Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,080
- 10,436
Akagombee urais kwa mke wake na watoto wake
Khaa!! ®Wewe mbona boya sana. Kwani hana sifa za kugombea kwa katiba tuliyo nayo???
Akagombee urais kwa mke wake na watoto wake
Tanzania ipo siku hadi jiwe litagombea uraisi
Akihojiwa na Radio Pride ya Mtwara leo saa 11 jioni, Tambwe Hizza amesema ana uwezo, nguvu, afya, elimu na akili za kuwa Rais wa tano wa Tanzania.
Amesema wakati ukifika atachukua fomu.
Alipoulizwa atagombea kama mgombea binafsi kama katiba itaruhusu amejibu kwa kifupi, CCM ndo baba lao.
Mytake: URAIS UMEKUWA RAHISI
Heri huyu kuliko dr slaa
alishawahi kusema kuwa akihamia CCM toka upinzani basi lazima awe kalala na mama yake!
KASHAMLALA?
Ujinga nikudhani urais ni kitu cha ajabu sana as if kuna watu fulani ndiyo wameumbwa kuwa marais...anybody cn b anythng kama kweli ana nia thabiti...acheni hizi mambo za ajabu oohh urais umekuwa rais my as.!
Tanzania ipo siku hadi jiwe litagombea uraisi
Akihojiwa na Radio Pride ya Mtwara leo saa 11 jioni, Tambwe Hizza amesema ana uwezo, nguvu, afya, elimu na akili za kuwa Rais wa tano wa Tanzania.
Amesema wakati ukifika atachukua fomu.
Alipoulizwa atagombea kama mgombea binafsi kama katiba itaruhusu amejibu kwa kifupi, CCM ndo baba lao.
Mytake: URAIS UMEKUWA RAHISI
Huyu jamaa ni jana tu kuna mahali nilimskia mtu akimuulizia,na anasikika wakat muafaka,maana mwakani ndio mwaka wa fwedhaAkihojiwa na Radio Pride ya Mtwara leo saa 11 jioni, Tambwe Hizza amesema ana uwezo, nguvu, afya, elimu na akili za kuwa Rais wa tano wa Tanzania.
Amesema wakati ukifika atachukua fomu.
Alipoulizwa atagombea kama mgombea binafsi kama katiba itaruhusu amejibu kwa kifupi, CCM ndo baba lao.
Mytake: URAIS UMEKUWA RAHISI
Yaani kuwa mfungaji bora msimu mmoja tu ndio amepata umaarufu wa kugombea urais!?
![]()