TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

Habarini waungwana,
Naomba kuuliza je TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

Natanguliza shukrani kwa swali hapo juu
Majina nimeyaona leo,yameshatoka hebu pitia website ya Tamisemi
 
Kuna uwezekanano wa majina mengine ? Make naona jina la mke wangu alimo Amelia mpaka naona uruma .
Aendelee kufanya kazi tu,maana mradi mshahara anapata inatosha,je angekuwa kwenye orodha ya vyeti feki kwa bahati mbaya?
 
Walitoka ni wale ambao document zao ni current na wengi wao ni magumashi believe it or not ushahidi ninao
 
Kwa wale waliopata uhamisho au wenye uzoefu hivi inachukua siku ngp toka majina yatangazwe mpaka barua za vibali zifke halmashaur
 
Kwa wale waliopata uhamisho au wenye uzoefu hivi inachukua siku ngp toka majina yatangazwe mpaka barua za vibali zifke halmashaur
MKUU barua zinatangulia kufika kabla ya majina. Kama umeona jina lako kila barua hujapata basi naenda halmashauri itakuwa imefungiwa kwenye dro tu.
 
Back
Top Bottom