Account lockedLog in kwenye akaunti zenu mbona tumeachia tangu saa sita mchana
Hahaha jamaa una roho mbaya ww et cheap labour nmecheka kinoumaUchaguzi umekwisha na kampeni zake jitegemeeni kujiajiri nimefurahi sana kusikia ajira zimefutwa kuna mtu mmoja alishaanza kunipandia kichwani ahsante Mungu futa kabisa ajira tupate cheap labour.
Kamati ya roho mbaya usicheke SANA NDIYO CHEAP LABOUR NA WAJIFUNZE KUWA NA MBADALA WA MAISHAHahaha jamaa una roho mbayaa ww et cheap labour nmecheka kinouma
Inaonyesha hilo tangazo lilikua linakula server wakaamua walifute! ila yale ya zamani hayali server ndio maana yameachwa!Nani kakuambia kuwa huwa hazifutwi? Hiyo ni jukumu la owner wa website to decide.
Ndio lishatolewa sasa na wenye mamlaka. Nenda kawaambie walirudishe.Inaonyesha hilo tangazo lilikua linakula server wakaamua walifute! ila yale ya zamani hayali server ndio maana yameachwa!
NB: You are an Idiot.
Endelea kusubiri wakati wenzako wamepata ajira.Ikiwa ni miezi miwili sasa imeisha tangu serikali itangaze ajira za ualimu, na kuwaelekeza wenye sifa waombe kupitia mfumo wa OTEAS, kumekuwa na taharuki kubwa miongoni mwa waombaji kutokana na serikali kukaa kimya pasipo kutoa majina ya waliopata ajira hizo.
Mbaya zaidi hata tangazo la hizo ajira limefutwa kwenye tovuti ya TAMISEMI.
Hii ina maana gani?
Hahahahaha ule ulikuwa mtego naiman mzee magu kuna baadhi ya kula amezivuna kutokana na hilo tangozi. Ndege wameshakatwa hamna haja ya mtego kuendelea kubakiMatangazo mengine ya miaka iliyopita bado yapo
Katibu mkuu kashatangazaMbona saizi ndio saa nane
Kasemaje? Katangaza nini? Kuna jipya lolote amekuja nalo?Katibu mkuu kashatangaza