Adui rafiki

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,511
14,376
Unajua nini kuhusu uadui?

Unajua nini kuhusu urafiki na unajua nini kuhusu biashara?

Hebu jiulize mechi ya SIMBA VS YANGA kisha mtu kama labda Walter Harrison meneja wa Yanga akauze siri za kambi kwa sasa Simba au Try Again achukue mchoro mzima wa mipango ya simba ya miaka 10 ijayo aipeleke Yanga.

Hebu jiulize itakuwaje kama mchora ramani na mipango wa clouds media akauze mpango huo kwa Majizo hapo itakuaje?

Au babu Tale akauze siri za kambi ya diamond kwa team Kiba

Je, unatarajia malipo ya aina gani?

Basi jibu ni kuwa si kila adui wa kuonekana ni adui wa ndani na sio kila rafiki wa kuonekana ni rafiki wa ndani

Tunajua Simba na Yanga ni wapinzani wa jadi lakini licha ya upinzani huo kuna mahala timu hizi mbili hukutana na kukaa pamoja katika kupanga mipango yao hususani katika kulinda maslahi yao hiyo sikulazimishi kukubali

Ngoja nikwambie kitu ukizumgumzia Pepsi basi mpinzani wa karibu kibiashara ni coca cola.

Kuna mambo mengi yanaendelea hapo kati hadi kufika hapo walipo, kufanikiwa kuliteka soko la dunia yote...asilimia 80 kama sio 90 ya nchi zote duniani utakuta vinywaji hivi sio kuvikuta tu bali ndio vinywaji pendwa

Sasa mwaka 2006 kulitokea mkasa mmoja ambapo

Bi Joya Williams aliyekuwa mkurugenzi msaidizi wa mtu kampuni ya coca cola alihukumiwa kifungo cha miaka 8 jela kwa kosa la kutaka kuuza siri za kampuni ya coca cola kwenda kwa kampuni shindani ya Pepsi

Bi Joya Williams alihitaji kiasi cha dola za kimarekani milion 1.5 ni kama bilion 3 kwa hela ya kitanzania ili awauzie pepsi siri hizo

Unajua kwanini siri za kampuni zina thaman zaidi...ni kwa sababu umefunga siri hizo ndio zinafanya kampuni ziwe na upekee wake ladha ya Pepsi na coca zipo tofauti ...fanta na mirinda zipo tofauti hivyo kujua siri za uzalishaji husaidia kujua kampuni ubora wake na udhaifu wake

Labda nikupe mfano wa kitu kinachoitwa industrial espionage ( ujasusi wa viwanda)
Industrial espionage ni ujasusi wa viwanda kwa kiswahili ambapo mtu au watu hutumwa au kupandikizwa kwenye kampuni.. taasisi shirika kwa lengo la kuiba siri ambazo huenda zikawasaidia washindani wa kibiashara iwe kuwadidimiza hao waliowaibia au kujiongezea utofauti

Katika miaka ya 1800 China ilitawala soko la chai duniani ..na sio kwa bahati mbaya bali ni upekee wa ubora wa chai yao...

Kampuni iliyoitwa British East India company walimtuma mtu kwenda China kupeleleza kuona ubora wa chai ya china uko wapi na wao wana kwama wapi basi baada ya mtu yule kutumwa na kuleta mrejesho ...kupitia mrejesho huo China iliondolewa katika soko la dunia la chai na British East India company kuongoza....HAPO NIMESISITIZA KUONYESHA NAMNA GANI SIRI ZA KAMPUNI NI MUHIMU

Sasa turudi kwenye story yetu ya Bi Joya Williams aliyetaka kuuza siri za kampuni ya coca cola kwa kampuni ya Pepsi

Baada ya Pepsi kupokea barua inayoelezea kuna siri za kampuni ya coca cola zinauzwa waliamua kuwashirikisha coca-cola wenyewe pamoja na FBI juu ya jambo hilo

Hebu imagine unaletewa siri za biashara za mshindani wako tena ya baadhi yake ni bidhaa ambazo bado hazijatambulishwa sokoni ila kwa ajabu unamjulisha mshindani wako kuwa kuna mwizi anataka kukuibia
Je huyu ni adui au rafiki??
 
kwenye ulimwengu wa ushindani inatakiwa uwe makini sana. unajuaje labda bi Joya alitumwa na Coca ili Pepsi waingie kwenye mtego wa wizi
 
Back
Top Bottom