Tamko la Balaza la Maaskofu wa Kipentekosite CPCT !!!!

Tamko la Balaza la Maaskofu wa Kipentekosite CPCT !!!!

Nawaona wachungaji wengi wa ufufuo na uzima kutoka kawe Mp frank, na wengine
 
Acheni zenu ushamba tu, kama mnajua wizi haufai mbona MNakAtaa mahakama ya kadhi? Acha ifundishe waovu
 
Hapo kwenye RED umekosea Mkuu.
Waislamu wanaitaka na wana haki hiyo.

Mimi nadhani wakristo wanachokataa ni mahakama hiyo kuanzishwa na serikali na kugharamiwa na serikali.

Hapo ndio kwenye kutoolewana kwa maoni yangu.

Hata hii wanayosema kutambuliwa na serkali ni very technical. Kwa mfano ikiwa serkali inatambua mahakama hii yanayoamriwa katika mahakama hii utekelezaji wake ni legally binding. Je sasa ikiwa binti wa kikristo kaolewa na mwislamu kama mke wa pili au wa kwanza. kisha mume amekuwa na kwa vile mke alikubaliana na mume kila mtu aendelee na dini yake; mahakama ya kadhi haimpi haki yoyote katika mirathi maana haimtambui. hata kwa yeye na mume wake walikubaliana na waliishi vizuri. Indirectly ili kupata haki na mume mwislamu binti yeyote wa kikristo akiolewa na mwislamu LAZIMA abadili dini na si hiari. Kwa hiyo kusema wakristo mahakama hii haiwahusu si kweli.
 
Back
Top Bottom