Tamko la Balaza la Maaskofu wa Kipentekosite CPCT !!!!

Tamko la Balaza la Maaskofu wa Kipentekosite CPCT !!!!

Rais kashasema serikari haitaanzisha mahakama ya kazi wakitaka waanzishe wenyewe kwa gharama zao.
 
Mh.Rais kesha pasua jipu.Serikali haitaanzisha wala kuigharamikia hiyo mahakama
Taarifa ya habari ITV saa mbili usiku leo.

sio wa kumuanini yule kesho anaweza akageuka hadi hili suala lifutwe ndo tutajua kuwa mkweli
 
Kwa heshima nikuambie SIYO KWELI kuna baadhi ya waislamu wanaikataa mahakama ya kadhi au sheria za kiislamu.Kitabu kitakatifu cha waislamu kimetamka sheria zakiislam na kila anayepinga yaliyopo kwenye QURUAN basi automatically amatoka ktk uislamu.
wewe ni muislam lakini haujui uislam. utaendeshaje uislam kwenye nchi ambayo sio ya kiislam kana kwamba nchi ni ya kiislam? mirathi na ndoa ni sharia ndani ya kuran, lakini si hivyo tu, kuna sharia nyingine nyingi sana ndani ya kuran na muislam halisi anatakiwa kutimiza zote sio kusalenda zingine kwa serikali. inakuwaje we uje uchague baadhi ya sheria ndani ya kuran ili zifanywe sawasawa na msaafu halafu nyingine unaiachia serikali ya makafiri? ina maana umeona serikali itafanya bora kuliko vile ambavyo ingefanya kuran?...naongea hivi ili uone kuwa ndani ya nchi isiyo ya kiislam hauwezi kuleta mambo ya kuran. hii ni secular state dini peleka huko msikitini, ukitak akuileta hapa ina maana umechagua baadhi tu ya vitu ukaacha vingine, haujautumikia uislam ipasavyo hivyo na wewe sio muislam safi. vilevile inawezekanaje kuwe na kadhi anayehukumu ndoa na mirathi tu?pia wewe ukisema hao wanaopinga mahakama ya kadhi sio waislam safi wao pia wanawaona nyie sio waislam safi ndio maana wanaungana na wakristo kupinga. ninyi watoto wa bakwata ndio mnawaona wenzenu sio waislam sahihi na wao wanawaona ninyi sio waislam sahihi, dawa yake pelekeni mambo ya dini misikitini msilete hapa serikalini.

after all, waislam wenye nguvu ni hao wanaoipinga kadhi, kwasababu wanajua mkipewa ukadhi ninyi hata mwezi wao hawataruhusiwa kuutangaza, na kuna mambo mengi mnayotofautiana wao watabinywa. kwa sababu hiyo kumbe hata ninyi waislam kwa waislam hampatani, na kundi dogo la bakwata likitaka kuwa juu ya waislam wengine wote na wakristo na wapagani sio sahihi, cha muhimu nchi hii iendelee kuwa secular.

waislam wanaopinga mahakama hii kwanza ni matajiri na wana akili, ninyi wa bakwata ni masikini ndio maana mnataka iyo iwe ajira kwenu kwasababu hamna hela. wenzenu wameanzisha radio iman, tv iman, redio kibao na magazeti, ninyi mnategemea kodi za watz zije ziwaajiri mpate mishahara. fungukeni, acheni udezo ama la endesheni wenyewe hizo mahakama kwa hela yenu hamjakatazwa mkishindwa basi ninyi ni watu dhaifu sana ambao hamuwezi kusimama peke yenu bila kodi za bia, kitimoto na makafiri.
 
Wanasemaje hao nimeshindwa kusoma taarifa hiyo.vipi wao ndo waliwatuma wale wenzao kwa fisadi lowasa? Wanazungumziaje suala la mwenzao kupata presha baada ya kuhojiwa na vyombo vya dola?
 
usiseme waislam wanataka mahakama ya kadhi. sema "waislam wanachama wa BAKWATA" kwasababu jumuiya za kiislam kama 11 hivi ambazo haziisapoti bakwata zinaipinga hii mahakama kuliko hata wakristo wanavyoipinga. hivyo waislam na wakristo wanaipinga mahakama hii, isipokuwa bakwata na waislam wanaowasapoti bakwata ndio wanaitaka. na hao wa bakwata wanaoitaka ni asilimia ndogo sana ya waislam nchini.

he he he he he he he he he he he !
 
Halisomeki.
attachment.php
 
Serikali haitohusika na mahakama ya Kadhi,uanzishwaji na hata uendeshwaji. Waislam wenzangu tumeliwa. Kura ya hapana kwenye katiba pendekezwa ndiyo suluhisho
 
sio wa kumuanini yule kesho anaweza akageuka hadi hili suala lifutwe ndo tutajua kuwa mkweli

Ni kweli sio Wa kumwamin, so huyu ndo alisema kigoma kuwa Dubai,mwanza kupata meli mpya ya kisasa? Akashindilia kwa kuuwambia waalimu akili ya kuambiwa changanya na yako.
 
Madhara ya mahakq ya kadhi nikuendeshwa kidini nahili litatupa shida wanamchi kwani hikumu zao nikinyime na hakiza binadam mf mwizi akiiba kwakutumia mkono wa kulia basi anatakiwa kukatwa mkono,mwana mke akizini anatakiwa kipigwa mawe mpaka kufaa,watajuta kuililia hiyo mahakama
 
Hiyo haifai kwani itaathiri maisha ya wengi,sudan,ethiopia na somalia wanaitumia ni mbaya sn kwa ustawi wa jamii ya kitanzania,wajane wataonewa sn,watoto wa nje yandoa,wezi,wazinzi,walevi, na n.k
 
2015 burudani sana...ngoja nami nitoe tamko kuwa juanzia June napokea makundi ya kuja kunishawishi nigombee
 
Serikali haitohusika na mahakama ya Kadhi,uanzishwaji na hata uendeshwaji. Waislam wenzangu tumeliwa. Kura ya hapana kwenye katiba pendekezwa ndiyo suluhisho

Acha upotoshaji serikali ipo sahiihi haipaswi kuhusika kwa namna yoyote ile kwa maana ya uanzishwaji na uendeshwaji hii ni mahakama ya waislamu itaendeshwa na waislamu na itawahusu waislamu so acha upotoshaji.
 
Madhara ya mahakq ya kadhi nikuendeshwa kidini nahili litatupa shida wanamchi kwani hikumu zao nikinyime na hakiza binadam mf mwizi akiiba kwakutumia mkono wa kulia basi anatakiwa kukatwa mkono,mwana mke akizini anatakiwa kipigwa mawe mpaka kufaa,watajuta kuililia hiyo mahakama

Hayo hawayawezi, waislam wa bongo wanapenda maisha. Lakini kikubwa kinachotafutwa ni kukandamiza waislam kwamba once a Muslim, you remain a Muslim for life. Kwa hiyo ukislim ukawa mkristo utawindwa kukatwa kichwa ili waislam waongezeke. Waislam wengi wanakua wakristo kila siku, Hilo ndo kuanzia, alafu baadae kukatwa Viwanja wezi
 
Mh.Rais kesha pasua jipu.Serikali haitaanzisha wala kuigharamikia hiyo mahakama
Taarifa ya habari ITV saa mbili usiku leo.
Kikwete haamini kwa Kuwa tamko alilotoa kwenye Msikiti wa Gadafi ndilo hilo katoa tena sasa tangia atoe tamko kwenye Msikiti wa Gadafi bado mchakato unaendelea
 
Acha upotoshaji serikali ipo sahiihi haipaswi kuhusika kwa namna yoyote ile kwa maana ya uanzishwaji na uendeshwaji hii ni mahakama ya waislamu itaendeshwa na waislamu na itawahusu waislamu so acha upotoshaji.
Nashangaa waislamu wanang'ang'ania kuanzisha taasisi, si bora wangeanzisha mashule, mahospitali, saccos wapate hela, kuliko kutaka kunyongana na mahakama ya kadhi, wakitaka kufadhiliwa na serikali! Ajabu sana, wengi wao ni maskini na bila elimu lakini wanalilia moto, ni hapana tu ili kuwasaidia
 
Mh.Rais kesha pasua jipu.Serikali haitaanzisha wala kuigharamikia hiyo mahakama
Taarifa ya habari ITV saa mbili usiku leo.

Huyu aliyemshauri DHAIFU kutoa tamko hilo juu ya mahakama ya Kadhi ndio alitakiwa awe anamshauri toka alivyoingia madarakani badala ya sampuli ya wakina JAIRO!!! Waislam siku zote wanatoa talaka tatu wanapo achana sasa wanapofanya hivyo talaka hizo zinatolewa na kuidhinishwa na mahakama ya kadhi?
 
Hivi, ni lazima Rais aendeshe nchi kibabe? kwa nini asiwe mwepesi tu wa kusikiliza na ku ignore mambo mengine? sasa kashindwa kutuua kwa mapigano ya dini kasema polisi watulazimishe kufanya anachosema yeye. Solution ni kutosubiri uchaguzi kwa kuwa wananjua wanashindwa watalazimisha migogoro washikilie maana hawajamaliza kuiba. Naita moto wa roho mtakatifu umchome yeye na mashetani wote wanaoitakia nchi yetu mabaya. Hawa wanafikiri watapona angalia leo hii Rais Wade, hata huyo Kenyata hajachomoka time will come hiyo na nasiji haitakati labda kwa damu ya yesu, huyu bwana amelowa damu za watu, na mateso yao hana pa kuwabwana, he is future is in the hell!
 
Back
Top Bottom