tamisemi watoa orodha ya watumishi waliohama vituo kwa vibali maalum

Mar 7, 2014
22
1
Tamisemi wametoa majina ya wafanyakazi wakiwemo waalimu waliohama vituo kwa vibali maalum leo hii mchana! Cha kushangaza ni kwamba hawatoi tamko lolote kuhusu watu waliokosa ajira!
 
Ata mie nimewashangaa sana hawa Tamisemi kunawalimu kibao bado tupo mtaani na mpaka sasa awajatowa tamko.
 
Mkuu acha tuombe mungu ila ujuwe nini kuna watu awajasomea education wanataka nao wapewe post kwa mfano mtu kasomea education of phylosoph anataka nae apewe post

Hapa kazi ipo,ila tuombe Mungu yote yawezekana.
 
JAMANI NIPO CHINI YA MIGUU YENU NAOMBA MUNIANGALIE JINA LANGU KWENYE HAYO MAJINA YA KUHAMA kwa kibal maalum YALIYOTOLEWA NA TAMISEMI, nipo huku kiporini na simu yangu haina uwezo wa kuyafungua naitwa STEPHANO A.MOSHI,
 
Haumo kwenye listi mkuu,
 
Back
Top Bottom