Tambua kuwa unapendwa

Pole sana ladyfurahia,Mwenyezi Mungu azidi kuwapa faraja katika kipindi hiki.Pia nakupongeza sana kwa kutoa mrejesho,ni wengi sana huwa tunasahau,ni jambo kubwa sana hili umefanya naamini kila mmoja ameapriciate,Mungu akubariki
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom