Tamko kwa wanawake wote.!

Mfumo jike wanasubiri sie tuwaanze lazima nao waanze kuchangamkia tenda wajimwage PM zetu au mwenzangu ulishawahi kupata PM kutoka kwa akinamama?
Yeah nazipata nyingi tu, wewe bado?
 
Tangazo gani labda kwamfano na watu gani labda maana sijaona wakuwawekea tangazo bado.
We kijuso una lolote,..sura huna shepu huna,..kazi kudandia mishahar ya watu,..ebu kaa chini usitualibie siku,..Gaddamit,..!!
 
We kijuso una lolote,..sura huna shepu huna,..kazi kudandia mishahar ya watu,..ebu kaa chini usitualibie siku,..Gaddamit,..!!
Hahahahhahahahaaa, unaishi kwa kukariri toka kwa dada zako pole sana, sitaki shobo.
 
Maeeeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahhahahahaaa, unaishi kwa kukariri toka kwa dada zako pole sana, sitaki shobo.
Sa wew na Mimi nani shombo,..kujipea kua unafatwa fatwa wakati ata kweny screen saver aukai,labda tukitengeneze kibao cha mpapule tupate tax za museum,... Amna wakuku fata fata wewe inbox mkuu,..like serious,.. Shubamitt,..!!!??,sitaki shobo!.. Gadamit!!!??,..kwa uzuri UPI au izo carolite zinakupa confidence
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…