Mbona mda tu, huoni matendo na kauli zake
Hahahaha. Umeua mkuu mbavu sina na kuna mmoja nadhani ni Kibajaji au Mwigulu Arumeru aliahidi Nassari akishinda atatembea uchi Arusha hadi Dar hizi ni akili za misukule.
Mbona mda tu, huoni matendo na kauli zake
daah kwa namna hii hata MSALANI nae si ajabu akatangaza kugombea urais.
daah kwa namna hii hata MSALANI nae si ajabu akatangaza kugombea urais.
alishawahi kusema kuwa akihamia CCM toka upinzani basi lazima awe kalala na mama yake!
KASHAMLALA?
Upumbavu ni kukakamaa huku ukiamini kuwa kila mmoja ndani ya ccm anaweza kuwa Rais wa Tz.
ndiyo hivyo tena,anatumia demokrasia yake.cdm asingekubaliwa hana maadili, ni afadhali ngamia ana maadili kuliko huyu hiza,vipi tumbo halimsumbui tena?alishawahi kusema kuwa akihamia CCM toka upinzani basi lazima awe kalala na mama yake!
KASHAMLALA?
alishawahi kusema kuwa akihamia CCM toka upinzani basi lazima awe kalala na mama yake!
KASHAMLALA?
daah kwa namna hii hata MSALANI nae si ajabu akatangaza kugombea urais.
Acha dharau za kijinga!
Duu umeua mkuu...Kweli kumekucha ccm, hata vibwengo navyo vinajiona vinafaa kuwa Rais! Why? Urais umekuwa rahisi mno! Kama nchi inaweza kujiendesha yenyewe tena bila remote controlling (Rais muda wote u nje ya nchi) tuna haja gani kuwa na serious Raisi? Hata Tambwe anaweza kukaa pale Ikulu, ili mradi tu ana manguo yale ya kijani!!! Ccm hebu kuweni serious na nchi yetu badala ya kuifanya kama kichwa cha mwendawazimu, vinginevyo tuachieni nchi yetu kama mmelewa hivyo madaraka
alishawahi kusema kuwa akihamia CCM toka upinzani basi lazima awe kalala na mama yake!
KASHAMLALA?
Heri huyu kuliko dr slaa
Acha dharau za kijinga!