Tambwe Hizza: Nitagombea Urais

Tambwe Hizza: Nitagombea Urais

IKWETE

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
4,057
Reaction score
696
Akihojiwa na Radio Pride ya Mtwara leo saa 11 jioni, Tambwe Hizza amesema ana uwezo, nguvu, afya, elimu na akili za kuwa Rais wa tano wa Tanzania.

Amesema wakati ukifika atachukua fomu.
Alipoulizwa atagombea kama mgombea binafsi kama katiba itaruhusu amejibu kwa kifupi, CCM ndo baba lao.

Mytake: URAIS UMEKUWA RAHISI
 
Tanzania ipo siku hadi jiwe litagombea uraisi
 
Akihojiwa na Radio Pride ya Mtwara leo saa 11 jioni, Tambwe Hizza amesema ana uwezo, nguvu, afya, elimu na akili za kuwa Rais wa tano wa Tanzania.

Amesema wakati ukifika atachukua fomu.
Alipoulizwa atagombea kama mgombea binafsi kama katiba itaruhusu amejibu kwa kifupi, CCM ndo baba lao.

Mytake: URAIS UMEKUWA RAHISI
sifa ya kugombea urais anazo, ametumka demokrasia yake vizuri
 
Kiki, tena alisahaulika bora sasa atasemwasemwa kwa siku Mbili.
 
anaweza kuwa rais Wa majuha wenzake..

hata hivyo wengi wao wanatumika kupunguza kura za upinzan lakn awamu hii ukawa wamewashika pabaya
 
Duhhhh..........CCM kuna mambo ......huyu anzisheni kitengo na mumteue kuwa na cheo cha Rais ..........
 
Shamba boy wangu naye kaniacha hoi; eti kwakuwa naye ni kada wa ccm na mshauri wa uvccm kata, vijana wa ccm wamemshauri agombee urais watamuunga mkono.
Kazi ninayo ya kumwandalia sare za chama.
Ntamnunulia tu kwani antunza mashamba yangu vizuri
 
Uko ccm kila mtu anautaka uraisi sijui nani atakuwa mbunge,bado nape ,mwigulu kasha tangaza nia
 
alishawahi kusema kuwa akihamia CCM toka upinzani basi lazima awe kalala na mama yake!

KASHAMLALA?
 
Akihojiwa na Radio Pride ya Mtwara leo saa 11 jioni, Tambwe Hizza amesema ana uwezo, nguvu, afya, elimu na akili za kuwa Rais wa tano wa Tanzania.

Amesema wakati ukifika atachukua fomu.
Alipoulizwa atagombea kama mgombea binafsi kama katiba itaruhusu amejibu kwa kifupi, CCM ndo baba lao.

Mytake: URAIS UMEKUWA RAHISI

Kweli kumekucha ccm, hata vibwengo navyo vinajiona vinafaa kuwa Rais! Why? Urais umekuwa rahisi mno! Kama nchi inaweza kujiendesha yenyewe tena bila remote controlling (Rais muda wote u nje ya nchi) tuna haja gani kuwa na serious Raisi? Hata Tambwe anaweza kukaa pale Ikulu, ili mradi tu ana manguo yale ya kijani!!! Ccm hebu kuweni serious na nchi yetu badala ya kuifanya kama kichwa cha mwendawazimu, vinginevyo tuachieni nchi yetu kama mmelewa hivyo madaraka
 
Back
Top Bottom