TAMISEMI mna tatizo gani?

ungefuata utaratibu wa kawaida tu kwa kumsaidia, na isitoshe hiyo ni confidential huoni kama umeharibu zaidi.?
na ndio maana wao waliandika barua ya kumsimamisha..
sasa wewe ndo umekuja kuanika huku tena unataja hadi sehemu husika punguzeni jazba kulalamika tu kila kitu sasa unafikiri hapa utasaidiwa chochote?
 
Hata hivyo lawama zake hazina msingi sababu alijipatia ajira kwa njia ya udanganyifu kwa kudanganya masomo.

Ningekuwa mm ndie mkurugenzi ningemsekwa ndani ili liwe fundisho na kwa watu wengine wenye tabia kama hiyo.
 
GS na CIVICS Kuna watu wanaisomea kabisa Kama somo la kufundishia,wanaita POLITICAL SCIENCE (PS) si kila mtu aliyesoma GS Advance anaruhusiwa akaifundishe
 
Asnte sana kweli nimejiona mm ndiye niliyekosea sasa.
 
Kwahy mtu aliyesoma political science ni mwalimu tangu lini?
Mtu wa political science ndiyo mtu sahihi kufundisha GS au Civics. Mashule mengi yanapata changamoto kufundisha civics sababu mtu ana-take easy kwamba O-level nimesoma civics the GS A-level then DS chuo, hiyo haitoshi hasa kwa utitiri was vitabu vilivyoandikwa na watu (wengi) ambao hawaelewi hata structure ya local government ni shida.
 
Kabisa mkuu mimi pia nimesoma political science
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…