Tamisemi yafuta kwenye tovuti yake tangazo la ajira za waalimu 13,000 zilizotangazwa wakati wa kampeni

Wapinzani walikua wanatuchelewesha,JPM kanyagia hapohapo.
Tuna Deni Kubwa Sana Kwa Huu Ushindi
Usinichanganyie Gongo, Rubisi Na Kabugumo
Kama Unataka Kunywa Gongo Kunywa Yenyewe Usije Ukatuangusha!😁😂😀😅😄😃😃😁😂🤣😅😄

Usinichanganyie Battery Na Gunzi Hiyo Torch Sitaiwasha
Nileteeni Tulia, Nitatulia 😑🤨😶
 
Ikiwa ni miezi miwilisasa imeisha tangu serikali itangaze ajira za ualimu, na kuwaelekeza wenye sifa waombe kupitia mfumo wa OTEAS, kumekuwa na taharuki kubwa miongoni mwa waombaji kutokana na serikali kukaa kimya pasipo kutoa majina ya waliopata ajira hizo.

Mbaya zaidi hata tangazo la hizo ajira limefutwa kwenye tovuti ya TAMISEMI.

Hii inamaana gani?

Kama tarehe ya ku apply imeisha na wanachakata unataka tangazo la nini?
 
Ikiwa ni miezi miwilisasa imeisha tangu serikali itangaze ajira za ualimu, na kuwaelekeza wenye sifa waombe kupitia mfumo wa OTEAS, kumekuwa na taharuki kubwa miongoni mwa waombaji kutokana na serikali kukaa kimya pasipo kutoa majina ya waliopata ajira hizo.

Mbaya zaidi hata tangazo la hizo ajira limefutwa kwenye tovuti ya TAMISEMI.

Hii inamaana gani?
Kumi tena
 
Uchaguzi umekwisha na kampeni zake jitegemeeni kujiajiri nimefurahi sana kusikia ajira zimefutwa kuna mtu mmoja alishaanza kunipandia kichwani ahsante Mungu futa kabisa ajira tupate cheap labour.
Wewe uende peponi kabisa.
 
Nyoosha hizi pimbi zote ,kazi kuimba tu waisome namba

Somaa hiyooo sasa

Futa ajira zotee

Mpaka 2025 kuna watu watakuwa hawaajiriki tena
Hapo ndio watajitambua vizur na kuijua ccm kuwa ni chama cha majambazi
 
Baada ya kuingia madarakani, magufuli akawambia waalimu na imekwisha. Rejea kifungu luka 6 kanyaga 7
 
Kesho zile vivuko vilivozinduliwa kpnd cha kampeni si ajabu zikarudi kwao.
 
Wapinzani wametucheleweshea sana maendeleo, na maendeleo haya chama

Nileteeni Gwajimaaaaaaaaaaaa
Nileteeni Gwajimaaaaa
Nileteeni Jimaaa.

Hapa nafanya applications ya VISA niende ulaya Gwajimaaaaa alituahidiii
 
Back
Top Bottom