Tambua kiu ya mpenzi wako

Tambua kiu ya mpenzi wako

I will always satisfy my wuman to the fullest, whenever she wants me I will try to be there. All is just to make her happy n appreciate being with me. When it comes she dumps me by any reason, ipo siku atanikumbuka na kujiona yeye ndie mkosefu hata kama atakuwa tayari ndani ya ndoa.
Hayo ni maneno tu ambayo kila mwanamme anapenda awe hivyo... Tatizo ni vitendo.... Na vitendo vinahitaji mental and body capabilities.
 
Ni kweli nimekutana na wadada kibao wa rika langu ambao ni rafiki zangu wao wanasema hivihivi kuwa raha ya mwanamke ni kufika kilelelni(kukojoa) mengine mbwembwe tu...

Pesa inaraha yake jamani ..... juc give me life !!!!
Huko kwingne tutavumiliana tuuu


Yaani kufanya ni rahaaaaa ila na pesa iwepo.

Ili kumridhisha mwanamke muhimu kujua vipaumbele vyao
1.Sexual satisfaction (kuridhishwa katika tendo) Wanawake walio wengi wanaweza kuvumilia shida bora tu wanaridhishwa katika tendo.
2.Uwezo wa kichumi... Baadhi ya wanawake pamoja na kufurahia tendo hawana uwezo wa kuvumilia shida. Ikitokea hali hio ndo unaweza kuta mwanamke hadai talaka lakini ana hawara ambaye anaziba lile pengo la kiuchumi.wanawake wengi wa pwani wako dizaini hii .Bali wengine tangu mwanzo hakubali kuchukuliwa na mwanamme asie na pesa. Wanawake wengi wa kaskazini wako model hii.
3.Umaarufu katika jamii. Wanawake pia hupenda wanaume ambao ni maarufu wanaoheshimika. Wanajihisi secure zaidi.
4.Utanashati...wanawake wanapenda wanaume wasafi wenye kupendeza kwa usafi wa mwili na mavazi.

Haya kwa taaluma yangu ndogo Nadhani ni mambo muhimu ambayo wanawake wanayatarajia kutoka kwa mwanamme. Kwa hio mwanamme akiwa na sifa hizi kwa wanawake anakuwa hot cake.
 
Wengine ni vigumu sana ku-express mawazo yao kwa wale wanaowapenda, anabaki kimya tu anakuangalia, vikimzidia ananuna wiki nzima bila kueleza sababu ya msingi, dah kwenye ndoa kuna kazi sana aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom