mapambio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. THE FIRST BORN

    Mchambuzi Farhan, hivi ulichokiandika unamaanisha ni kweli hukujua? SIAMINI Ila huenda we ni kundi lile la wanafiki wapiga Mapambio mnaoogopa kukusoa

    Habarini Wanajukwaa Mimi nimeamka salama Chini ya Udhamini wa Majini ya Yanga yamenituma niende Twitter(X) Asubuhi ya Leo ila nilichokutana nacho nimeumia sana nikajiuliza hivi kwanini tuna watu hawa hii Nchi. Bahat mbaya wamepata bahat ya kujulikana na kupendwa ila hawana Msaada kabisa yani...
  2. T

    Wabunge wetu na mapambio kazi zilizofanyika na baadae kukimbizana na muda

    Nipo natazama wachangiaji wa bunge linaloendelea. Cha kushangaza wengi wa wabunge wanatumia muda wao mwingi wakitoa sifa nyingi kwa kazi zilizofanyika. Cha kushangaza zaidi baadae wanakimbizana na muda kutoa pointi za msingi na muda hauwatoshi. Niwambie wapiga kura watakupima kwa kile...
  3. Nshomile wa Muleba

    Kumbe dawa ya kuzuia mapambio na kuisifu Serikali ni Ripoti ya CAG

    Habari za kazi wana JF, Nadhani na nyie ni mashahidi jinsi tulivyopumzika/kupumua juu ya mapambio na kusifusifu na kuabudu kwenye kero ya hali ya juu kutoka kwa baadhi ya viongozi wasio na uweledi na WANAFIKI wakubwa nchini kwetu. Hata media nazo zimesimama kwa muda kurusha rusha matangazo ya...
  4. M

    Kwa mambo yote haya, Rais Samia hapendi mapambio

    Ndani ya Kipindi kifupi tumeona uwekezaji uliovunja rekodi tangu tupate Uhuru. Hatujawahi kuvutia uwekezaji kwa kiwango cha trilioni 9.6 thamani ya uwekezaji ndani ya miezi 9 yaani uwekezaji wa Rais samia miezi 9 unazidi uwekezaji wa miaka 4 iliyopita huyu Mama hana sifa ya kujikosha na...
  5. B

    Legacy: Waimba Mapambio Wanapokwama

    Hapa sina cha kuongeza:
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mchelea mwana kulia, hulia yeye. Tulimsifu kwa nyimbo na mapambio mwanetu, leo tunalia

    Huyu mwana wetu, hatukumwambia alipokosea, aliamua kufanya lolote atakalo, na hata alipofanya mabaya tukamsifu kwamba huo uovu wake aufanyao ndio uanaume wenyewe. Alianza kwa kuwatumia rafiki zake wa kutoka mbali tusiowajua kupoteza wadogo zake, akaenda mbali akafanya maovu makubwa, tukamsifu...
Back
Top Bottom