanza kazi, je uliwahi kupata ajali?

Rubani: Ndiyo, nilipata ajali mwaka 1978 nikiwasafrisha askari 26 kutoka Dar es Salaam kwenda Beira Nover Freesco Msumbiji ingawa sikujua askari wale walikuwa wakienda nchi gani. Sijui walikuwa wa Zimbabwe au Angola sijui. Injini ya kushoto ilizimika ghafla na baadaye injini ya kulia ikazima hivyo nililazimika kutua kwenye shamba dogo porini na askari wote tulitoka salama isipokuwa mmoja alipata michubuko kutokana na bawa la ndege kugonga kichuguu. Kipande hiki (anainuka kuchukua na kukionyesha kichuma cha bawa la ndege) nilipewa kama kumbukumbu.

Baada ya ajali hiyo, mwishoni mwa mwaka 1978 nilikwenda Uingereza kusoma utaalamu wa ndege aina ya Hauca Cidre748.

Mwandishi:Je, vita dhidi ya Idd Amin Dada ulishiriki?

Ruban: Tangu mwanzo hadi mwisho mimi nilikuwa mmoja wa walioshiriki mchana na usiku hadi vilipoisha.

Mwandishi: Unakumbuka nini kwenye vita hivyo?

Rubani: Nakumbuka siku moja nilikuwa off (napumzika kidogo), nikaamua kunywa bia. Na ratiba ilikuwa ikionyesha nitakuwa kazini kesho yake. Lakini ghafla kiongozi wangu alinijia na kunitaka nirushe ndege. Mimi nilikataa katakata kwa sababu nilikuwa nimekunywa pombe. Niliwahi kumwendesha Nyerere.

Mwandishi: Je, ni kweli ulimwendesha Nyerere? Na kazi ya jeshi iliendelea hadi lini?

Rubani: Ni kweli baada ya vita vya Amini niliendelea kurusha ndege za jeshi na pia kufanya kazi ya kuendesha ndege ya Rais Nyerere. Mwaka 1983 Januari 7, nilikamatwa na wanajeshi wengine wengi kwa tuhuma za uhaini. Tulidaiwa tulitaka kumuua Rais Julius Nyerere. Nilikamatwa nikiwa eneo la Airwing Dar es Salaam. Tulikaa kizuizini hadi Julai mwaka 1983 Mahakama ilipotangaza kwamba hatukuwa na kesi ya kujibu. Lakini cha kushangaza mwaka 1984 watu tisa kati ya wale walioshikiliwa mara ya kwanza, tulikamatwa tena na kufikishwa mahakamani kwa kosa la kutaka kumuua Rais Nyerere.

Mwandishi: Je, kiukweli mpango huo ulikuwapo?

Rubani. Aaa...ulikuwapo haukuwapo, it was planned by high official (ulipangwa na baadhi ya maofisa za ngazi za juu), unajua baada ya vita vya Uganda nchi ilikuwa imefilisika. Haikuwa na unga, sabuni, sukari na hata nguo, karibu kila kitu hakikuwapo. Hivyo Watanzania wengi walikuwa wamechanganyikiwa na hali ile.

Mwandishi: Kwa maana hiyo mpango huo ungefanikiwa je bidhaa hizo zingeonekana?

Rubani: Rais wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi aliiokoa nchi baada ya kuruhusu kila kitu kiingie nchini hata bila ya kutoza kodi. Mwinyi aliituliza nchi. Pia Serikali iligundua kwamba waliokamatwa walitaka mfumo wa vyama vingi vya siasa ili kuishtua CCM ambayo ilikuwa imejisahau na hivyo kuanzishwa kwa vyama vingi jambo ambalo lilitekelezwa baadaye.

Mwandishi: Matatizo yaliyokuwapo enzi hizo na sasa unatofautishaje?

Rubani:Kama nilivyosema, enzi za Nyerere nchi ilifilisika, Mzee Mwinyi aliiokoa nchi, Rais Mkapa akaweka msingi wa kukusanya kodi, hivi sasa sijui kinachoendelea kwa kuwa sisomi sana magazeti kwani sina fedha za kununua.

Mwandishi: Mama Robert ulifanikishaje safari yako kurudi Songea. ?

Mkewe: Mimi niliposikia anafungwa maisha nilipigwa na butwaa na simanzi kubwa. Hivyo sikuwa na nguvu, lakini cha ajabu, baada ya saa 12 kupita, mkuu wa kikosi aliniita na kunitaka niondoke kwenye nyumba ndani ya saa 24. Kumbuka wakati ule mimi nilikuwa nafundisha Chuo Cha Utumishi Magogoni Dar es Salaam, hivyo nilihitaji kupata nafasi ya kuomba uhamisho na kufunga mizigo. Lakini mambo ya jeshi ni amri na nilitolewa mizigo ili nisafirishwe kwa ndege ya Jeshi ambayo nayo iliharibika. Lakini kwa bahati ilipona kabla ya saa 12 kumalizika, nikatakiwa nitaje niende wapi.

Suala hilo lilinifanya nitaje Songea kwa vile nilikuwa na watoto sita na Robert na watoto walikuwa wakiwafahamu ndugu wa Songea.

Hivyo mizigo na watoto walisafiri kwa ndege mimi nikabaki Dar es Salaam nikiomba uhamisho wa kwenda kufundisha Shule ya Sekondari ya Songea Wasichana.

Kwa kweli ilikuwa fedheha kubwa. Serikali inampenda mfanyakazi mzuri, lakini huyohuyo akiteleza kidogo ni takataka. Ipo haja ya kubadilisha msimamo huo.

Mwandishi: Kwako rubani, je unalo neno kwa Serikali?

Rubani:Aaaa , tangu nifike huku sijapata na wala sina senti ya Serikali. Wapo wenzangu waliosema eti Serikali inafikiria kutupatia chochote, lakini mpaka sasa sijasikia lolote.

Mwandishi: Kwa sasa afya yako ikoje na unajishughulisha na nini?

Rubani. Afya yangu nashukuru Mungu naendelea vyema, mambo mengine Mungu anasaidia.

Kapteni Mstaafu Rodrick Robert anasema ni suala la msingi kwa watu kuwa na moyo wa kulitumikia taifa kwani ndio msingi wa kuhakikisha tunakuwa na taifa lenye maendeleo makubwa.

Jambo la msingi ambalo napenda kusisitiza ni moja tu kwamba kwa kila kitu ambacho mtu anafanya, anapaswa kuweka mbele maslahi ya taifa kwanza, anasisitiza akiwaasa Watanzania kujenga tabia ya kuheshimu mila na tamaduni za taifa, pia kujali maadili ya uongozi.

Aidha anawashauri vijana kufanya kazi kwa bidii ili kuharakisha maendeleo nchini, kwani vijana ndio tegemeo kubwa kwa taifa na ulimwengu kwa ujumla kwa vile wana nguvu za kutosha.

Chanzo: Gazeti la Mwananchi
 
TOKA MAKTABA :

Afisa wa JWTZ - Coup / mapinduzi it was planned by high official (ulipangwa na baadhi ya maofisa za ngazi za juu),

HISTORIA YA Kamandi ya anga katika JWTZ

Mazingira na visababishi vya fukuto ndani ya jeshi kutaka kuleta mabadiliko ni kama ilivyokuwa mwaka 1983.

Hii 2025 kuna mazingira na visababishi kutaka mabadiliko turejee historia :

TOKA MAKTABA: KESI YA UHAINI

Kapteni Mstaafu Rodrick Roberts : Sitasahau nilipohukumiwa maisha jela

View attachment 3495234

Kwani ulisikia mahali Mandela aki regret? Ndiyo tambua kwanini wengine kama kina Tutu, ni Nobel laureates!
 
Tusiendeshwe na mihemuko.

“If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor. If an elephant has its foot on the tail of a mouse and you say that you are neutral, the mouse will not appreciate your neutrality.” -- Desmond Tutu.
 
Tusiendeshwe na mihemuko.
Vipi kaka interest zako saivi ZIKO salama kwenye biashara zako? Naona taratibu unaanza kurejea kule ulikokuwa kabla ya magufuli kukalia KITI. Ambao tayari wamesha jipambanua ni pamoja na stuxnet
 
Back
Top Bottom