Tamko kwa wanawake wote.!

Dah.... Nilikiona kitu matata sana kule fb... Siku ya mubashara ikanibidi tu nifake call ili nisepe.... Ilikuwa limao badala ya passion[emoji13] [emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Avatar ni tofauti na wahusika, ukiliweka hili akilini hutapata tabu
 
Hahahhahaha nimecheka hadi nimezimia, kumbe dada zako ndo tabia yao wamejikoboa utafikiri nguruwe pori, wewe mtoto mdogo tulia watu wazima tunaongea mara ya kwanza na mwisho kuniquote siku ubwabwa wa shingo ukikuisha ndo urudi hapa, haya chukua mashuka yako ujifunike hapo barazani kwa shemeji yako.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] raha sana"nguruwe pori"
 
Aya kula kulala nimekuelewa ila achana na carolite,..ngozi kukoma sio mwishowe wa Maisha,..umekua kijakazi kijuso ila [HASHTAG]#pambananahaliyako[/HASHTAG] bwahahahahaha misstrace
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…