TAMISEMI wasitisha ajira za Afya za walioitwa na kupangiwa Vituo vya Kazi tarehe 31/10/2017


A

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Messages
1,707
Likes
278
Points
180
A

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2013
1,707 278 180
Tafadhali rejeeni tangazo letu lenye Kumb. Na CD. 162/355/01 la tarehe 30Oktoba, 2017 lililowataarifu waombaji wa kazi wa nafasi mbalimbali za kada za afya walioomba kazi kuanzia 25/07 - 30/08/2017.

Rejea hapa; TAMISEMI kushirikiana na Wizara ya Afya: Tangazo la kuitwa kazini kwa walioomba kazi kuanzia tarehe 25/07 - 30/08/2017

TAMISEMI inapenda kuwataarifu waajiri na waombaji wote wa nafasi za ajira za kada za Afya kuwa imesitisha zoezi la ajira za kada za afya kwa muda mfupi ili kukamilisha taratibu za ajira.

tamisemi-png.621802
 
jimmyfoxxgongo

jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2013
Messages
4,429
Likes
6,913
Points
280
Age
27
jimmyfoxxgongo

jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2013
4,429 6,913 280
Nilishaachana na ajira hasa za serikali,

Hakuna kitu kinanikera kama mtu kuniamulia maisha yangu,

Yaani yeye ndo awe muamuzi wa financial status yangu pia yeye ndo aamue namna ya kuutumia muda wangu,

Ona sasa jana mnatoa kazi leo mnasitisha haya maisha waliyojipa ya kuwa Miungu ni mabaya sana

Na sasa hapo hakuna ajira mpaka 2019 ndo zitatangazwa tena
 
tax compliant

tax compliant

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Messages
1,082
Likes
964
Points
280
tax compliant

tax compliant

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2016
1,082 964 280
Inashangaza. Wasiahirishe tu na za TRA asee.:oops::oops::oops:
 
A

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Messages
1,707
Likes
278
Points
180
A

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2013
1,707 278 180
Tangazo la kusitisha ajira kwa bandiko la hapo juu, limeandikwa tarehe 31/10/2017,.
Chini kabisa ya bandiko hilo inaonyesha barua imetolewa tarehe 30/10/2017 ,nina mashaka na hiyo barua ama mwandishi alipitiwa?
Inashangaza saana Mkuu maana ndo iliyopostiwa kwenye official fb page ya tamisemi
 
M

MAMDALI

Member
Joined
Aug 13, 2015
Messages
63
Likes
67
Points
25
M

MAMDALI

Member
Joined Aug 13, 2015
63 67 25
Mchakato wa kuppanga vituo vya kazi ulikuwa na ddosari kubwa haiwezekani mtu mmoja akapangiwa vituo viwili mbali na hilo ukiangalia kwenye ile list mpaka hospitali ya Haydom imepangiwa kituo.

Pendekezo; Tamisemi kupitia kitengo husika in vyema mkajenga utaratibu wa kupitia kupitia documents zenu before release them to the public na kazi ya kupanga isiache kwa karani pekee.
 
M

Mjambishaji

Member
Joined
Oct 28, 2017
Messages
44
Likes
19
Points
15
M

Mjambishaji

Member
Joined Oct 28, 2017
44 19 15
Ni habari ya kusikitikisha iliotolewa na tamisemi kusitisha Ajira za wataalam wa kada ya AFYA.Sasa sielewi kuna tatzo gani katika ajira zao.Au ndo pesa kuwalipa hakuna na kama taaarifa hizi ni za kweli watu wengi nikiwamo mimi nitaaamini maneno ya Zito kabwe ni kweli kuhusiana na mapato ya Nchi. Au tulikuwa tunategemea zile billions za barick.
Mytake:
1.VIJANA wengi wa kimaskini ambao tumesomesha na wazazi wetu wauza vitumbua tumekosa ajira.Hatuna wa kumlilia.Ajira zimetolewa kikada nilikuwa nasoma chuo X makada waandamizi wote niliosoma nao wamepata ajira, Na huo wanajiorodhesha index number zao za form four.pia washukumya na kanda ya ziwa ndio wamejazwa kwenye hizo ajira ni bora wamesitisha
 
Titicomb

Titicomb

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2012
Messages
4,704
Likes
4,614
Points
280
Titicomb

Titicomb

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2012
4,704 4,614 280
Andika vizuri kwanza ueleweke.
 
Beef Lasagna

Beef Lasagna

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Messages
13,614
Likes
55,165
Points
280
Beef Lasagna

Beef Lasagna

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2015
13,614 55,165 280
Mh
 
nyabhingi

nyabhingi

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Messages
13,335
Likes
10,468
Points
280
nyabhingi

nyabhingi

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2010
13,335 10,468 280
siamini kuna ukabila kiasi hiki...be patient kijana
 
URBAN MONKEY

URBAN MONKEY

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Messages
706
Likes
1,135
Points
180
URBAN MONKEY

URBAN MONKEY

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2017
706 1,135 180
Pole sana
 
K

Korogwe yetu

Member
Joined
Oct 26, 2017
Messages
6
Likes
2
Points
5
K

Korogwe yetu

Member
Joined Oct 26, 2017
6 2 5
wa
Ni habari ya kusikitikisha iliotolewa na tamisemi kusitisha Ajira za wataalam wa kada ya AFYA.Sasa sielewi kuna tatzo gani katika ajira zao.Au ndo pesa kuwalipa hakuna na kama taaarifa hizi ni za kweli watu wengi nikiwamo mimi nitaaamini maneno ya Zito kabwe ni kweli kuhusiana na mapato ya Nchi. Au tulikuwa tunategemea zile billions za barick.
Mytake:
1.VIJANA wengi wa kimaskini ambao tumesomesha na wazazi wetu wauza vitumbua tumekosa ajira.Hatuna wa kumlilia.Ajira zimetolewa kikada nilikuwa nasoma chuo X makada waandamizi wote niliosoma nao wamepata ajira, Na huo wanajiorodhesha index number zao za form four.pia washukumya na kanda ya ziwa ndio wamejazwa kwenye hizo ajira ni bora wamesitisha
Wasiojulikana watakuzingua
 
swahiba92

swahiba92

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Messages
1,902
Likes
2,023
Points
280
swahiba92

swahiba92

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2016
1,902 2,023 280
color=black]Mbona kama hueleweki?? Kanda ya ziwa imeingiaje kwenye swala LA ajira?? We ndo Uko utunishi au?? Karibu tu mtaani ndg sisi tuko huku hatuna muda wa kuilalamikia selikali[/color]
 
GANG MO

GANG MO

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Messages
1,325
Likes
1,288
Points
280
GANG MO

GANG MO

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2016
1,325 1,288 280
Mpaka leo hujaamini maneno ya zk? Rejea ajira za walimu ndio utaelewa. Awamu tatu zipo kitaa tu afu watawala wanasema pesa ipo, ccm wanawashangilia
 
balimar

balimar

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2015
Messages
3,483
Likes
4,344
Points
280
balimar

balimar

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2015
3,483 4,344 280
Nilitaka nishangae nyomi yote iajiliwe bila zengwe
Ingevunja rekodi
Huku kazini kanyongeza za kila mwezi wamelala nako mbele mazima
 
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Messages
14,916
Likes
2,876
Points
280
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2011
14,916 2,876 280
Unalalamika wamesitishat halafu hapo hapo unasema bora wamesitisha kisa wamejaza wasukuma!!
 

Forum statistics

Threads 1,239,108
Members 476,369
Posts 29,342,710