Ni wapuuzi sana! Shule nyingi ziko hovyo sana! Hawa ni matapeli sana! Bullshit!Nimepata kukutana na hii picha kutoka mtandao wa X kutoka kwenye ukurasa rasmi ya TAMISEMI kiukweli nimepata hasira na kuona watanzania sijui huwa tunafikiria nini? Ukweli tunauficha kwenye uvungu na kuhubiri uongo, kwa sababu ya kulinda ugali na uchawa uliopitiliza.
View attachment 3133377
Kuna shule zipo kwenye hali mbaya na kila mtanzania anafahamu hilo ila TAMISEMI inataka kutuaminisha kuwa shule zote zipo hivi. Hakika tuna watendaji wa ajabu kuwahi kutokea.
Kwahiyo unataka kutuaminisha kwamba hakuna improvement?Nimepata kukutana na hii picha kutoka mtandao wa X kutoka kwenye ukurasa rasmi ya TAMISEMI kiukweli nimepata hasira na kuona watanzania sijui huwa tunafikiria nini? Ukweli tunauficha kwenye uvungu na kuhubiri uongo, kwa sababu ya kulinda ugali na uchawa uliopitiliza.
View attachment 3133377
Kuna shule zipo kwenye hali mbaya na kila mtanzania anafahamu hilo ila TAMISEMI inataka kutuaminisha kuwa shule zote zipo hivi. Hakika tuna watendaji wa ajabu kuwahi kutokea.
Kuna shule nyingi bado wanafunzi wanakaa chini.Nimepata kukutana na hii picha kutoka mtandao wa X kutoka kwenye ukurasa rasmi ya TAMISEMI kiukweli nimepata hasira na kuona watanzania sijui huwa tunafikiria nini? Ukweli tunauficha kwenye uvungu na kuhubiri uongo, kwa sababu ya kulinda ugali na uchawa uliopitiliza.
View attachment 3133377
Kuna shule zipo kwenye hali mbaya na kila mtanzania anafahamu hilo ila TAMISEMI inataka kutuaminisha kuwa shule zote zipo hivi. Hakika tuna watendaji wa ajabu kuwahi kutokea.
🤣🤣🤣🤣🙌huyo mtoto mtu mzima mbona kama miguu inamsaliti mapema sana.
Litamgharimu nani mkuu? Aliyepewa dhamana kuongoza hii wizara,watoto wake wanasoma nje ya nchi.Kuna shule nyingi bado wanafunzi wanakaa chini.
Tumeamua kuufanya uongo na ulaghai kuwa sehemu ya maisha yetu Tanzania hili litatugharimu sana.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣... Dahh. Tamisemi picha kama hizi huwa hamtaki kuziona kabisa.... 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🙌huyo mtoto mtu mzima mbona kama miguu inamsaliti mapema sana.
ni AI nadhani🤣🤣