Devotha Musoma
Member
- Mar 7, 2014
- 22
- 1
Tamisemi wametoa majina ya wafanyakazi wakiwemo waalimu waliohama vituo kwa vibali maalum leo hii mchana! Cha kushangaza ni kwamba hawatoi tamko lolote kuhusu watu waliokosa ajira!
Tamisemi wametoa majina ya wafanyakazi wakiwemo waalimu waliohama vituo kwa vibali maalum leo hii mchana! Cha kushangaza ni kwamba hawatoi tamko lolote kuhusu watu waliokosa ajira!
Mkuu sasa tufanye nini?Ata mie nimewashangaa sana hawa Tamisemi kunawalimu kibao bado tupo mtaani na mpaka sasa awajatowa tamko.
Mkuu sasa tufanye nini?
Tamisemi wametoa majina ya wafanyakazi wakiwemo waalimu waliohama vituo kwa vibali maalum leo hii mchana! Cha kushangaza ni kwamba hawatoi tamko lolote kuhusu watu waliokosa ajira!
Mkuu nimeambiwa majina yatatoka ila watachukuwa walimu wachache wanasema walioachwa ni wengi wanasubilia pesa toka hazina
Daah,kumbe yatatoka baadhi tu,ndo yaleyale mkuu.
Mkuu acha tuombe mungu ila ujuwe nini kuna watu awajasomea education wanataka nao wapewe post kwa mfano mtu kasomea education of phylosoph anataka nae apewe post
yap mi pia mhanga. na mi cjakufaham umetumia jina ambalo c lako nafikiriVp devotha nawe ni mhanga, kama vile nakufahamu
yap mi pia mhanga. na mi cjakufaham umetumia jina ambalo c lako nafikiri
tafutaneni kwenye inboxMi nilisomea butimba ttc, ww waitwa nan na ulisomea wap atleast nikifaham jina naweza kujua kama tunafahamiana
JAMANI NIPO CHINI YA MIGUU YENU NAOMBA MUNIANGALIE JINA LANGU KWENYE HAYO MAJINA YA KUHAMA kwa kibal maalum YALIYOTOLEWA NA TAMISEMI, nipo huku kiporini na simu yangu haina uwezo wa kuyafungua naitwa STEPHANO A.MOSHI,
Haumo kwenye listi mkuu,
kwani yapo majina mangap? pls acha utan nipo seriaus
Mi nilisomea butimba ttc, ww waitwa nan na ulisomea wap atleast nikifaham jina naweza kujua kama tunafahamiana
Pls,hayakutolewa kinamba hivyo siwezi kujua idadi,ila kwaupande wangu mm nilivyo angalia kweli sija kuona,labda ngoja wadau wengine watakusaidia kucheki vizuri.