TAMISEMI wasitisha ajira za Afya za walioitwa na kupangiwa Vituo vya Kazi tarehe 31/10/2017

Naomba mnijuze nimeona katika page ya mange kimambi instagram kuna habari kaiweka pamoja na barua kutoka Tamisemi inayoelezea kusitisha ajira za kada ya afya kwa watu walioajiriwa siku chache zilizopita na kutakiwa kuripoti ndani ya siku 14
Cha ajabu wamesitishwa kufanya hivyo,je hii ni taarifa ya kweli au Nongwa tu za Mange dhidi ya serikali??
 
Tangu tuambiwe kuna ajira na watu wakaomba weeeengi. Had leo kimya.
Serikali haieleweki
 
Back
Top Bottom