Tambwe Hizza: Nitagombea Urais

Tambwe Hizza: Nitagombea Urais

Akihojiwa na Radio Pride ya Mtwara leo saa 11 jioni, Tambwe Hizza amesema ana uwezo, nguvu, afya, elimu na akili za kuwa Rais wa tano wa Tanzania.

Amesema wakati ukifika atachukua fomu.
Alipoulizwa atagombea kama mgombea binafsi kama katiba itaruhusu amejibu kwa kifupi, CCM ndo baba lao.

Mytake: URAIS UMEKUWA RAHISI
Jamani bangi mbaya, iendelee kupigwa marufuku na wanaovuta watengwe na jamii!!!!
 
Urais gan?? Siku hizi kuna hadi rais wa masharobaro
 
jamaa alishapataga laana pale alipomlalaga mamake kama timilizo la ahadi ya kutoka CUF kwenda CCM
 
Tanzania ipo siku hadi jiwe litagombea uraisi

Kila siku mnasema katiba katiba katiba, lkn hamjui vipengere vinavyomruhusu mtu kugombea. Hata wewe kama utaweza jipime uko huru kikatiba sasa kupata au kukosa ni matokeo ya baadae.
 
Hata panya waliomo ndani kwangu,wamesema watagombea.
 
Back
Top Bottom